Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Unaomba ni report ya kuelezea elements of commercial contract at basic level,..ungewaelimisha wanajamvi MIGA ni nini wangeweza kuelewa hoja yako, na kuyafahamu madhaifu ya Lissu.
..ripoti za Mruma na Ossoro inaelekea hazikuwa za kweli. Kama zingekuwa za kweli serikali ilitakiwa ikashtaki ili Watanzania tulipwe mabilioni.
..kinyume chake serikali ndio imeshtakiwa, na Watanzania tutalazimika kulipa mabilioni kama sio matrilioni.
..wakati huohuo Prof.Kabudi aliyekuwa kinara na msemaji Mkuu wa serikali wakati wa vita na walioitwa mabeberu amejitokeza na kusema kodi ambayo serikali ilisema inawadai Acacia haikuwa ya kweli.
..kuongeza chumvi kwenye kidonda, Deo Mwanyika, aliyekuwa Afisa wa ngazi ya juu wa Acacia, na Barrick, amepewa ubunge na Ccm.
..Zaidi, Prof.Mruma ambaye aliongoza mojawapo ya Tume za Uchunguzi, na alilia machozi siku kuwasilisha ripoti mbele ya Raisi, ameonekana ktk luninga akishindwa kuitetea serikali iliposhtakiwa.
..Katika mazingira hayo, hivi utaiamini Serikali, au utawaamini waliokuwa wakitilia mashaka ripoti, na hatua za serikali?
Then nikuekezee FDI contracts which applies the same elementary contracts, but more complicated on terms.
Some terms are easy to understand and explain (such as BIT and IGA) and others are complicated due contract consideration and definitions of breaches associated with consideration.
Ila hakuna mkataba wa kimataifa usio na taratibu za dispute since 1960’s (mtu anaeongea utaenda shitakiwa MIGA) ni upotoshaji na hana uelewa wa FDI contracts.