Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko sahihi mkuu, hekima inatakiwa, kuheshimiana ni jambo jema sana, sasa kama chama kitawashinda nchi mtaiweza lazima kuweka akiba ya maneno, kila familia ina siri zake.Tundu tunza kauli kaka,
Siasa zina pande nyingi sana.... Unless ujiandae kuwa kama kina Che Guavara
Duniani sio kila kitu cha kusema kuna vingine vya kuzikwa navyo.
Hiyo grandiosity na self inflicted grandiosity haikufikishi popote...
Unataka kusema Wenje ana udogo gani kwenye siasa za CDM kukuliko?
Unakumbuka unachangisha mchango wa gari ni mwaka sasa hujafikisha mil 150? Jiulize tu kuna nini? Hawa washabiki kwanin huwaoni kwenye course zako?
Unajua kwanini JF wame'imerge hii post yako mkuu???CLAPS YOUR HANDS TO THIS MAN.
kumekucha tena enyi wanyonge wanyongeni haki yenu mpewe huku mkiwa mmenyongwa daaah hatari sana.
sasa tuende kwenye head line. ni hivi kama mnyampaa hatashinda katika uchaguzi huu wa leo nashauri ahamie CCM. WHY??
1. kama sisiem wanataka warudishe matumaini kwa watanzania ni lazima wawe na mtu kama lissu mana wao hawana labda angalau MAKONDA. Hiyo ni kwa baadae.
2. Kama kweli lissu ni mzalendo wa kweli basi hana budi kwenda huko mana inaweza kuwa rahisi yeye kuupata urais kutokana na ushawishi alio nao kwa raia na ndpo anaweza pata chance ya kuwaparua mafisadi japo sio rahisi.
3. Naomba haki na demokrasia zifuatwe ipasavyo ili lissu ashinde na akishinda tu naamini watanzania watapata matumaini hata kwa vyama vya upinzani mana kule wamekata tamaa sana.
NB. Hayo ni mawazo yangu mana hapa nilipo sijielewielewi kichwa kinagonga balaa..
Lisu akikamata uenyekiti ipo siku atamchapa mbowe vitasa!!Wakuu
Tundu Lissu "Ninajua kuwa Mbowe ndiye aliyemtuma Wenje agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma"
Pia, Soma:
Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA
Lissu: Mbowe ni muongo, tulifanya kikao cha siri kwa siku 3. Alikataa nisigombee Urais na Uenyekiti huku yeye akisema hajaamua
View attachment 3194129
alimwonea vipi mkuu?Mbowe alimuonea Sana Dr Slaa 2015 Malipo ni hapa hapa chini ya jua
Kanisa Moja Takatifu La Mitume🌹😃