Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) unaofanyikasiku ya Jumapili Machi 2, 2025 Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam
"Utaratibu mzima wa kupiga kura umevurugwa na namna ya kuutengeneza kwanza ni kubadilisha Katiba ili kuwe na Haki ya Kikatiba ya kupiga kura, na pili Katiba iseme wapigakura na raia wa nchi hii na vyama vyao vya siasa wana haki ya kuthibitisha chochote inachokifanya Tume ya Uchaguzi, na ikikosea ishitakiwe mahakamani, sasa hivi haiwezekani. Utaratibu huu ndiyo uliokuwepo katika Katiba tuliyopewa na Waingereza mwaka 1961, katiba ya Waingereza ilikuwa bora kwenye masuala haya kuliko katiba ya Nyerere kuanzia mwaka 1962 mpaka hapa tulipo. Tumevuruga mambo muhimu kama haki ya kupiga kura"