Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Lissu anazidi kumwaga mchele! Anasema kwenye mkutano ule BAWACHA hawakumualika Rais Samia kama mgeni rasmi bali aliakiwa na Mbowe! Baada ya kuwa kamualika ndio alikuja kuwajulisha wengine kuwa amemualika Samia kama mgeni rasmi.
Lissu anasema kwenye hili pia waliamua kukaa kimya na kuficha aibu hii aliyoleta Mbowe, lakini hili waliliobgea kwenye kamati kuu baada ya kutokea.
Lissu amelichomekea hili wakati anaongelea suala la maridhiano baada ya Mbowe kusema maridhiano yana faida wakati alienda kuongea na Samia kinyume na makubalino ya chama.
Pia soma:
www.jamiiforums.com
Ambapo aliongeza pia hata tuzo ya maridhiano aliyokabidhiwa Rais Samia siku hiyo ilikuwa imendaliwa na Mbowe; "Yalikuwa ni maamuzi ya Mwenyekiti pekee yake kwa haya mambo mawili. Hakuna kikao kilikaa kamati kuu kumwalika Rais Samia au kumpa tuzo," alisema Lissu, akimtaka Mwenyekiti Mbowe kuhojiwa kwa nini alitoa tuzo hiyo na kumleta Samia, wakati chama cha CCM kilikuwa hakijakubali chochote kuhusu maridhiano kati ya pande hizo.
Mbowe mbona anazidi kuwa CCM kuliko CHADEMA?!
Lissu ameyasema haya kwenye session inayoendelea club house leo Dec 23, 2024.

Pre GE2025 - Mbowe: Wanaosema maridhiano hayakuwa na faida wanakosea
Wakuu, Yaani Mbowe ni kama anampigia kampeni Rais Samia, maana vyote anamsifia yeye tu. Kwani hajui hayo yalifanya kwa uonevu na Rais Samia ku act right ni jukumu lake? ==== Mbowe amesema wanaosema maridhiano hayakuwa na faida wanakosea, kwani maridhiano hayo yalikuwa na faida, japokuwa...