Tundu Lissu: Legacy ya hayati Magufuli imeanza kusambaratika,uchunguzi usiishie TPA na ATCL


Ni kweli miradi mingi imejaa ufisadi wa kutisha ila ukisema huku unaonekana unaichafua serikali wakati unahurumia kodi za wananchi zinavyotumika vibaya kwa maslahi ya wapiga dili wachache.
 
Sijui kama watakusoma wakuelewe hao walioshikiwa akili na Lissu, since 2018 anampigia kelele Magufuli mpaka leo 2021 Magufuli is no more still bado anapayuka tu, hawezi kuwa mzima huyu mtu!
 
Unateseka?! sisisem!
 
Kwa hiyo bora asingepambana nao, sijui kama mngekaa kimya na huyo mbelgiji wenu.
Kupambana huko kukowapi?
Zaidi ya kauli za vitisho kuwatisha wengine wakimbie aibe Kwa uhuru?
Jiwe aliweka marafiki na ukabila mbele, maneno yake yakawa butu, huwezi kuwatendea watu wa karibu yako utakavyo,hata kama umewapa madaraka.
 
TPA inajulikana miaka nenda miaka rudi ni shida. Halafu sasa inaanzia ngazi ya chini. Labda waifumue yote ndo mageuzi yatatokea. Na siku zote nasema alie juu kwenye ajira yoyote hata kama amenyooka job security is slim na easy target.
 
Hunifahamu, leo ndio nasimama kwa ajili ya marehemu, sikuwahi kumtetea mwanzo nilikuwa na Lissu, mpaka nilivyogundua Lissu ana tatizo la ubongo ndio nimemuacha akatibiwe kwanza.

Ni kweli Lisu ana matatizo ya ubongo, ila sio kwa hili alilolisema.
 
Baada ya kifo ndo mnasema naye NI binadamu? Mmesahau mlivyokuwa mnamsujudu? Mtasema yote.
 
You are too inferior to Lissu.
Keep quiet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…