Kwa sababu hiyo asikemee uovu na ukosefu wa maadili?Lisu asitegemee kupata chama chenye wafuasi wote waadilifu, hata kanisani waumini wanombewa kwa kutenda dhambi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu hiyo asikemee uovu na ukosefu wa maadili?Lisu asitegemee kupata chama chenye wafuasi wote waadilifu, hata kanisani waumini wanombewa kwa kutenda dhambi.
Kampeni za Lissu zinaonyesha ana visasi na ugomvi na baadhi ya viongozi, zinaonyesha kwamba hana nia njema kabisa.
Anaingia kama mtu mwenye kisasi sidhani kama hata siku ya uchaguzi itafika akiwa bado ni mgombea wa CHADEMA!
Kelele zimekuwa nyingi lakini pia anatumia lugha za kuudhi na malengo yake ni kufuta kabisa viongozi wote waliopo sasa
Kuna kitu nilikisema hapa kumhusu Lissu na JPM,hicho kitu nikasema Lissu ni zaidi ya JPM!Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi ku behave kama anavyo behave Lisu.
Kama kutafuta cheo ndiko huku, hafai kwa lolote.
Hakuna pungufu kubwa kama kukosa kaba ya Ulimi!
Hakuna kosa kubwa kama KUROPOKA.
Hakuna kosa kubwa kama kukosa shukrani
All these boil down to one cause: Kuna nati fulani kwenye ubongo imelegea. Inahitaji kukazwa.
Lisu is coming aggressive supreme of POWER
Ni jibu la mpumbavu mbobezi, kwa hiyo aibiwe atulie afurahie asikemee hiyo ndio hekima ya uongozi?Kama Lissu huwezi kuvumilia kuibiwa kura mshauri aingie msituni aone kama itamlipa.
Unapata shida??Kampeni za Lissu zinaonyesha ana visasi na ugomvi na baadhi ya viongozi, zinaonyesha kwamba hana nia njema kabisa.
Anaingia kama mtu mwenye kisasi sidhani kama hata siku ya uchaguzi itafika akiwa bado ni mgombea wa CHADEMA!
Kelele zimekuwa nyingi lakini pia anatumia lugha za kuudhi na malengo yake ni kufuta kabisa viongozi wote waliopo sasa
Mpumbavu mwenyewe ngoja niende unavyotaka, kuna taratibu za kufuata asipozifuata kuna wataomkumbusha kuzifuata.Ni jibu la mpumbavu mbobezi, kwa hiyo aibiwe atulie afurahie asikekee hiyo ndio hekima ya uongozi?
Tatizo la Lissu hana unafiki ule wa kiswahili, siasa zetu zinafata yale maisha yetu ya kinafiki, ata kwenye familia zetu .huyu haaminiki anahribu vitu halafu anaondoka nchini anawaacha mnapigana hafai tumuogope kama ukimwi
Na hizo taratibu mnazipanga nyie, unapoibiwa, unaposhambuliwa, unaponyimwa na kuzuiwa haki yako ya kisiasa taratibu ni zipi?Mpumbavu mwenyewe ngoja niende unavyotaka, kuna taratibu za kufuata asipozifuata kuna wataomkumbusha kuzifuata.
Mkuu Paskali,Kuna kitu nilikisema hapa kumhusu Lissu na JPM,hicho kitu nikasema Lissu ni zaidi ya JPM!Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!
Hivyo hizi issues za afya ya akili,tusimuonee Lissu,ni wengi tuu Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?
Hivyo kama tumeisha ongozwa na watu wa type hii na tukatulia,why not Lissu?。
Tundu Lissu ndie the one and only mwenye uwezo wa kuukata huu mbuyu wetu,Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ? kama kuna watu wanataka mbuyu uende chini,mtu pekee mwenye uwezo wa kuukata huo mbuyu ni kichaa,then mtampa shoka kichaa,mbuyu ukishakwenda chini,mnamuwahi na kumnyanganya shoka!。
P
Ngoja awachape wahuni wa chademaKampeni za Lissu zinaonyesha ana visasi na ugomvi na baadhi ya viongozi, zinaonyesha kwamba hana nia njema kabisa.
Anaingia kama mtu mwenye kisasi sidhani kama hata siku ya uchaguzi itafika akiwa bado ni mgombea wa CHADEMA!
Kelele zimekuwa nyingi lakini pia anatumia lugha za kuudhi na malengo yake ni kufuta kabisa viongozi wote waliopo sasa
Yeye aendelee kukemea, lakini akijua wazi kuwa waadilifu ni wachache sana.Kwa sababu hiyo asikemee uovu na ukosefu wa maadili?
Dawa yake ni kuwapongeza?Yeye aendelee kukemea, lakini akijua wazi kuwa waadilifu ni wachache sana.
Wajumbe wakikosea wakampa lissu moto utawakaHuyo Lissu wenu hana speed governor,kumbuka anagombea wadhifa no.1 wa Chadema.
Kuna wanaosema akipanda jukwaani na KVANT ata rap sana kama Peter Tosh.
One man show syndrome aka bila mimi hakuna Chadema ni ugonjwa unaomyemelea taratibu.
Lakini kama hao wafuasi wake waliogeuka waumini Make Chadema Great Again(MCGA)Wape Malaika wao ili CCM iwabatize magoli 10 kwa nunge
Anaweza kuwa na hoja lakini angesubiri kwanza siku ya uchaguzi ifike alitakiwa awe mpole afanye kampeni za mantiki akishinda ndio aanze kuleta hayo mazagaKama Lissu huwezi kuvumilia kuibiwa kura mshauri aingie msituni aone kama itamlipa.
Ni mwehu yule na weweKwa wapumbavu na chawa watamuona anajisemeaga ila wenye akili timamu wanamuona na wanajua uzito wa hoja zake na ndio maana walitaka kumuua.
Maana ya hekima ni kuvumilia kuibiwa kura, kunyimwa haki ya kufanya siasa, kubambikiwa kesi?
Uchawa umewafanya mmekuwa wajinga, tuonyeshe incidence moja ambayo amesema kitu ambacho ni ujinga.
Kinachoonekana sisi Watanzwnia tunapenda lugha laini zenye uongo ndani yake lakini lugha zenye ukweli na kutufungua macho Kwa yale yasiyofaa hatutaki na kuona kama mtu anatumia lugha ngumu au isiyo faaKampeni za Lissu zinaonyesha ana visasi na ugomvi na baadhi ya viongozi, zinaonyesha kwamba hana nia njema kabisa.