Tundu Lissu kuungurumia ITV siku ya tarehe 26, 08, 2024

Tundu Lissu kuungurumia ITV siku ya tarehe 26, 08, 2024

Anaenda kukubali kuwa mgombea mwenza wa Mama Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi wa Rais 2025.

Kwani wewe ndiye huyu uliyekenua zaidi?

GVupESgWgAAM_GV.jpeg
 
Simba asiyetulia...

Simba anayependa kurukaruka huku na kule...je ni ATTENTION DEFICIT DISORDER?!!! [emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hahaaaa....
ADHD huanza utotoni na kuendelea kadri mtu akuavyo.
Tuwekee ushahidi kuwa TL alishawahi kuwa nayo hata kwa miaka 3 mfululizo kwenye ukuaji wake.

Mtasema yote na mtatulia na kupotea kama ambavyo huwa una activate ID yako fulani kwa muda fulani na kupotea kisha unakuja na ID nyingine.
 
Kuna dalili ya umeme kukatwa nchi nzima J3, saa 3 usiku.
Aisee, kama itatokea Chawa wa CCM wakafanya tendo hili kwa sababu ya Tundu Lissu tu, basi kumbe itakuwa ni kweli kabisa kuwa, hawa viumbe wa kijani watakuwa wajinga, wapumbavu na mashetani wasiostahili kuchangamana na kuishi pamoja na wanadamu........!
 
Abuduli atajuta kumfata na tuela twake... Sikujua dadake abuduli ni mbunge kule nchini kwao!!!
 
Ninyi hao msiwepo kodo kwenye TV? Labda kama Lukasi, Tlaatlaah siyo wenzio!
mwana taaluma mbobevu kama mimi siwezi kupuuza maoni au mtazamo wa mwananchi yeyote awe dhaifu ama mwenye nguvu katika medani ya siasa,

nguvu na kiwango cha kumfuatilia, kupambana nae, na hatimae kumdhibiti kwa hoja, mawazo mapya na fikra mbadala ni kile kile...

na hivyo ndivyo demokrasia inahitaji tuishi 🐒
 
johnthebaptist huwa wazi:

Huyo si Lema.

Huyo, sana sana mzee wa Tobiko..!
 
johnthebaptist huwa wazi:

Huyo si Lema.

Huyo sana sana mzee wa Tobiko..!
mengine sifahamu,
muhimu sana kuzingatia maisha ya ndani ya demokrasia,
hata kwenye 48 laws of power, ndrugu yangu Robert Greene ametahafharisha mapema kuepuka kumpuuza mshindani wako hata awe dhaifu kiwango gani, kama ni ngumi mpe ile ile kali kabisa ya upper cut chembe la kidevu, lazima akae...

hakuna huruma, hakuna aibu wala kutegeana kwenye mapambano 🐒
 
Bila kusahau siasa si uadui
 
Jina la Abdul litatajwa baada ya sentensi hii hapa chini.

""Nilikuwa sijawahi kufuatwa na mtu anipe hela ili niache misimamo yangu fulani fulani. Mara hii nimefuatwa..........,..""
 
Back
Top Bottom