Pre GE2025 Tundu Lissu: Mimi nilikuwa Mwanachama wa CCM kwa lazima siyo kwa kupenda, nilipoingia Chuo Kikuu nikatupa kadi sitaki Kuwa Dalali wa rasilimali!

Pre GE2025 Tundu Lissu: Mimi nilikuwa Mwanachama wa CCM kwa lazima siyo kwa kupenda, nilipoingia Chuo Kikuu nikatupa kadi sitaki Kuwa Dalali wa rasilimali!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
..ungewaelimisha wanajamvi MIGA ni nini wangeweza kuelewa hoja yako, na kuyafahamu madhaifu ya Lissu.

..ripoti za Mruma na Ossoro inaelekea hazikuwa za kweli. Kama zingekuwa za kweli serikali ilitakiwa ikashtaki ili Watanzania tulipwe mabilioni.

..kinyume chake serikali ndio imeshtakiwa, na Watanzania tutalazimika kulipa mabilioni kama sio matrilioni.

..wakati huohuo Prof.Kabudi aliyekuwa kinara na msemaji Mkuu wa serikali wakati wa vita na walioitwa mabeberu amejitokeza na kusema kodi ambayo serikali ilisema inawadai Acacia haikuwa ya kweli.

..kuongeza chumvi kwenye kidonda, Deo Mwanyika, aliyekuwa Afisa wa ngazi ya juu wa Acacia, na Barrick, amepewa ubunge na Ccm.

..Zaidi, Prof.Mruma ambaye aliongoza mojawapo ya Tume za Uchunguzi, na alilia machozi siku kuwasilisha ripoti mbele ya Raisi, ameonekana ktk luninga akishindwa kuitetea serikali iliposhtakiwa.

..Katika mazingira hayo, hivi utaiamini Serikali, au utawaamini waliokuwa wakitilia mashaka ripoti, na hatua za serikali?
Unaomba ni report ya kuelezea elements of commercial contract at basic level,

Then nikuekezee FDI contracts which applies the same elementary contracts, but more complicated on terms.

Some terms are easy to understand and explain (such as BIT and IGA) and others are complicated due contract consideration and definitions of breaches associated with consideration.

Ila hakuna mkataba wa kimataifa usio na taratibu za dispute since 1960’s (mtu anaeongea utaenda shitakiwa MIGA) ni upotoshaji na hana uelewa wa FDI contracts.
 
Hizi takataka za vitabuni mimi zitanisaidia kitu gani? I need someone who has mastered hi/her art, has knowledge, does not depend on regurgitation of what was crammed from textbooks to pass exams.
 
Kwa hiyo hapa unatuletea 'crap' ulizo kariri kwenye vitabu, siyo?
Huna uelewa wa topic siwezi poteza muda wangu hata nikikwambia impact ya ‘UN resolution 1803’ na impact yake kwenye mikataba ya kimataifa.

You are lazy enough not to educate yourself about it, so why waste time kuongelea areas of negotiation on international contracts.

👋
 
Hizi takataka za vitabuni mimi zitanisaidia kitu gani? I need someone who has mastered hi/her art, has knowledge, does not depend on regurgitation of what was crammed from textbooks to pass exams
Unajua mantiki ya ‘stability clauses’ kwenye international contracts.

Kuna mkataba wa FDI usio na hiyo clause. Ndio ujue upuuzi wa hadithi za MIGA hamna anachokijua Lissu kuhusu mikataba.

👋
 
Kitendo TU Cha kupokea mchango wa gari.Kutoka ccm .haiitaji D mbili kujua kwamba jamaa na ccm ni damdam
Lissu hajapokea michango toka CCM, michango ni toka kwa watu binafsi na hiki ndicho alichokisema kuwa yeye anayo akili timamu tofauti na wewe unayeshindwa kutofautisha kati ya wewe na chama na kuamini kila kitu chako ni mali ya CCM! Magufuli alipochangia ujenzi wa msikiti Dodoma Chamwino hakuwa na maana kuwa alisilimu na kuwa muisilamu vivyo hivyo ulipopokea huo mchango msikiti haukuwa umebadilika kuwa kanisa.
 
Unaomba ni report ya kuelezea elements of commercial contract at basic level,

Then nikuekezee FDI contracts which applies the same elementary contracts, but more complicated on terms.

Some terms are easy to understand and explain (such as BIT and IGA) and others are complicated due contract consideration and definitions of breaches associated with consideration.

