El Maestro
Senior Member
- Apr 12, 2020
- 178
- 126
Biashara yoyote inaweza pata hasara bwashee, hasara sio ufisadi, google shirika la ndege lililopata faida kipindi cha Covid-1960B? Kmmk, aende tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara yoyote inaweza pata hasara bwashee, hasara sio ufisadi, google shirika la ndege lililopata faida kipindi cha Covid-1960B? Kmmk, aende tu!
Kupitia ukurasa wake wa Twita ndugu Tundu Lissu amedai kuwa sasa kuwa kile watanzanianwengi walidhani watarithi mambo mazuri yaliyoachwa na JPM ni kama hakuna. Maana mengi yana uozo na yameanza kusambaratika. Kama uchunguzi ukifanyika mengi sana yataibuka.
Sijui kama watakusoma wakuelewe hao walioshikiwa akili na Lissu, since 2018 anampigia kelele Magufuli mpaka leo 2021 Magufuli is no more still bado anapayuka tu, hawezi kuwa mzima huyu mtu!Yaelekea Lissu kaamua kuacha siasa na kurudi kwenye harakati kikamilifu. Kama ana nia ya kuongoza mapambano makuu ya kisiasa basi asihangaike kumcharaza mikwaju punda aliyefariki (flogging a dead horse) - madudu ya Jiwe wenye uelewa tunayafahamu sana na ni suala la muda tu yataanza kudhihirika kwa wengi. Asipoteze muda wake kwa ya Jiwe yaliyopita. Sijui ni kipi tusichojua?
Nilitarajia Lissu wakati huu ajaze kurasa zake na ushauri kuhusu mikakati ya kuimarisha demokrasia, haki za binadamu, utawala bora na maendeleo endelevu nchini. Masuala kama Katiba mpya, ujenzi wa taasisi imara za uongozi, usimamizi na utendaji; usimamizi bora wa kanuni za demokrasia; nk. Hayo ndio tunayotarajia kumsikia akielimisha na kushauri mara baada ya Jiwe kuondoka. Baadaye atapata fursa ya kukosoa utendaji wa serikali inayoanza kazi sasa pamoja na kufuatilia haki zake binafsi ikibidi. He needs to stand great and tall. Aachane na utendaji wa Jiwe enzi hizo. There is no news there.
Unateseka?! sisisem!Halafu we mzee hueleweki Kama k
Ww si ulikua unampinga jiwe leo hii unabinua mdomo unasema fefefefefe zako
Acha unafik we babu utakufa vibaya Sana
Sisisem asilia tunarudi ulingoni wanafiki Kama tunawatupa baharin
Wajinga nyie
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Haupati uteuz mataga nyieUnateseka?!
Msaada wakuu kwa mwanachama mpya MATAGA ni watu gani haoUjumbe ni kwa MATAGA ambao tayari wameshamtangaza kuwa ni MALAIKA!
Kupambana huko kukowapi?Kwa hiyo bora asingepambana nao, sijui kama mngekaa kimya na huyo mbelgiji wenu.
kumbe magufuli alikuwa fisadi
Tunaambiwa hasara ya bil 60 ndani ya miaka 5. Hapa Covid inaingia vipi?Biashara yoyote inaweza pata hasara bwashee, hasara sio ufisadi, google shirika la ndege lililopata faida kipindi cha Covid-19
TPA inajulikana miaka nenda miaka rudi ni shida. Halafu sasa inaanzia ngazi ya chini. Labda waifumue yote ndo mageuzi yatatokea. Na siku zote nasema alie juu kwenye ajira yoyote hata kama amenyooka job security is slim na easy target.Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.
Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.
Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Ahaaaa.Kidogo sasa.
Hunifahamu, leo ndio nasimama kwa ajili ya marehemu, sikuwahi kumtetea mwanzo nilikuwa na Lissu, mpaka nilivyogundua Lissu ana tatizo la ubongo ndio nimemuacha akatibiwe kwanza.
Kwa akili kama zako tutatawaliwa daima.Kumbe shida ni yawekwe wazi tu, then after that business as usual, nawaambia ukweli CCM itatutawala milele.
Tafuta shirika lilipata faida ndani ya miaka 5 basiTunaambiwa hasara ya bil 60 ndani ya miaka 5. Hapa Covid inaingia vipi?
Msimfundishe mama kaziKupitia ukurasa wake wa Twita ndugu Tundu Lissu amedai kuwa sasa kuwa kile watanzanianwengi walidhani watarithi mambo mazuri yaliyoachwa na JPM ni kama hakuna. Maana mengi yana uozo na yameanza kusambaratika. Kama uchunguzi ukifanyika mengi sana yataibuka.
Angeacha kila mtu ajiokotee unadhani ingekuwa hivyo?Kupambana huko kukowapi?
Zaidi ya kauli za vitisho kuwatisha wengine wakimbie aibe Kwa uhuru?
Jiwe aliweka marafiki na ukabila mbele, maneno yake yakawa butu, huwezi kuwatendea watu wa karibu yako utakavyo,hata kama umewapa madaraka.
Baada ya kifo ndo mnasema naye NI binadamu? Mmesahau mlivyokuwa mnamsujudu? Mtasema yote.Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.
Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.
Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.
Lissu anadhani Magufuli alikuwa malaika? hebu atuambie ni Rais yupi ambaye wakati wake akiongoza hapakuwa na kasoro kwenye utendaji wake.
Naona ameshasahau Katiba Mpya, wenzie wamkumbushe, Magufuli is no more.
Madudu yalikuwepo toka enzi za Mkapa, akaja Kikwete, na Magufuli akafanya kwa kiasi chake mpaka pale alipoishia, vyema atafute ajenda nyingine kabla 2025 haijakaribia.