Zanaco
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 1,611
- 1,590
Lissu anatakiwa azungumze pia kuhusu hospital hali nitete tunatozwaza hela nyingi sana hata ngonjwa wako akifa wanakuletea bill fake za mamilioni ya fedha.Kamanda Lissu; nakushauri,pamoja na mambo mengine; usisahau kuongelea mambo hayo matatu yanayogusa na kuumiza wananchi wengi wa nchi kama ulivyozungumzia suala la TRA na wafanyabiashara pamoja na swala la wafanyakazi kutoongezewa mishahara Siku ya jana mkoani Morogoro.
Awamu hii ya tano imepuuza wananchi kwa kiwango kikubwa mno na matokeo yake imepoteza mvuto mbele ya wananchi kwa kiasi kikubwa mno.
Kuiangusha CCM hii panapo Tume Huru, ni sawa na kusukuma mlevi na hata pasipo Tume Huru, bado tunaweza tu kuipiga mweleka kwa kutokubali kuibiwa kura.
Waacheni wategemee viongozi wa dini sisi tujikite kwa wapiga kura maana wao hawana la kuwaambia.
Tunambo Lissu atauambie atafanyaje hospitali hali ni mbaya sana kuna jamaa yangu alipata ajali akapelekwa hospita moja dar kwakua ndugu tulichelewa kupata taarifa siku ya nne tulikuta mwili umeoza kitandani hata kupelekwa mochwari walishindwa kumpeleka.