Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kwahiyo lengo lake ni kumkomoa Mbowe au kunusuru Chama......sidhani kama hayo maneno ni ya Lissu iko smart sanaa hawezi kusema recklessly hivo.Wakuu
Tundu Lissu "Ninajua kuwa Mbowe ndiye aliyemtuma Wenje agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma"
Tundu Lisu asingekubali kuchezewa kama Dr Slaa 2015 ๐๐Mpaka nione mwisho itakuwaje.Mola nijaalie pumzi.
Kazi na milimo ipo huko.Ngoja tuone.Tundu Lisu asingekubali kuchezewa kama Dr Slaa 2015 ๐๐
Lucas ukuje huku yapo majibu ya maswali yako mengi.Wakuu
Tundu Lissu "Ninajua kuwa Mbowe ndiye aliyemtuma Wenje agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma"
View attachment 3194129
Kwahiyo lengo lake ni kumkomoa Mbowe au kunusuru Chama......sidhani kama hayo maneno ni ya Lissu iko smart sanaa hawezi kusema recklessly hivo.
Ila Lissu ni kivuruge kweli kweliWakuu
Tundu Lissu "Ninajua kuwa Mbowe ndiye aliyemtuma Wenje agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma"
View attachment 3194129
Wenje versus Lissu.Tundu tunza kauli kaka,
Siasa zina pande nyingi sana.... Unless ujiandae kuwa kama kina Che Guavara
Duniani sio kila kitu cha kusema kuna vingine vya kuzikwa navyo.
Hiyo grandiosity na self inflicted grandiosity haikufikishi popote...
Unataka kusema Wenje ana udogo gani kwenye siasa za CDM kukuliko?
Unakumbuka unachangisha mchango wa gari ni mwaka sasa hujafikisha mil 150? Jiulize tu kuna nini? Hawa washabiki kwanin huwaoni kwenye course zako?
Lakini si ndio ukweli? Akae kimya tu msijue ni nini kimemfanya agombee?Kwahiyo lengo lake ni kumkomoa Mbowe au kunusuru Chama......sidhani kama hayo maneno ni ya Lissu iko smart sanaa hawezi kusema recklessly hivo.
Mbowe ni mtoto wa Mjini lakini Tundu Lisu ni mshamba aliyesoma Shule Bora kabisa ya Ilboru ๐๐๐๐Kazi na milimo ipo huko.Ngoja tuone.
Lissu na Mbowe hawapikiki tena chungu kimoja.Wakuu
Tundu Lissu "Ninajua kuwa Mbowe ndiye aliyemtuma Wenje agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma"
View attachment 3194129
Umasikini Mil 150?Wenje versus Lissu.
Mchango 150mlns versus umasikini wa wananchi.
Sijui unaelewa?
Move ya Mwenyekiti kumleta aliyekula pesa za Abduli ndo ikawa kichocheo zaidi kwa mheshimiwa Lissu kuona kuwa hapa sasa hatuna mwenyekiti bora aende akarekebishe mambo!
Mbowe alimuonea Sana Dr Slaa 2015 Malipo ni hapa hapa chini ya juaTundu tunza kauli kaka,