Tundu Lissu kwakweli kamdomo ndio kanamponza, hana rijamu katika kinywa chake!

Kuna kitu nilikisema hapa kumhusu Lissu na JPM,hicho kitu nikasema Lissu ni zaidi ya JPM!Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Hivyo hizi issues za afya ya akili,tusimuonee Lissu,ni wengi tuu Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?

Hivyo kama tumeisha ongozwa na watu wa type hii na tukatulia,why not Lissu?。

Tundu Lissu ndie the one and only mwenye uwezo wa kuukata huu mbuyu wetu,Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ? kama kuna watu wanataka mbuyu uende chini,mtu pekee mwenye uwezo wa kuukata huo mbuyu ni kichaa,then mtampa shoka kichaa,mbuyu ukishakwenda chini,mnamuwahi na kumnyanganya shoka!。

P
 
Unapata shida??
 
Ni jibu la mpumbavu mbobezi, kwa hiyo aibiwe atulie afurahie asikekee hiyo ndio hekima ya uongozi?
Mpumbavu mwenyewe ngoja niende unavyotaka, kuna taratibu za kufuata asipozifuata kuna wataomkumbusha kuzifuata.
 
huyu haaminiki anahribu vitu halafu anaondoka nchini anawaacha mnapigana hafai tumuogope kama ukimwi
Tatizo la Lissu hana unafiki ule wa kiswahili, siasa zetu zinafata yale maisha yetu ya kinafiki, ata kwenye familia zetu .
 
Mpumbavu mwenyewe ngoja niende unavyotaka, kuna taratibu za kufuata asipozifuata kuna wataomkumbusha kuzifuata.
Na hizo taratibu mnazipanga nyie, unapoibiwa, unaposhambuliwa, unaponyimwa na kuzuiwa haki yako ya kisiasa taratibu ni zipi?

Mbowe kwa miaka yote hakufuata hizo taratibu? Kukumbushwa hizo taratibu ni kumshambulia kwa risasi? Upumbavu na uchawa ni shida
 
Mkuu Paskali,
Huwa nashindwa kukuchukia kwa jinsi ulivyo fair, ingetegemewa kada au mpenzi wa CCM kuchukia kila ambacho ni challenges kwa CCM. Nimefuatilia post zako kujikumbusha ingawa huwa nazifuatilia pinde zitokapo.

Ingawa huwa natofautiana na wewe lakini hapa nakupa big up kwamba CCM imara inahitaji upinzani imara kama alivyowahi kusema mwalimu Nyerere, Lissu ni firebrand very outspoken ambaye anasema spade a spade.

Kweli Tanzania tulipofika tunahitaji kiongozi wa calibre ya Lissu kwenye upinzani. Mbowe ametimiza wajibu wake vizuri kwa miaka 23 na tunamthamini na mchango wake, inabidi tuone mabadiliko ndani ya Lissu
 
Ngoja awachape wahuni wa chadema
 
Huyo Lissu wenu hana speed governor,kumbuka anagombea wadhifa no.1 wa Chadema.
Kuna wanaosema akipanda jukwaani na KVANT ata rap sana kama Peter Tosh.
One man show syndrome aka bila mimi hakuna Chadema ni ugonjwa unaomyemelea taratibu.
Lakini kama hao wafuasi wake waliogeuka waumini Make Chadema Great Again(MCGA)Wape Malaika wao ili CCM iwabatize magoli 10 kwa nunge
 
Wajumbe wakikosea wakampa lissu moto utawaka
 
Kama Lissu huwezi kuvumilia kuibiwa kura mshauri aingie msituni aone kama itamlipa.
Anaweza kuwa na hoja lakini angesubiri kwanza siku ya uchaguzi ifike alitakiwa awe mpole afanye kampeni za mantiki akishinda ndio aanze kuleta hayo mazaga
 
Ni mwehu yule na wewe
 
Kinachoonekana sisi Watanzwnia tunapenda lugha laini zenye uongo ndani yake lakini lugha zenye ukweli na kutufungua macho Kwa yale yasiyofaa hatutaki na kuona kama mtu anatumia lugha ngumu au isiyo faa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…