Black Label
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 432
- 553
Angalau kawa na moyo wa kuweka mapungufu hadharani. Hata akishindwa chama kitaanza na mwelekeo bora kidogo kuliko ambavyo lugha zingekuwa ni za kupongezana tu!Tatizo na shida ya watanzania walio wengi ni ujinga na upumbavu uliopitiliza. Mtu akiwa mkweli, muwazi na asie mnafiki mnamuona hana maana. Mnapenda lugha tamu na laini za kudanganywa. Lissu hayuko hivyo, at least ameonyesha madhaifu ya rushwa na uongozi mbovu ndani ya chadema, madhaifu ambayo kwa muda mrefu mlikuwa mnaaminishwa kuwa chama kiko sawa. Ataendelea kuwapasua vibaya, chawa nyie.
Ila akishidwa watu hawatautambua mchango wake kwa misingi hii, watamuona Kama loser tu! Ndio wananzengo walivyo...