Uchaguzi 2020 Tundu Lissu kwenye mikutano yako ongelea suala la kurudisha Bunge Live, kurekebisha Makato ya Bodi ya Mikopo na suala zima la Mafao ya Wastaafu

Lissu anatakiwa azungumze pia kuhusu hospital hali nitete tunatozwaza hela nyingi sana hata ngonjwa wako akifa wanakuletea bill fake za mamilioni ya fedha.

Tunambo Lissu atauambie atafanyaje hospitali hali ni mbaya sana kuna jamaa yangu alipata ajali akapelekwa hospita moja dar kwakua ndugu tulichelewa kupata taarifa siku ya nne tulikuta mwili umeoza kitandani hata kupelekwa mochwari walishindwa kumpeleka.
 

Duh aibu sana hii!
 
Yani kama huyu eti ndo wakuumpa maneno lissu yakuongea kweli chadema mmefeli.
 
Hivi mnapomshauri vitu vya kuongea ina maana yeye kama mgombea hajui ni mambo gani anatakiwa afanye. Inaonekana kama nyinyi wapiga kura mna ajenda zenu na yeye ana ajenda zake
 
Duh aibu sana hii!
Hii serekali niya kishamba sana eet wameweka sistem za malipo hospitalin za serekal kamakulivyo bandarini wanashindwa kutofautisha binadamu na ma container unweza kuwe sytem ya malipo hospital wakati huna sever una host SouthAfrica Mtando uki chini ngonjwa wako anakufa hawezi kupata matibabu hata kama unahela ya kulipia Lissu alizungumzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…