Tundu Lissu kwa sasa si Wakili wakusimama mahakamani kwa kutohuisha leseni yake

Tundu Lissu kwa sasa si Wakili wakusimama mahakamani kwa kutohuisha leseni yake

Nawakumbusha tu asije akawatapeli,kwa sasa sio wakili kwenye mahakama zetu. Asije akawadanganya mkampa pesa akawapiga.

View attachment 2495680
Utakuja fungwa na CCM haitakukingia kifua, Mhe. Lissu yupo hapa nchini akichukua chapisho lako na atake ushahidi wa nia yake ya utapeli unaodai hautapona, mwenzako Mussiba alilia kutokana na ujinga wa kinazi alioufanya huku CCM ikimpa kisogo.
 
Mleta uzi kyagata , punguza kukurupuka. Kwa mfano Dereva leseni yake ikiisha muda udereva wake ndio unakuwa umekufa?
 
Mtoa hoja acha upumbavu, huu ni upumbavu uliouandika hapa, na usifikirie nitakuacha kwa kuchafua Jina la Mh.Lissu, wewe jiulize nini serikali ya CCM itakufanyia tofauti na ilivyokua inafanya kwa miaka zaidi ya 60 sasa

Yani nchi yenye shida ya maji safi na umeme kwa wananchi alafu mtu mwenye akili timamu analeta topic kama hivi, hata mimi nimemshangaa jamaa sijui kawaza nini.
 
Yani nchi yenye shida ya maji safi na umeme kwa wananchi alafu mtu mwenye akili timamu analeta topic kama hivi, hata mimi nimemshangaa jamaa sijui kawaza nini.
It's craze mkuu hawa middle class wetu, talk of the town now ni mkeka mpya wa DCs,nani kaachwa nani kalambishwa asali, gharama za zoezi hili kwao jiiiii, UJINGA ni mtaji mkuu wa watawala wetu hapa nchini, DC wa Tunduru anakimbizana na wazazi ambao watoto wao hawajaripoti kuanza form one!!,sasa sijui DEO anafanya kazi gani, na why huyu DC asijiulize why hawa watoto wanashindwa kwenda shule?tatizo ni nini?,mihemko yake inamkimbiza kwenye mitaa kusaka wazazi!,nimesoma sehemu chuo kikuu cha UKZ(kwa Zulu Natal,SA),moja ya top university in SA wanafunzi zaidi ya 100 000 wanagombania nafasi 8000 tu za kuingia first year!,ni patashika hapo sisi ni kinyume kabisa wanafunzi wanakimbia shule, tumekosea wapi kama nchi!
 
IMG_1805.jpg
 
Walahi mwaka huu lazima Sukuma Gang mutoke mgoro stress aliyowaletea Lissu.
 
Wewe ni tatizo.

Kurenew leseni ni kazi kiasi hicho km kusomea uwakili?

Zinduka ndugu.

Hata majumbani kuna wakati huwa tunajisahau kununua umeme mpk unakatika

Hio ni uzembe utasahau vp na ni kila mwezi unalipa mbona mahara husahau
 
Back
Top Bottom