Tundu Lissu kwa sasa si Wakili wakusimama mahakamani kwa kutohuisha leseni yake

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Nawakumbusha tu asije akawatapeli, kwa sasa sio wakili kwenye mahakama zetu. Asije akawadanganya mkampa pesa akawapiga.

Screenshot_20230125-215150_Opera Mini.jpg
 
..tutamlipia hiyo fee ili akatutetee.

..kwa taarifa yako Lissu alikuwa wakili wa Jamii Forums wakati ule mwanasakamwa mahakamani.
Umenikumbusha mbali sana Mkuu na bila Tundu Lissu inawezekana hata mapoyoyo wasingekuwemo humu maana Serikali ya CCM walivyokuwa wanamnyanyasa Maxence Melo. Hii JamiiForums ingekuwa haipo lakini kwa msaada wa kisheria Maxence alisimama imara na akashinda.
 
Cha ajabu ni kwamba kwa sasa jf imekuwa jukwaa la kusifia n kupongeza ccm. Ukituma thread ya kukosoa inatupwa kapuni bila maelezo🤔
 
..Sept 2017 wakati Lissu anashambuliwa alikuwa Raisi wa Chama cha Mawakili Tanganyika.

..Tangu wakati huo alikuwa hapa nchini kipindi kifupi tu cha kampeni za uchaguzi mkuu wa 2020.

..Sababu za Lissu kutoku-renew leseni yake ya uwakili zinaeleweka.
 
Umenikumbusha mbali sana Mkuu na bila Tundu Lissu inawezekana hata mapoyoyo wasingekuwemo humu maana Serikali ya CCM walivyokuwa wanamnyanyasa Maxence Melo. Hii JamiiForums ingekuwa haipo lakini kwa msaada wa kisheria Maxence alisimama imara na akashinda.
Na ni LISSU aliyetoa wazo la kutumia handle za Jamii Forum Kenya.
 
Atakushangaza zaidi pale atakapogombea urais wa chama cha mawakili Tanganyika (TLS) miezi kadhaa ijayo
 
Back
Top Bottom