Lissu umecheza karata zako vby, huwezi kung'oa Mbowe kwenye kiti hilo sahau iwe kwa kura ama kwa majungu - uwezo huo hunao kwa sasa.
Wakati anakijemga chama wewe ulikuwa unahangaika na uanaharakti wa kutetea wachimbaji wadogo wa madini, kwa hiyo ni vizuri kuheshimu waliyofanya wenzako hasa wakati chama kilipokuwa kichanga kabisa.
Infact mbowe kawekeza kwako zaidi ya 70% ya ulivyo sasa, hata kama uliutaka wenyekiti basi mguu ulianza nao ndugu siyo wenyewe.
Sasa madamu ushayavulia nguo, hakuna namna BOX litazungumza, ila tunakuomba kwa atakayepigwa hakuna kukimbia, Mbowe ni mtu muungwana sana atakupatia Ujumbe wa Kamati Kuu - hata ugombea Urais utapewa kama utakidhi vigezo. Mbowe hanaga roho ya korosho na ndiyo maana ni mtu mwenye mafanikio makubwa.