Lissu ni wa kumuacha hivi hivi baadae huko akili itamkaa sawa. Siasa ni Sayansi. Siyo kujiendea tu.Kampeni za lissu zinaonyesha ana visasi na ugomvi na baadhi ya viongozi ' kampeni za lissu zinaonyesha kwamba hana nia njema kabisa ,anaingia kama mtu mwenye kisasi sidhani kama hata siku ya uchaguzi itafika akiwa Bado ni mgombea wa chadema ! Kelele zimekuwa nyingi lakini pia anatumia lugha za kuudhi na malengo yake ni kufuta kabisa viongozi wote waliopo sasa
Inategemeana na kiungo unachotumia kufikiria, kama siyo wale wauaji wa jiwe(natamka wa jiwe kwa sababu hawakuwahi kukamatwa na jiwe alizuia kumgharimia matibabu wala kulipa hela zake) kumshambulia na kulazimika kwenda kutibiwa nje angeenda huko?huyu haaminiki anahribu vitu halafu anaondoka nchini anawaacha mnapigana hafai tumuogope kama ukimwi
Ukweli hupi ambao lissu anao badala ya kutumia hekima yeye ajisemeasemea tu kama mhonjwa wa akiliTatizo na shida ya watanzania walio wengi ni ujinga na upumbavu uliopitiliza. Mtu akiwa mkweli, muwazi na asie mnafiki mnamuona hana maana. Mnapenda lugha tamu na laini za kudanganywa. Lissu hayuko hivyo, at least ameonyesha madhaifu ya rushwa na uongozi mbovu ndani ya chadema, madhaifu ambayo kwa muda mrefu mlikuwa mnaaminishwa kuwa chama kiko sawa. Ataendelea kuwapasua vibaya, chawa nyie.
Mpuuzi kwenye ubora wako kwa miaka zaidi ya 63 ya uhuru wa nchi hii je tuna viongozi wepi unaowajua wewe wenye hekima ya uongozi?Tatizo la Tundu Lissu ni kutokuwa na busara za kiuongozi! Anaongea sana bila kujali anaongea nini , wapi na kwa akina nani?
Tundu Lissu anaweza kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA bali hawezi kuwa kiongozi mzuri maana hana hekima na busara za kiuongozi.
Kazi ya Kiongozi ni kuunganisha watu na si kugawa watu ( By Julius K.Nyerere).
Tundu Lissu anatuhumu Kila mtu, anadharau Kila mtu, sasa ataongoza akina nani?
Inategemea hayo maneno anayatoa wapi na kwa hadhira ipi, ni sawa na kuimba mapambio ya kwaya bar watu wamelewa utaishia kupopolewa chupa.Tatizo na shida ya watanzania walio wengi ni ujinga na upumbavu uliopitiliza. Mtu akiwa mkweli, muwazi na asie mnafiki mnamuona hana maana. Mnapenda lugha tamu na laini za kudanganywa. Lissu hayuko hivyo, at least ameonyesha madhaifu ya rushwa na uongozi mbovu ndani ya chadema, madhaifu ambayo kwa muda mrefu mlikuwa mnaaminishwa kuwa chama kiko sawa. Ataendelea kuwapasua vibaya, chawa nyie.
Kwa wapumbavu na chawa watamuona anajisemeaga ila wenye akili timamu wanamuona na wanajua uzito wa hoja zake na ndio maana walitaka kumuua.Ukweli hupi ambao lissu anao badala ya kutumia hekima yeye ajisemeasemea tu kama mhonjwa wa akili
Yani wewe umfundishe lissu siasa na njia za kupita?Lissu ni wa kumuacha hivi hivi baadae huko akili itamkaa sawa. Siasa ni Sayansi. Siyo kujiendea tu.
Kama Lissu huwezi kuvumilia kuibiwa kura mshauri aingie msituni aone kama itamlipa.Kwa wapumbavu na chawa watamuona anajisemeaga ila wenye akili timamu wanamuona na wanajua uzito wa hoja zake na ndio maana walitaka kumuua.
Maana ya hekima ni kuvumilia kuibiwa kura, kunyimwa haki ya kufanya siasa, kubambikiwa kesi?
Uchawa umewafanya mmekuwa wajinga, tuonyeshe incidence moja ambayo amesema kitu ambacho ni ujinga.