Tundu Lissu kwakweli kamdomo ndio kanamponza, hana rijamu katika kinywa chake!

Angalau kawa na moyo wa kuweka mapungufu hadharani. Hata akishindwa chama kitaanza na mwelekeo bora kidogo kuliko ambavyo lugha zingekuwa ni za kupongezana tu!

Ila akishidwa watu hawatautambua mchango wake kwa misingi hii, watamuona Kama loser tu! Ndio wananzengo walivyo...
 
Mmezoea nidhamu za woga na unafiki kiasi kwamba anayesema ukweli bila kuuma maneno mnaona hana nidhamu.
 
Busara za kiuongozi ni kufumbia macho rushwa ? Mmezoe kufumbia macho rushwa kwa kulinda heshima fake, matokeo yake tumefikia hapa hata taasisi ya kupambana na rushwa inalinda wala rushwa.
 
Acha aseme hakuna Cha Siri ya chama ikiwa akiwa anakosoa anatoa Siri za nchi pia
 
Kwa sababu hiyo asikemee uovu na ukosefu wa maadili?
Kitu kizuri alichokifanya Lissu Chadema ni kushamirisha Demokrasia ya ushindani. Dunia itafuatilia jinsi demokrasia inavyofanya kazi Chadema
 
Ubaya kuhusu watu wakweli na walionyooka, huchukiwa na wengi na idadi ya wanaowapenda huwa ni ndogo sana.
 
mdomo, pupa na tamaa ni kitu mbaya sana kwa kiongozi 🐒
 
Watu straight wanaenda kuisha wamebaki wenye misimamo na kauli shoga.

If unataka the mummy voice mfate Mama Khafidh.
 
Leo hii ndio mnaona Lissu anaropoka kana kwamba ni kitu kipya kwake, Lissu ndio yupo hivyo wakati wote toka zamani ila wakati huo alisifika kwa kuwa na akili sana kuliko ccm wote na ni msema ukweli.
 
Foolish rhetoric
 
Kwani kuwa na hekima ni kuwa muongo na kuficha wala rushwa kwa kuwaficha kuwataja hadharani? Mmezoea wezi na wala rushwa kulindwa ndani ya CCM basi mnataka ndio uwe utaratibu wa maisha? Kuna mtu aliye kuwa mbwatukaji kama magufuli? Mbona hamjawahi kusema sema? Acheni kutukuza wala rushwa mkiami i kuwaficha ficha ndiyo busara
 
Kwa chawa wazoefu hamjawahi kusikia lugha kali, straight na kweli. Mmezoea kusikia mama anaupiga mwingi hata wakati akina Ali Kibao wanatekwa na kuuliwa.

Tatizo la Lissu lugha na matendo ya uchawa uliyoyazoea hana, utaumia sana, pole!
Wanasiasa wote ni walewale, there is a common saying in the US 'never trust a politician' huo msemo una maana deep sana lakini wapambe wakishamshabikia mtu normally they act deaf and blind zinapoainishwa weaknesses zake.
First and foremost wanasiasa hupigania maslhahi yao binafsi and sometimes they come with the intentions of destroying.
Huu myukano wa chawa(chawa wa Mbowe vs chawa wa Lissu) wafaidika ni CCM, kama hao chawa ni wanachama au mashabiki kindakindaki wa CHADEMA it means they're stupidly destroying their own party.
 
Literally this post👆 translates that Lissu ni 'kichaa cha dogi',mmmmh...🤔🤔.
Muweke kwenye 'usukani' at your own risk japo ni kweli kwamba katika mazingira ya sasa he is the only one who can put the tangible fight regardless his whatever other intentions.
 
Huu ni ubatizo wa moto CHADEMA inapitia, kufikia utamaduni wa kujua ni haki ya anayetaka na kujiona ana haki ya kugombea na kuchaguliwa na siyo vita ni maturity. Wakipita salama kitakuwa ni chama bora kabisa.

Wanasiasa ni wale wale bali ni mfumo gani wanaotumikia, mfano US ukiwa corrupt wakikujua watakushame watakushitaki na utaingia kwenye kashfa kama Watergate.

Maslahi binafsi ni kwenye nchi zetu ambazo ukiiba sawa tu ukiwa na mamlaka, si haki kufananisha na US. Ila nakubaliana na wewe kuwa kupata nafasi ni minyukano and they are ready in destroying each other, whether ni maslahi au crusade wapambe wa CHADEMA wameonesha immaturity to the extreme.

Wanufaika kweli ni CCM na kama hakuna maslahi binafsi unajiuliza minyukano hii ni nini? Ndio demokrasia hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…