Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemjibu kiuwazi sana...Nchi hii kwa sasa ina watu 60m, katika hao ni watu 6 tu wamefanikiwa kuwa marais, hivyo hata yeye asipokuwa rais, hilo sio tatizo kwani ni suala la Bahati zaidi kuliko uwezo. Una jingine tukusaidie?
Baba yako au Mama yako amewahi kuwa RaisThat’s why he will never ever be president.
Too infantile.
We umeanzia kwenye ukoo wako?Baba yako au Mama yako amewahi kuwa Rais
Anza kwenye ukoo wako na wazazi wako
Mbadala wa Mbowe ni yoyote anayekubalika na Chama, 15yrs inatosha sana. Hakuna uwezekano wa yeye kukaa 15yrs+ kusiwe na mbadala. Lisu namkubali sana ila sio kwa nafasi ya uwenyekiti. Sina muda wa kukununia bali nakupa nyeupe, na wala sihitaji ufanane na mimi mawazo kwa lolote, kirahisi hivyo.Sasa mimi na wewe alie panic nani?usikimbie, usininunie, kadi ya CCM ulinipa lini? unaamini speculations zako unataka nizikubali? wacha utoto.
Call it propaganda or anything, I repeat, this is my personal decision, Lissu kwangu sio mwanasiasa ukubali ukatae.
Mmemjaza amekuwa na kichwa kikubwa hasikii tena anachoambiwa, anajidanganya ana wafuasi wakati wakihitajika rodi hawatokei, now amebaki kuandika tu twitter, anatakiwa ajifunze kwa kina Bobi Wine.
Halafu huyo Mbowe huko Chadema huwa hajiweki mbona mgumu sana kuelewa hili? huwa anapigiwa kura yule, najua Lissu ni kipenzi chako ukubali/ukatae.
Lissu ndio alikufanya ukaenda kupiga kura, bila yeye kugombea usingepiga kura, ulisema mwenyewe maneno haya usiwe mnafiki, ndio maana hii move yangu imekuuma hadi unaropoka maneno ya ajabu ajabu coz nimegusa kipenzi chako unataka kulia, au sijui umeshaanza kulia!. pole.
Then again, sijui Mbowe amekubali porojo gani za CCM, unapenda kuendeshwa kwa mihemko ya Lissu ndio maana, yule Mbowe busara iko pale.
This is politics, kama ulikuwa huijui ndio uijue sasa, and above all, this is democracy sio lazima tufanane kila kitu kila wakati, ukipenda kuendelea ku-shout the choice is yours dude, take a glass of water and get on with your life, usijitese.
Now kama Mbowe hafai ukaambiwa sema unataka nani awe mwenyekiti lakini hukuwahi kujibu hili swali, mpaka leo bado umekariri tu Mbowe hafai, mbadala huna!
Duh, kumbe ume-note kapata moto, halafu ananiambia nimepanic!Calm down tindo, kijana hajielewi.
Whatchu gon’ do about it?Endeleeni na kiburi chenu,
Una uhakika?Naona samia anataka kurudia makosa ya maguful ya kupambana na watu bila kubadili mifumo! Anaweza kufeli zaidi ya maguful
That is a fact, my fact; sorry kama hujaielewa, i'm not forcing you and don't force me too.Lakini hajasema kwamba hiyo ndiyo ajenda.
Haya kayaongelea sasa, kwa sababu ndiyo yaliyopo sasa.
Inakuwaje wewe uone kuwa ndiyo ajenda pekee?
Kwa hiyo kwa vile madudu yalikuwepo hata kwenye awamu nyingine, hiyo ndiyo iwe sababu ya kutoibua madudu yaliyofanyika chini ya Magufuli?
Mbona 'reasoning' ya ajabu hii!
I am the muthaphuckin’ Nyani Son of Ngabu.Who are you by the way.
Lissu mropokaji tu! Kila kitu anadandia bila hata kujua yalianzia wapi.Kupitia ukurasa wake wa Twita ndugu Tundu Lissu amedai kuwa sasa kuwa kile watanzanianwengi walidhani watarithi mambo mazuri yaliyoachwa na JPM ni kama hakuna. Maana mengi yana uozo na yameanza kusambaratika. Kama uchunguzi ukifanyika mengi sana yataibuka.
Kama alivyotendewa CAG aliyetangulia Prof Mussa Assad, au siyo? Msipoangalia huu ujasiri wenu wa kutetea maovu utawapeleka pabaya! Acha muovu apumzike na maovu yake.Hiyo report ingemfikia Magu akiwa hai wengi wangetumbuliwa on the spot! Hivyo mtubakivuruga Magu hakuwa na ajizi!
