Tundu Lissu kwakweli kamdomo ndio kanamponza, hana rijamu katika kinywa chake!

Tundu Lissu kwakweli kamdomo ndio kanamponza, hana rijamu katika kinywa chake!

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Kampeni za Lissu zinaonyesha ana visasi na ugomvi na baadhi ya viongozi, zinaonyesha kwamba hana nia njema kabisa.

Anaingia kama mtu mwenye kisasi sidhani kama hata siku ya uchaguzi itafika akiwa bado ni mgombea wa CHADEMA!

Kelele zimekuwa nyingi lakini pia anatumia lugha za kuudhi na malengo yake ni kufuta kabisa viongozi wote waliopo sasa
 
Kwa chawa wazoefu hamjawahi kusikia lugha kali, straight na kweli. Mmezoea kusikia mama anaupiga mwingi hata wakati akina Ali Kibao wanatekwa na kuuliwa.

Tatizo la Lissu lugha na matendo ya uchawa uliyoyazoea hana, utaumia sana, pole!
 
Kampeni za lissu zinaonyesha ana visasi na ugomvi na baadhi ya viongozi ' kampeni za lissu zinaonyesha kwamba hana nia njema kabisa ,anaingia kama mtu mwenye kisasi sidhani kama hata siku ya uchaguzi itafika akiwa Bado ni mgombea wa chadema ! Kelele zimekuwa nyingi lakini pia anatumia lugha za kuudhi na malengo yake ni kufuta kabisa viongozi wote waliopo sasa
Lissu ni wa kumuacha hivi hivi baadae huko akili itamkaa sawa. Siasa ni Sayansi. Siyo kujiendea tu.
 
Tatizo la Tundu Lissu ni kutokuwa na busara za kiuongozi! Anaongea sana bila kujali anaongea nini , wapi na kwa akina nani?
Tundu Lissu anaweza kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA bali hawezi kuwa kiongozi mzuri maana hana hekima na busara za kiuongozi.
Kazi ya Kiongozi ni kuunganisha watu na si kugawa watu ( By Julius K.Nyerere).
Tundu Lissu anatuhumu Kila mtu, anadharau Kila mtu, sasa ataongoza akina nani?
 
huyu haaminiki anahribu vitu halafu anaondoka nchini anawaacha mnapigana hafai tumuogope kama ukimwi
Inategemeana na kiungo unachotumia kufikiria, kama siyo wale wauaji wa jiwe(natamka wa jiwe kwa sababu hawakuwahi kukamatwa na jiwe alizuia kumgharimia matibabu wala kulipa hela zake) kumshambulia na kulazimika kwenda kutibiwa nje angeenda huko?

Nyie chawa hamjawahi kulisema maana kama asingelishambuliwa asingeondoka nje, wajinga nyie tuonyesheni vitu gani alivyoharibu?
 
Lisu asitegemee kupata chama chenye wafuasi wote waadilifu, hata kanisani waumini wanombewa kwa kutenda dhambi.
 
Tatizo na shida ya watanzania walio wengi ni ujinga na upumbavu uliopitiliza. Mtu akiwa mkweli, muwazi na asie mnafiki mnamuona hana maana. Mnapenda lugha tamu na laini za kudanganywa. Lissu hayuko hivyo, at least ameonyesha madhaifu ya rushwa na uongozi mbovu ndani ya chadema, madhaifu ambayo kwa muda mrefu mlikuwa mnaaminishwa kuwa chama kiko sawa. Ataendelea kuwapasua vibaya, chawa nyie.
 
Nimegundua watanzania wengi ni wepesi sana kulishwa vitu na kuviamini hata bila kuchunguza.Hi vi wale watu waliokuwa wanaozea jela wangetokaje bila hekima jamani!!.Lisu aeleze amefanya nini kuanzia jimboni kwake hadi hapo kwenye chama.Muda mwingi anatumia kuzungumza madhaifu ya wengine kana kwamba yeye ni malaika toka Singida.
 
