Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usidanganyike na Stiglers Gorge na SGR kuwa eti ni miradi ya faida. Hizo ni sunk costs. A sunk cost is a cost that has already been incurred and cannot be recovered. Sunk costs are contrasted with prospective costs, which are future costs that may be avoided if action is taken.Najua pengine ukali wa speech zako kwa namna Fulani unachangiwa na madhila uliyopitia ambayo Mungu wa Rehema alikuepusha.
Labda tu kukushauri unapoanza safari ndefu ya kampeni katika kuwaomba watanzania wakuchague jaribu kuwa moderate unapokuwa unatoa speech zako na pia jikite Zaidi katika kujenga hoja mbadala kupitia ilani ya chama chenu na kuzifafanua kwa kina.
Tukubali ama tusikubali JPM kwa wastani kafanya mambo mazuri sana ndani ya muda mfupi na haswa kwenye ujenzi wa miundombinu.; SGR, Bwawa la umeme, Mabarara, Vivuko, Madege,……nk
Sasa kuwaaminisha watu kwamba wewe unaweza kuyafanya Zaidi ya haya ambayo JPM tayari kasha yaanza mpaka majirani wanatuonea wivu inahitaji convincing power ya hali juu ingawa najua wewe unayo.Ila lazima jasho likutoke.
Na ukumbuke yote mazuri yaliyofanyika yanasemwa kila siku kwenye vyombo vyetu vya habari nchini ambavyo wewe kwa mazingira yaliyopo huna coverage navyo achilia mbali kualikwa kwenye interviews.
Jambo zuri kwenye kampeni hizi wagombea wote ni outspoken speakers
Kila la heri