Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Unataka awatetee akiwa Ulaya? Tumia bongoDunia ni kijiji
Inawezekana mwagitoUnataka awatetee akiwa Ulaya? Tumia bongo
Ahaaa. Hapana sio kweli.Inawezekana mwagito
Mtafunguka tu zaidiTuache ushabiki. Lissu yupo vizuri kwenye masuala ya kisheria. Na ni mtetezi mkubwa wa haki za binadamu.
Huko Nyamongo alishatetea sana walioporwa ardhi na kunyimwa haki zao na Mabeberu.
Alishapambana sana kutetea raia wanaosadikiwa kufukiwa Bulyanhuru kupisha Mabeberu wapore mali zetu.
Mahakamani ndio alishatetea sana raia kibao wanyonge.
Najua kwq hizi familia zilizoonewa huko Serengeti angekuwepo haki ingepatikana tu.
Lijane lililoshindikana. Hupo tu humu JF kukera wengine.Tuache ushabiki. Lissu yupo vizuri kwenye masuala ya kisheria. Na ni mtetezi mkubwa wa haki za binadamu.
Huko Nyamongo alishatetea sana walioporwa ardhi na kunyimwa haki zao na Mabeberu.
Alishapambana sana kutetea raia wanaosadikiwa kufukiwa Bulyanhuru kupisha Mabeberu wapore mali zetu.
Mahakamani ndio alishatetea sana raia kibao wanyonge.
Najua kwq hizi familia zilizoonewa huko Serengeti angekuwepo haki ingepatikana tu.
Ahaaa. Umeanza udaku.Mtafunguka tu zaidi
Kwa bulyanhulu nikujulishe tu! Lisu hakuwatetea wananchi hata kidogo walikuwa wakili anayetumia madhaifu ya wananchi na mgodi kujifanya anashitaki mgodi ili alipwe hela!Tuache ushabiki. Lissu yupo vizuri kwenye masuala ya kisheria. Na ni mtetezi mkubwa wa haki za binadamu.
Huko Nyamongo alishatetea sana walioporwa ardhi na kunyimwa haki zao na Mabeberu.
Alishapambana sana kutetea raia wanaosadikiwa kufukiwa Bulyanhuru kupisha Mabeberu wapore mali zetu.
Mahakamani ndio alishatetea sana raia kibao wanyonge.
Najua kwq hizi familia zilizoonewa huko Serengeti angekuwepo haki ingepatikana tu.
Wewe unaleta chukiKwa bulyanhulu nikujulishe tu! Lisu hakuwatetea wananchi hata kidogo walikuwa wakili anayetumia madhaifu ya wananchi na mgodi kujifanya anashitaki mgodi ili alipwe hela!
Kuna kipindi 2015 alishawahi kuna kakola wananchi wakamuuliza vipi ulionekana kutetea wananchi lakini hamna tulichoambulia akataoa majibu ya balhblah!
Kwa kifupi Lisu asikudanganye kuwa mtetezi wa wananchi nasema big No alipiga hela bulyamhulu akatembea!
Mjane umekuwa mzushi sana siku hiziKwa bulyanhulu nikujulishe tu! Lisu hakuwatetea wananchi hata kidogo walikuwa wakili anayetumia madhaifu ya wananchi na mgodi kujifanya anashitaki mgodi ili alipwe hela!
Kuna kipindi 2015 alishawahi kuna kakola wananchi wakamuuliza vipi ulionekana kutetea wananchi lakini hamna tulichoambulia akataoa majibu ya balhblah!
Kwa kifupi Lisu asikudanganye kuwa mtetezi wa wananchi nasema big No alipiga hela bulyamhulu akatembea!
Anza kuwatetea wewe kwanza huko hukoTuache ushabiki. Lissu yupo vizuri kwenye masuala ya kisheria. Na ni mtetezi mkubwa wa haki za binadamu.