..nilimsikia mkurugenzi wa uchaguzi wa cdm akisema Salum Mwalimu na wasaidizi wake walifanyiwa check-up baada ya ajali na wanamshukuru MUNGU kwamba wameonekana kutokuwa na tatizo. that was one day after the accident. Je, una habari tofauti kuhusu jamaa?