Kanzastone
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 244
- 357
Madudu ya akina Mkapa yalikuwa yanawekwa wazi, tofauti na tulivyoamishwana miaka hii mitano.
Who are you by the way.Thatβs why he will never ever be president.
Too infantile.
Sasa mimi na wewe alie panic nani?usikimbie, usininunie, kadi ya CCM ulinipa lini? unaamini speculations zako unataka nizikubali? wacha utoto.Pitia post yangu uliyoniquote kama nimemtaja Lisu popote, ni aidha umepanick au unajishuku. Kuhusu Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti zaidi ya miaka 15, suala sio kuwa matured maana alikuwa hagombei na Lisu.
Hilo la kwamba Lisu ni mwanaharakati ni tafsiri ya huko ccm, na hii tulilisikia hata Slaa alipokuwa mwiba kwa ccm kuwa ni mwanaharakati. Alipotoka cdm akawa anamwagiwa sifa kuwa alikuwa mpinzani wa kweli! Linapokuja suala la busara sioni kama ni tatizo, maana kama Magufuli alikuwa hana busara na Kawa rais, sijui utaniambia nini. Hakuna anayemfikia Mbowe? Au ni kwakuwa huwa anawakubalia ccm porojo zao kirahisi? Nasema hivi, unafiki huwa una mwisho wake. Ww tapika propaganda zako mfu za ccm lakini nimekufahamu vizuri, hutaki kunywa sumu ufe fullstop.
Kupitia ukurasa wake wa Twita ndugu Tundu Lissu amedai kuwa sasa kuwa kile watanzanianwengi walidhani watarithi mambo mazuri yaliyoachwa na JPM ni kama hakuna. Maana mengi yana uozo na yameanza kusambaratika. Kama uchunguzi ukifanyika mengi sana yataibuka.
Kupitia ukurasa wake wa Twita ndugu Tundu Lissu amedai kuwa sasa kuwa kile watanzanianwengi walidhani watarithi mambo mazuri yaliyoachwa na JPM ni kama hakuna. Maana mengi yana uozo na yameanza kusambaratika. Kama uchunguzi ukifanyika mengi sana yataibuka.
Imeanza kusambaratika.Legacy yake imeisha vip? Kwa sababu ya hizo issue mbili ambazo hazina lolote jipya?
Wewe kimekuuma nini mpaka useme hawezi kuwa rais?, tatizo mnajiona mko sawa na Mungu, na Mungu hatakubali kuwa sawa na binadamu aliowaumba yeye mwenyewe.Alikubali lini kuwa kashindwa urais? Kila siku anadai alishinda.
Washirika wake mpaka wakapeleka malalamiko yao huko Uholanzi kuwa wameibiwa kura!
Alrighty then.Kukimbia nchi ni kukubali tosha regardless anasema nini.
Hoja za ubadhirifu ATCL na TPA chini ya Magufuli hazijajibiwa bado.
Naona nimekuchoma.Wewe kimekuuma nini mpaka useme hawezi kuwa rais?, tatizo mnajiona mko sawa na Mungu, na Mungu hatakubali kuwa sawa na binadamu aliowaumba yeye mwenyewe.
Amechoka akili huyo muache apumzike.Wapi alisema amemaliza ufisadi au rushwa,nenda YouTube usikilize maneno yake 2020 alipokuwa akizindua bunge, alisema tutaendelea kupiga vita vitendo vya ufisadi/rushwa kwa nguvu zetu zote,wewe kauli hiyo ya kumaliza rushwa na ufisadi aliisema lini?acha porojo hii ni serikali ya ccm,na Samia alisema ataendeleza yote yalioachwa na Magufuri [emoji16][emoji16][emoji1]
Imeanza kusambaratika.
Nimekuelewa, nina sababu yangu nje ya siasa inayonifanya kufanya hiki ninachokifanya hapa, nivumilie tu kwa wakati huu.Tujadili hoja zaidi kuliko watu.
Hata watu wenye matatizo ya ubongo wanaweza kutoa hoja nzuri mara mojamoja.
Na watu unaowaheshimu wakakosea.
Waingereza wanasema hata saa iliyosimama huwa inakuwa sawa angalau mara moja kila siku.
Endeleeni na kiburi chenu,Naona nimekuchoma.
Unataka kuambiwa nini kujua Atcl imefeli? Ipate hasara miaka kumi?I thought everything must survive the test of time before people can make a conclusion?
Mwinyi alisema ila akaja kupata sifa zake baadae. Mkapa hivyo hivyo. Hata JK pia.
TL ana shida zake binafsi na JPM. Ndio maana angependa kuona hivyo ingawa sidhani kama itakuwa hivyo.
Tukumbuke aliyeshikwa na ngozi ndio amekula nyama. Hawa wajinga wengine hawana kinga yoyote, halafu wanaiba wakidhani wataogopwa wanachekesha sana. Tena ikithibitika waadhibiwe vitali. Iwe fundisho
Mataga mmepatwa kisawasawaLissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.
Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.
Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Wafiwa acheni nongwa, malizeni matanga kwanza ndo mje kumwaga mapovu yenu JF.Alikubali lini kuwa kashindwa urais? Kila siku anadai alishinda.
Washirika wake mpaka wakapeleka malalamiko yao huko Uholanzi kuwa wameibiwa kura!
Phew, sasa kama ni hivyo, huko CHADEMA atakuwa amebaki nani hasa, kama hata Mbowe atakuwa ni pandikizi la CCM?
Halima na Ester Matiko, sikuamini wawe kama walivyogeuka kuwa..., yaani hadi sasa sielewi mchezo huu ulikwenda vipi!
Lakini itashangaza sana kama Mbowe atakuwa ni sehemu ya mchezo huo..., kwa manufaa yapi kwa chama?; au kwake binafsi?
Kimsingi hakuwa na consistance kwenye kauli zake, ila kuwa kamaliza ufisadi hilo alikuwa halisemi mara moja, yeye au wapambe wake. Acha serikali ya ccm hata ingekuwa ya Republican hakuna anayejali, tunachojua Mungu kaamua kufanya mabadiliko bila kumwaga damu. Huyo Mama Samia aendeleze yale sahihi yaliyoachwa na mtangulizi wake hatuna tatizo na hilo maana hii ni Tanzania, yaani ni zaidi ya serikali ya ccm. Lakini sio kuteka na kuua wapinzani kisa anajenga daraja, sijui reli. Akienda kinyume na haki atafurahia show.Wapi alisema amemaliza ufisadi au rushwa,nenda YouTube usikilize maneno yake 2020 alipokuwa akizindua bunge, alisema tutaendelea kupiga vita vitendo vya ufisadi/rushwa kwa nguvu zetu zote,wewe kauli hiyo ya kumaliza rushwa na ufisadi aliisema lini?acha porojo hii ni serikali ya ccm,na Samia alisema ataendeleza yote yalioachwa na Magufuri πππ
Hayo mapori yanafanya nnWewe umeambiwa nani kuwa kuna uaba wa matrecta vijijini?