Ila hakuna mkataba wa kimataifa usio na taratibu za dispute since 1960’s (mtu anaeongea utaenda shitakiwa MIGA) ni upotoshaji na hana uelewa wa FDI contracts.

..MIGA ni dubwasha gani?

..Na kwanini unasema hatuwezi kushtakiwa huko?

..Huko tulikoshtakiwa ni wapi?

..Kwanini sisi hatushtaki wakati tumedhulumiwa?

..Tofauti kati ya MIGA, na hawa wanaotutwanga faini za mabilioni ni nini?
 
Huna uelewa wa topic siwezi poteza muda wangu hata nikikwambia impact ya ‘UN resolution 1803’ na impact yake kwenye mikataba ya kimataifa.

You are lazy enough not to educate yourself about it, so why waste time kuongelea areas of negotiation on international contracts.

👋
actually you must be extraordinarily dump not to understand what I have been repeating over and over. I have no interest in whatever you think you know, it doesn't impress me at al!
 
..MIGA ni dubwasha gani?

..Na kwanini unasema hatuwezi kushtakiwa huko?

..Huko tulikoshtakiwa ni wapi?

..Kwanini sisi hatushtaki wakati tumedhulumiwa?

..Tofauti kati ya MIGA, na hawa wanaotutwanga faini za mabilioni ni nini?
Toka Tanzania imeanza kushitakiwa na inashitakiwa kila siku kwa madsi yale yake ya kukatisha mikataba umeshawahi kusikia tumepslekwa MIGA?

MIGA ni upuuzi wa kutoka kichwani kwa Lissu na JF hasa wafuasi wake kutumia hiyo kauli kila mara nch inspokuwa kwenye contract dispute ya kuvunja mkataba. Lakini ni upuuzi mtupu.

Kwa sababu hiyo mkataba Ina ‘stabilisation clauses’ ndio inayotumika kuipeleka nchi kwenye arbitration.

Kwetu mida ya kulała, huyo poyoyo Lissu anawapotosha sana blind supporters wake kwa uweledi wa sheria ni mweupe tu.
 
Unajua mantiki ya ‘stability clauses’ kwenye international contracts.

Kuna mkataba wa FDI usio na hiyo clause. Ndio ujue upuuzi wa hadithi za MIGA hamna anachokijua Lissu kuhusu mikataba.

👋
Crap. Keep it to yourself.
When I need it I know where to find it and use what I think is enough for the purpose intended.
 
Toka Tanzania imeanza kushitakiwa na inashitakiwa kila siku kwa madsi yale yake ya kukatisha mikataba umeshawahi kusikia tumepslekwa MIGA?

MIGA ni upuuzi wa kutoka kichwani kwa Lissu na JF hasa wafuasi wake kutumia hiyo kauli kila mara nch inspokuwa kwenye contract dispute ya kuvunja mkataba. Lakini ni upuuzi mtupu.

Kwa sababu hiyo mkataba Ina ‘stabilisation clauses’ ndio inayotumika kuipeleka nchi kwenye arbitration.

Kwetu mida ya kulała, huyo poyoyo Lissu anawapotosha sana blind supporters wake kwa uweledi wa sheria ni mweupe tu.

..MIGA ni nini?
 
..MIGA ni nini?
Shida ni moja Tanzania kila mtu anajua kila kitu.

MIGA unaweza Google ikakueleza ni kitu gani.

Lakini format ya international contract kuelewa hayo mambo lazima usome mambo ya mikataba in details.

Shida ya JF ni meli ya Plato.

Unataka nijibu technical debates which requires usage of theoretical understanding wakati wewe una abc za topic, Ila unataka kubisha tu.

Mie siwezi kusema ni technocrats wa mambo ya mikataba nonetheless nina strong foundation to build up
strong arguments.

Sasa kudhani MIGA ni issue wakati hujui hata aspects za trend za mkataba hata nikikwambia mkataba una ‘stabilisation clause’ you won’t understand how that term overlap local laws and everything else and it sets the process of dispute resolution all the way to arbitration.

To think MIGA is an important aspect or it is influential in contract terms ni kutoelewa hayo mambo.

Ndio maana nikaingiza Plato ship
allegory kwenye huu mjadala. The term MIGA kwa sababu imekuwa introduced na popular figure hasa kwa wale ambao wapo against the government wanadhani ni kitu cha maana due to their ignorance.

