Tundu Lissu kwasasa hana mvuto tena ndani na nje ya chama

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Tundu Antipas Lissu wa 2015 -2020 sio huyu wa Leo 2023. Lissu wa Sasa ameporomoka hata hoja anazojenga hazina nguvu tena.

Labda ni kwa sababu mara nyingi amekuwa akirudia hoja zile zile!! Sijajua wazungu wamemfanyaje Huko alikotoka!!

Ajitafute upya huyu sio Lissu tunayemjua
 
Asylum ndio chanzo Cha yote anakua limited
 
Tulimwambia aachane na kumtukana Magufuli hakusikia. Anavuna alichopanda
 
Lissu kisiasa amemaliza kila likizo ndio anakuja Tz kubabaisha lakini sasa maisha yake hawezi tena kuikosa Belgium, wameuza chama yeye na mwenyekiti Mbowe, upinzani wa Kweli Tanzania hauwezi kudumu njaa ni kitu kibaya sana waliwalaumu kina Mdee, Lijuakali, kafulila na kina waitara kumbe wote jora moja muda ulikuwa haujafika tu.,

Watanzania bado hawajapata jukwaa madhubuti la upinzani kisiasa hasa Tanzania Bara kumeporomoka sana, Mbowe hatoki Ikulu saa zote, ameacha katiba mpya na kila kitu sasa ni Asante Mama tu saa zote, yeye na kina John Cheo hana tofauti yoyote.

Tunahitaji upinzani wenye nguvu bado Tanzania CCM itaendelea kutusulubu sana na vizazi vijavyo ccm wamecheza karata yao vyema sana
 
wazungu ni watu wabaya sana walivyomuwowa tu akili zikahamia nyuma hana tena jipya
 
Mabeberu wameharibu njia ya haja,hafai,pako waz,seal haipo tena [emoji41]
 
Hana mvuto ndani na nje ya chama
Wala hana mvuto ndani na nje ya nchi

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan
 

CHAUMA ndio chama makini na HASHIM RUNGWE ndio Rais wetu ajaye
 
Ana mvuto kwa mkewe mnataka kuolewa muwe mke wa pili/tatu/nne.?
Fanyeni yenu au ni jobless?
 
Tundu Antipas Lissu wa 2015 -2020 sio huyu wa Leo 2023...Lissu wa Sasa ameporomoka hata hoja anazojenga hazina nguvu Tena...labda ni kwa sababu mara nyingi...
Ukiona bado unamfuatilia ujue anakitu cha ziada ni muda tu
 
Sahzi angejihudhuru tu siasa aandike kitabu Cha maisha yake kisiasa kwasabu asitegemee ushindi wwote
 
Hoja zilezile kwenye masikio na mahali tofauti ndivyo viongozi wote wafanyavyo. CCM imekuwa ikirudia hoja za Tanu za kabla ya uhuru za ujenzi wa barabara, hospitali na shule kwenye masikio tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…