Tundu Lissu: Legacy ya hayati Magufuli imeanza kusambaratika,uchunguzi usiishie TPA na ATCL

Huyu nae atulie huko aache kulaumu laumu,Rais hakua malaika saaana asikosee
Kumbe mnajuwa hakuwa malaika, sasa kwanini waliomkosoa walipewa majina ya ajabu? Wasaliti, vibaraka wa mabeberu....!
 
Afukuze ma bashiru, polepole na wengine wengine.
 
Pia atumbue mkurugenzi wa TRA amenyanyasa Sana wafanyabiashara Hadi wakalala mbele tukakosa ajira na kodi.
Akae na wafanyabiashara asikilize changamoto zao Ili kuzitatua
 
Kumbe mnajuwa hakuwa malaika, sasa kwanini waliomkosoa walipewa majina ya ajabu? Wasaliti, vibaraka wa mabeberu....!
Huo ni udhaifu wa binadamu kuna wengine hawawezi kuvumilia kua challenged. Upinzani ulishindwa kusoma aina ya mtu na kuja na mbinu mbadala
 
Muda umefika wa Lissu kupambana na ‘post traumatic stress disorder’.

Asichukulie poa akiacha hiyo condition ita develop into other serious forms of stress and mental disorders.
Bora apamane akiwa anapumua wengine washakufa
 
That’s why he will never ever be president.

Too infantile.
Wewe upo Marekani, huna hata kura moja! Hivyo uwezo wa kumfanya awe au asiwe rais ni mdogo Sana. Mtakatifu wenu kumbe alikuwa mwizi??
 

Mkuu mimi sio mbichi kwenye siasa, bali niko kwenye hatua ya mimba kwenye siasa, ww tayari umeshapevuka kwenye siasa, hivyo nilisubiri ujiunge mwaka jana hapa jukwaani ili nijifunze siasa kwako.

Nikufukuze wapi, kwa taarifa yako mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa, sijawahi kuwa mwanachama na wala sintokuwa mwanachama, bali ni shabiki wa kutupwa wa cdm, na nimekuwa nikitoa michango yangu ya hali na mali kwa chama hicho, maana najua madhara ya kutawaliwa na chama kimoja tena kwa shuruti. Sasa huo uwezo nautoa wapi wa kukufukuza wakati siingii kwenye vikao halali vya cdm? Mimi napiga siasa hapa jukwaani nimemaliza. Na isitoshe hata kama ningetaka ufukuzwe, unafukuzwaje wakati unatumia fake Id? Ama unataka kubadili mantiki ya tunachoongea?

Halafu hilo sijui la kutaka ufanane mawazo na mimi, inawezekana kuna mahali mawazo yetu yakafanana kweli kwenye baadhi ya mambo, lakini sijawahi kutoa maoni yangu kwa msukumo, au ushawishi wa mitazamo yako, ama hata kutamani mawazo yako yafanane na yangu. Simple as that.
 

Exactly, kuna sehemu zaidi ya moja nimesema hilo, wangalau ndani ya siku 100 tutapata picha halisi ya upi msimamo wake. Ila kwa sasa kaonyesha dalili njema.
 
Kuniita CCM bila ushahidi ni kunifukuza nilipo/napotaka kuwa, au unataka ku-influence my mind/thinking while am a free minded person, just that.

Bye.
 
Kuna mtu anataka ubia na biashara za NDEge za nje! Mnasahau hizo ndege ndio ziliwabeba mkaenda mazikoni,.
Kinachopaswa ni namna ya kufix hizo hasara.
Mnaanza kumsema Mama kwa mafumbo! Mataga bhana!
 
Na kuna viumbe walishaanza harakati za 'atawale milele'
Hivi wanasemaje sasa?!
 
Nchi ilitawaliwa kama nyumba ya mtu binafsi. Unatembea na mihela yote pekee yake. Sifa tu zilijaa utawala wa awamu ya 5. R.I.P JPM mungu ni mwema kwa kila tukio lake.
 
Pia atumbue mkurugenzi wa TRA amenyanyasa Sana wafanyabiashara Hadi wakalala mbele tukakosa ajira na kodi.
Akae na wafanyabiashara asikilize changamoto zao Ili kuzitatua
KIla mtu awajibike. Wafanyabiashara pia waondoe akili ya wizi na upuuzi wanaouita ujanja. Tuna bussiness community ya watu failures, wanaowinda kuibia serikali kila leo.
 
Hivi huyu shetani Tundulisu bado yupo tu...nilifikiri COVID 19 ilishamchukua.... shoga mkubwa wewe
Covid 19 haiwezi kumpata Tundu Lissu. Anaheshimu sayansi japo so mwanasayansi. Huyu malaika wenu ndo kapigwa counter attack na covid. Hakuheshimu sayansi japo yeye ni mwanasayansi.
 
That’s why he will never ever be president.

Too infantile.

Acha hizo tuambie ATCL hakuna hasara,usihamishe magoli badala ya kujadili hoja unakimbilia kumshambulia mleta hoja.

Haya kuna mwenzenu wameshanyofoa pale Bandari Mataga Safari hii mtataga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…