Pre GE2025 Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Move ya Mwenyekiti kumleta aliyekula pesa za Abduli ndo ikawa kichocheo zaidi kwa mheshimiwa Lissu kuona kuwa hapa sasa hatuna mwenyekiti bora aende akarekebishe mambo!
Lissu ameshindwa kuthibitisha kama Wenje alikula pesa za Abduli. Alipobanwa akajitetea kuwa mwenye ushahidi ametutoka.
Mtu ambae unaweza kuhisi kwa kiasi kikubwa kuwa alifaidika na hizo pesa ni Msigwa ambae ni rafiki yake mkubwa. Kama ni mkweli kama anavyo tuaminisha anashindwa nini kutuambia Msigwa alitoa wapi pesa za kugombea uchaguzi wa kanda ya Nyasa?

Amandla...
 
Haiwez kuwa NCCR instantly..
Ila ukata utaitafuna sana CDM huyo jamaa akishinda.

Atapigwa na usaliti huu anouona kwa Mwenyekiti cha mtoto..

Miaka miwil atarudi Belgium..

Kura kwa upinzani zipo za kutosha ila kwa muktadha na wakati ni mwendo wa kupigwa viatu na matokeo Urais ni asilimia 99😂
Mtoto akililia wembe mpe.

Amandla...
 
Lissu ameshindwa kuthibitisha kama Wenje alikula pesa za Abduli. Alipobanwa akajitetea kuwa mwenye ushahidi ametutoka.
Mtu ambae unaweza kuhisi kwa kiasi kikubwa kuwa alifaidika na hizo pesa ni Msigwa ambae ni rafiki yake mkubwa. Kama ni mkweli kama anavyo tuaminisha anashindwa nini kutuambia Msigwa alitoa wapi pesa za kugombea uchaguzi wa kanda ya Nyasa?

Amandla...

Uthibitisho ulitolewa kwenye Kikao cha kamati kuu ya chama, Na mzee Kibao alimtetea Lissu kikaoni kuwa ayasemayo Lissu ni kweli. Siku chche baadae mzee kibao akadedishwa!. Kama Lissu alitoa tuhuma za uwongo mbona chama hakijamchukulia hatua za kinidhamu?.
 
Viongozi Wote wa Chadema mabwana zao wanaowafadhili wako CCM

Bila kufadhiliwa na CCM Benson Kigaila angekufa Njaa ila anaenjoy marupurupu ya bungeni 😂
 
Uthibitisho ulitolewa kwenye Kikao cha kamati kuu ya chama, Na mzee Kibao alimtetea Lissu kikaoni kuwa ayasemayo Lissu ni kweli. Siku chche baadae mzee kibao akadedishwa!. Kama Lissu alitoa tuhuma za uwongo mbona chama hakijamchukulia hatua za kinidhamu?.
Simulizi za redio mbao. Kama Mzee Kibao alimpa ushahidi wa hiyo rushwa Lissu, si atakuwa bado ana nakala? Chama hakikuweza kumchukulia hatua yeyote ya kinidhamu kwa sababu wangefanya hivyo ingekuwa na athari zaidi.

Kwa hiyo sasa mnataka kutuambia kuwa Mbowe alihusika katika kifo cha Mzee Kibao? Bado kidogo tu mtasema alihusika katika kupotea kwa Soka, Ben Saanane n.k. na kupigwa risasi kwa Lissu kama ambavyo inavyodaiwa na wengine!

Tuoneeni huruma.

Amandla...
 
Washamba Washamba wengi tu wamesoma Ilboru labda ukimtoa Pascal Mayalla 😂😂

Wajanja wa enzi hizo Shule zao zinajulikana meku 😂
Kama yupi? Hamna mshamba anakanyaga pale, mshamba hana akili ya ku perform top schools?
Umesoma pale wewe?
 
Back
Top Bottom