Tundu Lissu: Legacy ya hayati Magufuli imeanza kusambaratika,uchunguzi usiishie TPA na ATCL

Hata kuua na kuminya vyombo vya habari ni legacy nayo.
 
Hunifahamu, leo ndio nasimama kwa ajili ya marehemu, sikuwahi kumtetea mwanzo nilikuwa na Lissu, mpaka nilivyogundua Lissu ana tatizo la ubongo ndio nimemuacha akatibiwe kwanza.
Mnakereka sana pro Maghufuli . Angalau mmshukuru Lissu kuwajulisha ugonjwa na hata kifo cha mpendwa wenu. Hao wengine walificha na kudai ni mzima anachapa kazi ikulu. Kumbe !!

Mama aruhusu uhuru wa habari . Uone uozo wa awamu ya 5 .

Ombolezeni bila hasira. Lissu si adui yenu
 
Lissu mwenyewe keshajiunga na huyo mama sijui wewe unasubiri nini.
 
Hivi huyu shetani Tundulisu bado yupo tu...nilifikiri COVID 19 ilishamchukua.... shoga mkubwa wewe
Mbhudogo kwetu ina maanishan demu anayependa chuma mboga style, inaonekana unapenda kuinamishwa sana.
 
Hana maana hata kidogo huyo jamaa.ndiyo tatizo walikuwa wanasifu mpaka wanakuwa vipofu mimacho inafumbuliwa Sasa. Kwa kuzuia habari na kufungia magazeti ya kiuchunguzi tu wenye akili walishajua madudu yatakuwa mengi
Hakika unazidi kuthibitisha kuwa hata mapambio yenu yaliongozwa na UOGA, UNAFIKI na hasa NJAA.
Amen

Ndio mtapita nayo.
Napita nayo naendayo wapi wakati yenyewe itabaki ili ikutawale milele. Au mwenyekiti katangulia kuandaa chama uko kuzimu. Mbinguni hakuna huu upuuzi wenu wa kuwapoteza kina saa nane.
 
Ndo maana Lissu hawezi kuwa Rahisi, anadhani roho yake ndo iko kwa mwingine
 
atueleze kwanza kwanini alikuwa hataki barrick ichungunguzwe na kusema tutashitakiwa MIGA
 
Jiwe ndiyo kafanya madudu zaidi ya hao wote
Na ndiyo kaleta maendeleo kuliko hao wote!
Yaani hapo ndiyo utajua Lisu ni zaidi ya kilaza
Kama Magufuri alifeli basi na Samia alifeli maana ilikuwa ni serikali moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…