Danny Jully
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 4,416
- 3,860
Kumbe mnajuwa hakuwa malaika, sasa kwanini waliomkosoa walipewa majina ya ajabu? Wasaliti, vibaraka wa mabeberu....!Huyu nae atulie huko aache kulaumu laumu,Rais hakua malaika saaana asikosee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mnajuwa hakuwa malaika, sasa kwanini waliomkosoa walipewa majina ya ajabu? Wasaliti, vibaraka wa mabeberu....!Huyu nae atulie huko aache kulaumu laumu,Rais hakua malaika saaana asikosee
Afukuze ma bashiru, polepole na wengine wengine.Kwanza sina imani na report ya CAG! Naye achinguzwr! Pili huyo tundu hatapata anachotamani kuchafuliwa ,legacy' ya Magu! Hiyo report ingemfikia Magu akiwa hai wengi wangetumbuliwa on the spot! Hivyo mtubakivuruga Magu hakuwa na ajizi!
Mama SSH naamini ataendelea kutumbu hao wote wasioenda na kasi ya hapa kazi tu! Magu alifanya kwa kiasi chake ila baadhi ya wateule hawakutaka kubadirika ndio maana hata yy Magu alisema hao wezi na wala rushwa bado wapo na kazi ya utumbuaji ni endelevu!
Sasa mapoyoyo kama tundu wanatafuta chochote watakachoshika ili wamchafue asiyechafuliwa[emoji1787][emoji23][emoji1787]!
Tupo na Magufuli wetu no matter what, he'll always be our hero! Rest peaceful eterally our genuine hero Magufuli!
Kwa ufahamisho tu, baada ya miaka zaidi ya sabini tangu afe bado tunamsema Adolf Hitler kwa uovu wake, au siyo?Any way marehemu asemwi vibaya.
Huo ni udhaifu wa binadamu kuna wengine hawawezi kuvumilia kua challenged. Upinzani ulishindwa kusoma aina ya mtu na kuja na mbinu mbadalaKumbe mnajuwa hakuwa malaika, sasa kwanini waliomkosoa walipewa majina ya ajabu? Wasaliti, vibaraka wa mabeberu....!
wewe unakataa kua hakua malaika wakati yy alisema anatamani akawe kiongozi wa malaika ht km amefariki umemkosea heshima mtake radhiHuyu nae atulie huko aache kulaumu laumu,Rais hakua malaika saaana asikosee
Bora apamane akiwa anapumua wengine washakufaMuda umefika wa Lissu kupambana na ‘post traumatic stress disorder’.
Asichukulie poa akiacha hiyo condition ita develop into other serious forms of stress and mental disorders.
Wewe upo Marekani, huna hata kura moja! Hivyo uwezo wa kumfanya awe au asiwe rais ni mdogo Sana. Mtakatifu wenu kumbe alikuwa mwizi??That’s why he will never ever be president.
Too infantile.
Hawajui kuwa wewe president wa wabeba mabox![emoji1787][emoji1787][emoji1787]I already am...
Bado mbichi sana kwenye haya mambo, ulidhani ningekufurahisha siku zote hapa jf ulikosea, I repeat this is politics, democracy in particular; nilichofanya hapa kisikuume ni upepo tu.
Nakusoma kule juu nakuona unavyojitahidi kunifukuza, mkiendeleza hiyo tabia mtakuwa wa kutaka kumfukuza kila mtu CDM mwishowe atabaki nani?
Hamuwezi wote kufanana mawazo kila siku, yatakuwa maigizo hayo, let people express there views na mjibu kistaarabu maisha yaendelee.
Mjifunze ku-agree to disagree, sijui kama utanielewa hapa na wenzako, mnaonekana bado wachanga sana kwenye hili, you need to grow up.
Na tupo wengine ambaye mwenda zake baada ya kuapishwa November 2015 tulimpa siku mia tukimsoma na alipofeli tulianza kurusha makombora non-stop. Hivyo hivyo Mh. Rais Mama Samia tutampa muda. Kwa sasa ameanza vizuri lakini ole wake akifeli...hapo tutakula sahani moja!
Kuniita CCM bila ushahidi ni kunifukuza nilipo/napotaka kuwa, au unataka ku-influence my mind/thinking while am a free minded person, just that.Mkuu mimi sio mbichi kwenye siasa, bali niko kwenye hatua ya mimba kwenye siasa, ww tayari umeshapevuka kwenye siasa, hivyo nilisubiri ujiunge mwaka jana hapa jukwaani ili nijifunze siasa kwako.
Nikufukuze wapi, kwa taarifa yako mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa, sijawahi kuwa mwanachama na wala sintokuwa mwanachama, bali ni shabiki wa kutupwa wa cdm, na nimekuwa nikitoa michango yangu ya hali na mali kwa chama hicho, maana najua madhara ya kutawaliwa na chama kimoja tena kwa shuruti. Sasa huo uwezo nautoa wapi wa kukufukuza wakati siingii kwenye vikao halali vya cdm? Mimi napiga siasa hapa jukwaani nimemaliza. Na isitoshe hata kama ningetaka ufukuzwe, unafukuzwaje wakati unatumia fake Id? Ama unataka kubadili mantiki ya tunachoongea?
Halafu hilo sijui la kutaka ufanane mawazo na mimi, inawezekana kuna mahali mawazo yetu yakafanana kweli kwenye baadhi ya mambo, lakini sijawahi kutoa maoni yangu kwa msukumo, au ushawishi wa mitazamo yako, ama hata kutamani mawazo yako yafanane na yangu. Simple as that.
Mnaanza kumsema Mama kwa mafumbo! Mataga bhana!Kuna mtu anataka ubia na biashara za NDEge za nje! Mnasahau hizo ndege ndio ziliwabeba mkaenda mazikoni,.
Kinachopaswa ni namna ya kufix hizo hasara.
KIla mtu awajibike. Wafanyabiashara pia waondoe akili ya wizi na upuuzi wanaouita ujanja. Tuna bussiness community ya watu failures, wanaowinda kuibia serikali kila leo.Pia atumbue mkurugenzi wa TRA amenyanyasa Sana wafanyabiashara Hadi wakalala mbele tukakosa ajira na kodi.
Akae na wafanyabiashara asikilize changamoto zao Ili kuzitatua
He jus an wrestle bwowerThat’s why he will never ever be president.
Too infantile.
Covid 19 haiwezi kumpata Tundu Lissu. Anaheshimu sayansi japo so mwanasayansi. Huyu malaika wenu ndo kapigwa counter attack na covid. Hakuheshimu sayansi japo yeye ni mwanasayansi.Hivi huyu shetani Tundulisu bado yupo tu...nilifikiri COVID 19 ilishamchukua.... shoga mkubwa wewe
That’s why he will never ever be president.
Too infantile.