Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Lissu ameshindwa kuthibitisha kama Wenje alikula pesa za Abduli. Alipobanwa akajitetea kuwa mwenye ushahidi ametutoka.Move ya Mwenyekiti kumleta aliyekula pesa za Abduli ndo ikawa kichocheo zaidi kwa mheshimiwa Lissu kuona kuwa hapa sasa hatuna mwenyekiti bora aende akarekebishe mambo!
Mtoto akililia wembe mpe.Haiwez kuwa NCCR instantly..
Ila ukata utaitafuna sana CDM huyo jamaa akishinda.
Atapigwa na usaliti huu anouona kwa Mwenyekiti cha mtoto..
Miaka miwil atarudi Belgium..
Kura kwa upinzani zipo za kutosha ila kwa muktadha na wakati ni mwendo wa kupigwa viatu na matokeo Urais ni asilimia 99π
Tofautisha kazi na majukumu πKaz na Umri
Ule umri na ile afya atulie tu sasa... Ale pension yake
Rushwa ipi?Ni mawili tu mbowe kushindwa au Chama kufa kabisa Mbowe hauziki tena rushwa isafishiki.
Maridhiano ya chadema na CCM unafikiri offer ilikua nini?Rushwa ipi?
Amandla...
Lissu ameshindwa kuthibitisha kama Wenje alikula pesa za Abduli. Alipobanwa akajitetea kuwa mwenye ushahidi ametutoka.
Mtu ambae unaweza kuhisi kwa kiasi kikubwa kuwa alifaidika na hizo pesa ni Msigwa ambae ni rafiki yake mkubwa. Kama ni mkweli kama anavyo tuaminisha anashindwa nini kutuambia Msigwa alitoa wapi pesa za kugombea uchaguzi wa kanda ya Nyasa?
Amandla...
Viongozi Wote wa Chadema mabwana zao wanaowafadhili wako CCMLissu ameshindwa kuthibitisha kama Wenje alikula pesa za Abduli. Alipobanwa akajitetea kuwa mwenye ushahidi ametutoka.
Mtu ambae unaweza kuhisi kwa kiasi kikubwa kuwa alifaidika na hizo pesa ni Msigwa ambae ni rafiki yake mkubwa. Kama ni mkweli kama anavyo tuaminisha anashindwa nini kutuambia Msigwa alitoa wapi pesa za kugombea uchaguzi wa kanda ya Nyasa?
Amandla...
Hamna mshamba anasoma illboru, zinaenda cream tu paleMbowe ni mtoto wa Mjini lakini Tundu Lisu ni mshamba aliyesoma Shule Bora kabisa ya Ilboru ππππ
Washamba Washamba wengi tu wamesoma Ilboru labda ukimtoa Pascal Mayalla ππHamna mshamba anasoma illboru, zinaenda cream tu pale
Wapi alipomkomoa? πΌKwa hiyo agenda/sera ya Lissu ni kumkomoa Mbowe? Ndio itakayojenga chama?
Simulizi za redio mbao. Kama Mzee Kibao alimpa ushahidi wa hiyo rushwa Lissu, si atakuwa bado ana nakala? Chama hakikuweza kumchukulia hatua yeyote ya kinidhamu kwa sababu wangefanya hivyo ingekuwa na athari zaidi.Uthibitisho ulitolewa kwenye Kikao cha kamati kuu ya chama, Na mzee Kibao alimtetea Lissu kikaoni kuwa ayasemayo Lissu ni kweli. Siku chche baadae mzee kibao akadedishwa!. Kama Lissu alitoa tuhuma za uwongo mbona chama hakijamchukulia hatua za kinidhamu?.
Kama yupi? Hamna mshamba anakanyaga pale, mshamba hana akili ya ku perform top schools?Washamba Washamba wengi tu wamesoma Ilboru labda ukimtoa Pascal Mayalla ππ
Wajanja wa enzi hizo Shule zao zinajulikana meku π
Top schools unaelewa maana yake?Kama yupi? Hamna mshamba anakanyaga pale, mshamba hana akili ya ku perform top schools?
Umesoma pale wewe?
Kwahiyo asilimia kubwa zinagonga wapi mkuu Kwa mtoto Wa mjini au aliyesoma shule Bora..???,Mbowe ni mtoto wa Mjini lakini Tundu Lisu ni mshamba aliyesoma Shule Bora kabisa ya Ilboru ππππ
Unataka akufurahishe wewe?Kwahiyo lengo lake ni kumkomoa Mbowe au kunusuru Chama......sidhani kama hayo maneno ni ya Lissu iko smart sanaa hawezi kusema recklessly hivo.
Huyo mtoto wa mjini awamu hii atakwama, chama sio mali yakeMbowe ni mtoto wa Mjini lakini Tundu Lisu ni mshamba aliyesoma Shule Bora kabisa ya Ilboru ππππ
Aliyesoma Shule Bora connection zake zinakuwa za kuaminika tofauti na janja janja ya Born town πKwahiyo asilimia kubwa zinagonga wapi mkuu Kwa mtoto Wa mjini au aliyesoma shule Bora..???,