Seems like Lissu intelligence is more active than Chadema's intelligenceWakuu
Tundu Lissu "Ninajua kuwa Mbowe ndiye aliyemtuma Wenje agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma"
Pia, Soma:
Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA
Lissu: Mbowe ni muongo, tulifanya kikao cha siri kwa siku 3. Alikataa nisigombee Urais na Uenyekiti huku yeye akisema hajaamua
View attachment 3194129
Mbona alitoa sera ba dira yake wakati anatangaza nia ya kugombeakwa hiyo kumbe hata plan za jinsi atakavyoivusha chadema kama mwenyekiti hana, sababu KUU ya kugombea ni kukomoana? yaani mwaga mboga nimwage ugali? chadema deserves better, man β¦
Hizi ni dua za KukuHaiwez kuwa NCCR instantly..
Ila ukata utaitafuna sana CDM huyo jamaa akishinda.
Atapigwa na usaliti huu anouona kwa Mwenyekiti cha mtoto..
Miaka miwil atarudi Belgium..
Kura kwa upinzani zipo za kutosha ila kwa muktadha na wakati ni mwendo wa kupigwa viatu na matokeo Urais ni asilimia 99[emoji23]
Whither CHADEMA?Wakuu
Tundu Lissu "Ninajua kuwa Mbowe ndiye aliyemtuma Wenje agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma"
Pia, Soma:
Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA
Lissu: Mbowe ni muongo, tulifanya kikao cha siri kwa siku 3. Alikataa nisigombee Urais na Uenyekiti huku yeye akisema hajaamua
View attachment 3194129
Huu uzi machawa yanapita kimyakimya.Mlimuomea sana Padre Dr Slaa 2015 Malipo hapa hapa πππ
Kuchagua maneno ni kazi sana na hapo ndio leadership figure inapopimwa na utasikia yule hafai kuwa kiongoziKwahiyo lengo lake ni kumkomoa Mbowe au kunusuru Chama......sidhani kama hayo maneno ni ya Lissu iko smart sanaa hawezi kusema recklessly hivo.
Tupo hapa mkuu,Hizi ni dua za Kuku
Kama Ruzuku ya milioni 100+ inaendesha makao makuu peke yake hapo atashindwa nini? Wakati mikutano yote watu wanachangishana
Hivi huyu Pascal mnayemjadili humu ni Pascal Mayalla au pasikali gΓ ni?Top schools unaelewa maana yake?
Vipaji Maalum siyo top school ndio sababu Pascal alikwama mbeleni japo yuko vizuri Sana kichwani
Sidhani kama utaelewa tuishie hapo πΌ
Unaposema usalama wake unamaanisha nini?Tupo hapa mkuu,
Ruzuku ya Mil 100 haitaweza kufanya mikutano ya harakati kama anavyotaka tuamini .
Kuna efficiency ya mikutano pia, FAM alikuwa anapiga 8 kwa siku..
Tundu Chopper nani atakkodisha? Usalama wake ni very suspicious kwa kipindi chote kilichobaki, sio CDM sio CCM..
Jamaa anajiona bonge moja ya big deal...Kama anamdharau mgombea mwenzake sisi tusiokuwa na chama SI itakuwa balaa
Mbowe nani asitoke? kwani ana hati miliki ya Chama?Lissu umecheza karata zako vby, huwezi kung'oa Mbowe kwenye kiti hilo sahau iwe kwa kura ama kwa majungu - uwezo huo hunao kwa sasa.
Wakati anakijemga chama wewe ulikuwa unahangaika na uanaharakti wa kutetea wachimbaji wadogo wa madini, kwa hiyo ni vizuri kuheshimu waliyofanya wenzako hasa wakati chama kilipokuwa kichanga kabisa.
Infact mbowe kawekeza kwako zaidi ya 70% ya ulivyo sasa, hata kama uliutaka wenyekiti basi mguu ulianza nao ndugu siyo wenyewe.
Sasa madamu ushayavulia nguo, hakuna namna BOX litazungumza, ila tunakuomba kwa atakayepigwa hakuna kukimbia, Mbowe ni mtu muungwana sana atakupatia Ujumbe wa Kamati Kuu - hata ugombea Urais utapewa kama utakidhi vigezo. Mbowe hanaga roho ya korosho na ndiyo maana ni mtu mwenye mafanikio makubwa.
Kala pesa ya Abdul kwa Lissu hiyo ni fedheha, yuko sahihiJamaa anajiona bonge moja ya big deal...
Ni suala la muda.
Hata TL hakufaulu vizur O level... Ndio maana Advance akaenda Galanos π.Top schools unaelewa maana yake?
Vipaji Maalum siyo top school ndio sababu Pascal alikwama mbeleni japo yuko vizuri Sana kichwani
Sidhani kama utaelewa tuishie hapo πΌ
Maana ya CHADEMA ni nini?Naunga mkono hoja...sio kila kitu ni cha kusema. Vingine tunakufa navyo. Tundu unadhani vyama Vingine havina changamoto? Unasikia wanaropoka hivyo? Wenzenu wanasutana ndani..mwanaume mpumbavu huvunja taasisi yake kwa mdomo wake mwenyewe
Narudia tena muda utaweka kila kitu sawaKala pesa ya Abdul kwa Lissu hiyo ni fedheha, yuko sahihi