Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Si popote.Iliandikwa wapi lazima awe rais?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si popote.Iliandikwa wapi lazima awe rais?
Lissu alisema Magufuli hakuacha chochote yaani within 5 yrs hakuna Alichofanya zaidi ya kuua na kuminya vyombo vya habari , leo katika maneno yake anasema Legacy ya Magufuli imeanza kusambaratika, kwahiyo amekubali Magufuli ameacha legacy kubwa nchini, sio kazi ya Magufuli kuilinda legacy hiyo ni sisi tuliobaki, shirika likifa ni viongozi waliopo kuwajibika, halafu kwa nini watanzania mnaombea makampuni yaliyo fufuliwa yafe? kwa nini msitoe mapendekezo ya nini kifanyike tupate faida? yaani wasomi wote tulionao hatuwezi kusimamia shirika? yaani hata tundu lissu hawezi? basi tuna wasomi hewa.
Moreless even Magufuli was an accidentally President. First think before you judge [emoji848]That’s why he will never ever be president.
Too infantile.
Mnakereka sana pro Maghufuli . Angalau mmshukuru Lissu kuwajulisha ugonjwa na hata kifo cha mpendwa wenu. Hao wengine walificha na kudai ni mzima anachapa kazi ikulu. Kumbe !!Hunifahamu, leo ndio nasimama kwa ajili ya marehemu, sikuwahi kumtetea mwanzo nilikuwa na Lissu, mpaka nilivyogundua Lissu ana tatizo la ubongo ndio nimemuacha akatibiwe kwanza.
I already am...
That's why nimesema kule juu Lissu is absolutely confused, CCM itatutawala milele.Kama Lisu anaikubali serikali ya Rais Samia wewe nani uwe mbishi.
Mama anachapa kazi.
magufuli kwenu mlimfanya kama mungu au malaika,That’s why he will never ever be president.
Too infantile.
“Accidentally president” 😂😂Moreless even Magufuli was an accidentally President. First think before you judge [emoji848]
Lissu mwenyewe keshajiunga na huyo mama sijui wewe unasubiri nini.Mnakereka sana pro Maghufuli . Angalau mmshukuru Lissu kuwajulisha ugonjwa na hata kifo cha mpendwa wenu. Hao wengine walificha na kudai ni mzima anachapa kazi ikulu. Kumbe !!
Mama aruhusu uhuru wa habari . Uone uozo wa awamu ya 5 .
Ombolezeni bila hasira. Lissu si adui yenu
Nyie ndo mmeshaanza kupata nyundo,baba yenu kashatangulia tayari aliyekuwa akiwapa kiburi. Nyambafu zenu.itaanza na wewe
Mbhudogo kwetu ina maanishan demu anayependa chuma mboga style, inaonekana unapenda kuinamishwa sana.Hivi huyu shetani Tundulisu bado yupo tu...nilifikiri COVID 19 ilishamchukua.... shoga mkubwa wewe
Hakika unazidi kuthibitisha kuwa hata mapambio yenu yaliongozwa na UOGA, UNAFIKI na hasa NJAA.
Amen
Napita nayo naendayo wapi wakati yenyewe itabaki ili ikutawale milele. Au mwenyekiti katangulia kuandaa chama uko kuzimu. Mbinguni hakuna huu upuuzi wenu wa kuwapoteza kina saa nane.Ndio mtapita nayo.
nakubalina na wewe yaani ni fisi maji..... amelaaniwaLissu amekaa kama fisi, anavizia apate walau mzogo au mfupa.
tuko pale pale maisha yanaendelea hakuna lililo haribika matusi ya nini ndugu....Nyie ndo mmeshaanza kupata nyundo,baba yenu kashatangulia tayari aliyekuwa akiwapa kiburi. Nyambafu zenu.
Kaa kimya na utulie.Si popote.
Usitoke kwenye mada bana, rudi kwa Lissu...Mbhudogo kwetu ina maanishan demu anayependa chuma mboga style, inaonekana unapenda kuinamishwa sana.
Kuna kipindi jiwe yeye mwenyewe alisema Zaid ya Mara moja hawez ondoka sababu haoni wa kuimalizia miradi aliyoianzisha Sasa hivi Yuko wapiBad enough kuna watu walitaka kumpa nchi milele😬😬😬
Mama hana noma. Wengine mlitishwa na kukanywa kumtembelea mgonjwa . Lakini mama alifika Nairobi hospital kumjulia hali mgonjwa. Mtu kama huyo utamchukiaJe !!Lissu mwenyewe keshajiunga na huyo mama sijui wewe unasubiri nini.
Na ndiyo kaleta maendeleo kuliko hao wote!Jiwe ndiyo kafanya madudu zaidi ya hao wote