Tundu Lissu: Legacy ya hayati Magufuli imeanza kusambaratika,uchunguzi usiishie TPA na ATCL

Naona samia anataka kurudia makosa ya maguful ya kupambana na watu bila kubadili mifumo! Anaweza kufeli zaidi ya maguful
 
Nchi hii kwa sasa ina watu 60m, katika hao ni watu 6 tu wamefanikiwa kuwa marais, hivyo hata yeye asipokuwa rais, hilo sio tatizo kwani ni suala la Bahati zaidi kuliko uwezo. Una jingine tukusaidie?
Umemjibu kiuwazi sana...

Kule ccm urais unawatoa roho kwa kutegana sumu.
 
Mbadala wa Mbowe ni yoyote anayekubalika na Chama, 15yrs inatosha sana. Hakuna uwezekano wa yeye kukaa 15yrs+ kusiwe na mbadala. Lisu namkubali sana ila sio kwa nafasi ya uwenyekiti. Sina muda wa kukununia bali nakupa nyeupe, na wala sihitaji ufanane na mimi mawazo kwa lolote, kirahisi hivyo.

Hilo la mimi kwenda kupiga kura wala sikwenda kwa kubahatisha, na kama Lisu asingetokea nisingeenda na msimamo wangu uko wazi peupe. Sikwenda kwa sababu nilitegemea atashinda, bali nilikwenda kwasababu alionyesha uthubutu dhidi ya dhalimu. Sasa sijui ni movie gani ya kwako imeniuma, maana sijawahi kufuata ushawishi wako wowote wa kupiga kura ama kuacha.

This is politics, ni kweli nilikuwa sijui hiyo politics bali nimejifunzia kwako, ndio maana nimechanganyikiwa kukuona mwalimu wangu umeniangusha. Hiyo ndio habari ya mjini.
 
That is a fact, my fact; sorry kama hujaielewa, i'm not forcing you and don't force me too.
 
Hilo choko lissu silipendi kujifanya lajua kila kitu uraisi harambi ng'o aendelee kujifanya mzungu hatumtaki TZ
 
Lissu mropokaji tu! Kila kitu anadandia bila hata kujua yalianzia wapi.
Mambo ya Bandarini yalianza wiki kadhaa kabla ya ugogojwa wa Magufuli. Waziri mkuu alishakwenda hapo na ktk ziara hiyo tuliona wazi kwamba Mkurugenzi anakuja kutumbuliwa tu. Siku hiyo PM alimstahi kwa kujua alikuwa ni juu ya madaraka yake. Sasa leo mkimbizi anakuja na furaha yake isiyo na sababu, na hadithi nyiingi utadhani ndo kagundua.
 
Hiyo report ingemfikia Magu akiwa hai wengi wangetumbuliwa on the spot! Hivyo mtubakivuruga Magu hakuwa na ajizi!
Kama alivyotendewa CAG aliyetangulia Prof Mussa Assad, au siyo? Msipoangalia huu ujasiri wenu wa kutetea maovu utawapeleka pabaya! Acha muovu apumzike na maovu yake.
 
Tundu anajaribu kuwaambia wale mliokuwa wanamapambio ya mzee marehemu,nyie ndio mlimchukulia n kama malaika hata mabaya yake mliyatetea
Wamesahau figisu walizomfanyia Prof Assad baada ya kuanika madudu ya Serikali ya CCM chini ya Uongozi wa Hayati Magu.
 
Hizi kejeli zenu ndizo zinazoimarisha chuki iliyokwishajengeka wakati wa Itawala wa Jiwe.
 
Bado mbichi sana kwenye haya mambo, ulidhani ningekufurahisha siku zote hapa jf ulikosea, I repeat this is politics, democracy in particular; nilichofanya hapa kisikuume ni upepo tu.

Nakusoma kule juu nakuona unavyojitahidi kunifukuza, mkiendeleza hiyo tabia mtakuwa wa kutaka kumfukuza kila mtu CDM mwishowe atabaki nani?

Hamuwezi wote kufanana mawazo kila siku, yatakuwa maigizo hayo, let people express there views na mjibu kistaarabu maisha yaendelee.

Mjifunze ku-agree to disagree, sijui kama utanielewa hapa na wenzako, mnaonekana bado wachanga sana kwenye hili, you need to grow up.
 
Hizi kejeli zenu ndizo zinazoimarisha chuki iliyokwishajengeka wakati wa Itawala wa Jiwe.
Frankly, kwa akili yako unaweza kumuona Lissu kwamba ana akili ya maana?
Huwa naanzia kwenye umri wake na unyoaji alionao kwa sasa na elimu yake ya sheria. Nani wa umri wake nchi hii anayenyoa vile kwa kuiga, muda mfupi tu aliokaa Ubelgiji.
 
Hakuna shaka Magu ali perform vizuri sana...lkn sikuwahi kuiamini Ile performance kama ilikuwa ya nia njema
 
Na tupo wengine ambaye mwenda zake baada ya kuapishwa November 2015 tulimpa siku mia tukimsoma na alipofeli tulianza kurusha makombora non-stop. Hivyo hivyo Mh. Rais Mama Samia tutampa muda. Kwa sasa ameanza vizuri lakini ole wake akifeli...hapo tutakula sahani moja!
 
Afukuze kina bashiru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…