Tatizo na shida ya watanzania walio wengi ni ujinga na upumbavu uliopitiliza. Mtu akiwa mkweli, muwazi na asie mnafiki mnamuona hana maana. Mnapenda lugha tamu na laini za kudanganywa. Lissu hayuko hivyo, at least ameonyesha madhaifu ya rushwa na uongozi mbovu ndani ya chadema, madhaifu ambayo kwa muda mrefu mlikuwa mnaaminishwa kuwa chama kiko sawa. Ataendelea kuwapasua vibaya, chawa nyie.
Ukweli hupi ambao lissu anao badala ya kutumia hekima yeye ajisemeasemea tu kama mhonjwa wa akili
 
Tatizo la Tundu Lissu ni kutokuwa na busara za kiuongozi! Anaongea sana bila kujali anaongea nini , wapi na kwa akina nani?
Tundu Lissu anaweza kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA bali hawezi kuwa kiongozi mzuri maana hana hekima na busara za kiuongozi.
Kazi ya Kiongozi ni kuunganisha watu na si kugawa watu ( By Julius K.Nyerere).
Tundu Lissu anatuhumu Kila mtu, anadharau Kila mtu, sasa ataongoza akina nani?
Mpuuzi kwenye ubora wako kwa miaka zaidi ya 63 ya uhuru wa nchi hii je tuna viongozi wepi unaowajua wewe wenye hekima ya uongozi?

Nyie wapuuzi wakati alishambuliwa na akafanywa mlemavu mbona mlikaa kimya?

Mnataka aongee kwa heshima za kinafiki kwa waliotaka kumuua? Waliokuwa wanambambikia kesi mbaya kila uchao?

Hekima ya kiuongozi ni ipi? Kumbuka mama Abdul alipombambikia kesi ya uhaini Mbowe na baada ya kuona ushahidi wenu wa kuunga unga umeshindwa na wakafuta kesi kisha wakaanzisha mazungumzo ya kutafuta muafaka mwaka mzima matokeo yake tumeyaona kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.

Hawa ndio viongozi wenye hekima ya uongozi? Au Mbowe anayevumilia kupigwa kama alivyotaka kuuliwa kwenye maandamano ya amani kinondoni polisi wakawarushia risasi za moto.
Kabambikiwa kesi ya uhaini ambayo adhabu yake ni kifo au kifungo maisha.
Kafilisiwa mali zake ili aififishe CHADEMA kakaa kimya.
Hiyo ndio hekima ya uongozi?
Kama ambavyo serikali za CCM zilivyounganisha watu siyo.
Pathetics!
 
Tatizo na shida ya watanzania walio wengi ni ujinga na upumbavu uliopitiliza. Mtu akiwa mkweli, muwazi na asie mnafiki mnamuona hana maana. Mnapenda lugha tamu na laini za kudanganywa. Lissu hayuko hivyo, at least ameonyesha madhaifu ya rushwa na uongozi mbovu ndani ya chadema, madhaifu ambayo kwa muda mrefu mlikuwa mnaaminishwa kuwa chama kiko sawa. Ataendelea kuwapasua vibaya, chawa nyie.
Inategemea hayo maneno anayatoa wapi na kwa hadhira ipi, ni sawa na kuimba mapambio ya kwaya bar watu wamelewa utaishia kupopolewa chupa.
 
Ukweli hupi ambao lissu anao badala ya kutumia hekima yeye ajisemeasemea tu kama mhonjwa wa akili
Kwa wapumbavu na chawa watamuona anajisemeaga ila wenye akili timamu wanamuona na wanajua uzito wa hoja zake na ndio maana walitaka kumuua.

Maana ya hekima ni kuvumilia kuibiwa kura, kunyimwa haki ya kufanya siasa, kubambikiwa kesi?

Uchawa umewafanya mmekuwa wajinga, tuonyeshe incidence moja ambayo amesema kitu ambacho ni ujinga.
 
Lissu ni wa kumuacha hivi hivi baadae huko akili itamkaa sawa. Siasa ni Sayansi. Siyo kujiendea tu.
Yani wewe umfundishe lissu siasa na njia za kupita?

Mbowe katepeta kabaki kujipendekeza kwa mamlaka,Lema,Msigwa,Heche na Lissu ni watu wanaosimamia Ukweli mbowe hawataki tena
 
Sisi chadema asili tutalinda kura za diwani na Mbunge, Lissu atajijua, kura zake CCM wazifanyie wanavyotaka. Si ameanza kututukana
 
Kwa wapumbavu na chawa watamuona anajisemeaga ila wenye akili timamu wanamuona na wanajua uzito wa hoja zake na ndio maana walitaka kumuua.

Maana ya hekima ni kuvumilia kuibiwa kura, kunyimwa haki ya kufanya siasa, kubambikiwa kesi?

Uchawa umewafanya mmekuwa wajinga, tuonyeshe incidence moja ambayo amesema kitu ambacho ni ujinga.
Kama Lissu huwezi kuvumilia kuibiwa kura mshauri aingie msituni aone kama itamlipa.
 
Back
Top Bottom