Pre GE2025 Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huko sahihi mkuu, hekima inatakiwa, kuheshimiana ni jambo jema sana, sasa kama chama kitawashinda nchi mtaiweza lazima kuweka akiba ya maneno, kila familia ina siri zake.
 
CLAPS YOUR HANDS TO THIS MAN.
kumekucha tena enyi wanyonge wanyongeni haki yenu mpewe huku mkiwa mmenyongwa daaah hatari sana.
sasa tuende kwenye head line. ni hivi kama mnyampaa hatashinda katika uchaguzi huu wa leo nashauri ahamie CCM. WHY??
1. kama sisiem wanataka warudishe matumaini kwa watanzania ni lazima wawe na mtu kama lissu mana wao hawana labda angalau MAKONDA. Hiyo ni kwa baadae.
2. Kama kweli lissu ni mzalendo wa kweli basi hana budi kwenda huko mana inaweza kuwa rahisi yeye kuupata urais kutokana na ushawishi alio nao kwa raia na ndpo anaweza pata chance ya kuwaparua mafisadi japo sio rahisi.
3. Naomba haki na demokrasia zifuatwe ipasavyo ili lissu ashinde na akishinda tu naamini watanzania watapata matumaini hata kwa vyama vya upinzani mana kule wamekata tamaa sana.
NB. Hayo ni mawazo yangu mana hapa nilipo sijielewielewi kichwa kinagonga balaa..
 
Unajua kwanini JF wame'imerge hii post yako mkuu???


Ni kwasababu UMEANDIKA PUMBA!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…