Wamesahau figisu walizomfanyia Prof Assad baada ya kuanika madudu ya Serikali ya CCM chini ya Uongozi wa Hayati Magu.Tundu anajaribu kuwaambia wale mliokuwa wanamapambio ya mzee marehemu,nyie ndio mlimchukulia n kama malaika hata mabaya yake mliyatetea
Hizi kejeli zenu ndizo zinazoimarisha chuki iliyokwishajengeka wakati wa Itawala wa Jiwe.Lissu mropokaji tu! Kila kitu anadandia bila hata kujua yalianzia wapi.
Mambo ya Bandarini yalianza wiki kadhaa kabla ya ugogojwa wa Magufuli. Waziri mkuu alishakwenda hapo na ktk ziara hiyo tuliona wazi kwamba Mkurugenzi anakuja kutumbuliwa tu. Siku hiyo PM alimstahi kwa kujua alikuwa ni juu ya madaraka yake. Sasa leo mkimbizi anakuja na furaha yake isiyo na sababu, na hadithi nyiingi utadhani ndo kagundua.
Bado mbichi sana kwenye haya mambo, ulidhani ningekufurahisha siku zote hapa jf ulikosea, I repeat this is politics, democracy in particular; nilichofanya hapa kisikuume ni upepo tu.Mbadala wa Mbowe ni yoyote anayekubalika na Chama, 15yrs inatosha sana. Hakuna uwezekano wa yeye kukaa 15yrs+ kusiwe na mbadala. Lisu namkubali sana ila sio kwa nafasi ya uwenyekiti. Sina muda wa kukununia bali nakupa nyeupe, na wala sihitaji ufanane na mimi mawazo kwa lolote, kirahisi hivyo.
Hilo la mimi kwenda kupiga kura wala sikwenda kwa kubahatisha, na kama Lisu asingetokea nisingeenda na msimamo wangu uko wazi peupe. Sikwenda kwa sababu nilitegemea atashinda, bali nilikwenda kwasababu alionyesha uthubutu dhidi ya dhalimu. Sasa sijui ni movie gani ya kwako imeniuma, maana sijawahi kufuata ushawishi wako wowote wa kupiga kura ama kuacha.
This is politics, ni kweli nilikuwa sijui hiyo politics bali nimejifunzia kwako, ndio maana nimechanganyikiwa kukuona mwalimu wangu umeniangusha. Hiyo ndio habari ya mjini.
Frankly, kwa akili yako unaweza kumuona Lissu kwamba ana akili ya maana?Hizi kejeli zenu ndizo zinazoimarisha chuki iliyokwishajengeka wakati wa Itawala wa Jiwe.
Na tupo wengine ambaye mwenda zake baada ya kuapishwa November 2015 tulimpa siku mia tukimsoma na alipofeli tulianza kurusha makombora non-stop. Hivyo hivyo Mh. Rais Mama Samia tutampa muda. Kwa sasa ameanza vizuri lakini ole wake akifeli...hapo tutakula sahani moja!Mimi nilisimamia ukweli bila kupotezwa na propaganda mfu za awamu ya Magu. Na kama huyu mama ataamua kweli kusimamia ukweli bila kuchengesha, utajua misimamo yetu dhabiti dhidi ya utawala katili uliopita, tulikuwa sahihi kwenye mambo mengi. Tunaposema Mungu ameamua kufanya mabadiliko ya kweli bila kumwaga damu hatukosei.
Afukuze kina bashiruKwanza sina imani na report ya CAG! Naye achinguzwr! Pili huyo tundu hatapata anachotamani kuchafuliwa ,legacy' ya Magu! Hiyo report ingemfikia Magu akiwa hai wengi wangetumbuliwa on the spot! Hivyo mtubakivuruga Magu hakuwa na ajizi!
Mama SSH naamini ataendelea kutumbu hao wote wasioenda na kasi ya hapa kazi tu! Magu alifanya kwa kiasi chake ila baadhi ya wateule hawakutaka kubadirika ndio maana hata yy Magu alisema hao wezi na wala rushwa bado wapo na kazi ya utumbuaji ni endelevu!
Sasa mapoyoyo kama tundu wanatafuta chochote watakachoshika ili wamchafue asiyechafuliwa[emoji1787][emoji23][emoji1787]!
Tupo na Magufuli wetu no matter what, he'll always be our hero! Rest peaceful eterally our genuine hero Magufuli!