Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuzuiwa kutumia Chopa yawa Shubiri kwa CCM

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kuzuiwa kutumia Chopa yawa Shubiri kwa CCM

..Yap.

..kuna maeneo nilisikia wamempangia mikutano kama minne back to back.

..sasa hivi wanatakiwa kuzifanyia fine tuning campaign zao.

..mambo mengine siyo ya kuongelea hapa.

cc Molemo
Noted Mkuu
 
Anaendeleaje na afya ?

..nilimsikia mkurugenzi wa uchaguzi wa cdm akisema Salum Mwalimu na wasaidizi wake walifanyiwa check-up baada ya ajali na wanamshukuru MUNGU kwamba wameonekana kutokuwa na tatizo. that was one day after the accident. Je, una habari tofauti kuhusu jamaa?

..
 
Back
Top Bottom