Pre GE2025 Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Tundu Lissu "Ninajua kuwa Mbowe ndiye aliyemtuma Wenje agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma"
Kwahiyo lengo lake ni kumkomoa Mbowe au kunusuru Chama......sidhani kama hayo maneno ni ya Lissu iko smart sanaa hawezi kusema recklessly hivo.
 
Tundu tunza kauli kaka,

Siasa zina pande nyingi sana.... Unless ujiandae kuwa kama kina Che Guavara

Duniani sio kila kitu cha kusema kuna vingine vya kuzikwa navyo.

Hiyo grandiosity na self inflicted grandiosity haikufikishi popote...

Unataka kusema Wenje ana udogo gani kwenye siasa za CDM kukuliko?

Unakumbuka unachangisha mchango wa gari ni mwaka sasa hujafikisha mil 150? Jiulize tu kuna nini? Hawa washabiki kwanin huwaoni kwenye course zako?
 
Move ya Mwenyekiti kumleta aliyekula pesa za Abduli ndo ikawa kichocheo zaidi kwa mheshimiwa Lissu kuona kuwa hapa sasa hatuna mwenyekiti, bora aende akarekebishe mambo!
 
Tundu tunza kauli kaka,

Siasa zina pande nyingi sana.... Unless ujiandae kuwa kama kina Che Guavara

Duniani sio kila kitu cha kusema kuna vingine vya kuzikwa navyo.

Hiyo grandiosity na self inflicted grandiosity haikufikishi popote...

Unataka kusema Wenje ana udogo gani kwenye siasa za CDM kukuliko?

Unakumbuka unachangisha mchango wa gari ni mwaka sasa hujafikisha mil 150? Jiulize tu kuna nini? Hawa washabiki kwanin huwaoni kwenye course zako?
Wenje versus Lissu.
Mchango 150mlns versus umasikini wa wananchi.
Sijui unaelewa?
 
Hapa ndio patamu sasa ngoja tuendelee kula popcorn tuone sinema linaendaje
1000018361.gif
 
Wenje versus Lissu.
Mchango 150mlns versus umasikini wa wananchi.
Sijui unaelewa?
Umasikini Mil 150?
Unakumbuka zile kesi za kubumba za Bwana mkubwa... mil 400 kwa masaa kadhaa?

Kudogosha watu kwa minajili ya kupendwa sio kitu sahihi mzee...

Kumbuka huyo jamaa na Wenje ni marafiki kabla wahuni hawajamjaza upepo...

Uzuri wa papara kama hizi muda unasema mambo mengi sana
 
Tundu tunza kauli kaka,

Siasa zina pande nyingi sana.... Unless ujiandae kuwa kama kina Che Guavara

Duniani sio kila kitu cha kusema kuna vingine vya kuzikwa navyo.

Hiyo grandiosity na self inflicted grandiosity haikufikishi popote...

Unataka kusema Wenje ana udogo gani kwenye siasa za CDM kukuliko?

Unakumbuka unachangisha mchango wa gari ni mwaka sasa hujafikisha mil 150? Jiulize tu kuna nini? Hawa washabiki kwanin huwaoni kwenye course zako?
Mbowe alimuonea Sana Dr Slaa 2015 Malipo ni hapa hapa chini ya jua

Kanisa Moja Takatifu La Mitume🌹😃
 
Back
Top Bottom