Halikadhalika hiyo MIGA ni ujinga mtupu as far as FDI contract goes kwa sababu FDI zina structure zake.

So MIGA is a popular term Tanzania kwa sababu imesemwa na Lissu and he is popular lakini ni ujinga mtupu kwa watu wanaolewa structure za contract terms.

‘The Republic’ by Plato is an important book for many reasons in western politics.

👋
 
Uongo Huo,,Michango Hata Kwa Shetani unachukua Kwani Mimi CCM nikimchangia lisu kuna ubaya,,Mbona viwanja vya mpira ni vya CCM na mikutano Yote tinafanyia Huko
Viwanja siyo vya ccm.vile ni vya umma lakini ccm walijimilikisha kinyume na utaratibu.
 
Shida ni moja Tanzania kila mtu anajua kila kitu.

MIGA unaweza Google ikakueleza ni kitu gani.

Lakini format ya international contract kuelewa hayo mambo lazima usome mambo ya mikataba in details.

Shida ya JF ni meli ya Plato.

Unataka nijibu technical debates which requires usage of theoretical understanding wakati wewe una abc za topic, Ila unataka kubisha tu.

Mie siwezi kusema ni technocrats wa mambo ya mikataba nonetheless nina strong foundation to build up
strong arguments.

Sasa kudhani MIGA ni issue wakati hujui hata aspects za trend za mkataba hata nikikwambia mkataba una ‘stabilisation clause’ you won’t understand how that term overlap local laws and everything else and it sets the process of dispute resolution all the way to arbitration.

To think MIGA is an important aspect or it is influential in contract terms ni kutoelewa hayo mambo.

Ndio maana nikaingiza Plato ship
allegory kwenye huu mjadala. The term MIGA kwa sababu imekuwa introduced na popular figure hasa kwa wale ambao wapo against the government wanadhani ni kitu cha maana due to their ignorance.

Halikadhalika hiyo MIGA ni ujinga mtupu as far as FDI contract goes kwa sababu FDI zina structure zake.

So MIGA is a popular term Tanzania kwa sababu imesemwa na Lissu and he is popular lakini ni ujinga mtupu kwa watu wanaolewa structure za contract terms.

‘The Republic’ by Plato is an important book for many reasons in western politics.

👋

..kaka tueleze MIGA ni nini ili Lissu asiendelee kutudanganya.

..hivi usivyoeleza maana yake unatuacha tuendelee kuganganywa na Lissu.

..sio sahihi kutunyima elimu kaka.
 
Kitendo TU Cha kupokea mchango wa gari.Kutoka ccm .haiitaji D mbili kujua kwamba jamaa na ccm ni damdam
Michango inaendeshwa kwa utaratibu wa kila mtu kuingiza hela kwenye account, kwa akili yako hapo unaweza uka control nani aweke na nani asieeke?
Hivi unajua kwamba aliposhambuliwa kwa risasi wabunge wote wakiwemo wa CCM walikatwa posho yao ya siku moja ili kuchangia matibabu?
Unajua kwamba aliposhambuliwa kwa risasi aliyekuwa mbunge wa CCM marehemu Turki ndiye aliwezesha kupatikana kwa ndege iliyompeleka Nairobi?
Hivi unajua juzi walipokuwa wamekamatwa, Katibu Mkuu wa CCM Dr. Emmanuel Nchimbi ndiye aliyetoa amri waachiwe? Au kwa kuwa amri imetoka owa Katibu wa CCM ulitaka wagome kuachiwa?
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu amesema kamwe hawezi kujiunga CCM kwa sababu yeye ana AKULI TIMAMU

Lisu amesema yeye aliwahi Kuwa Mwanachama wa CCM Kwa mujibu wa sheria Ili ajiunge JKT na baadae Chuo kikuu

Lisu amesema alipoingia tu Chuo kikuu na kusajiliwa rasmi aliitupa KADI ya CCM na kamwe hatarejea

Source: Star tv

Mlale Unono 😀😀
Habari aisome johnthebaptist 🤑🤑🤑🤑
 
CCM hata uikwepe vipi machoni kwa watu, ila kwa siri siri utaitafuta mwenyewe ikusaidie mambo yako..

CCM Nambari One..!! 💚🔰🇹🇿🟢🟩✅🙏🙏
Mimi ilishashindikana kujiunga CCM wala kokote.
Wakati nimepeleka fomu za mkopo mahakamani karani aliniomba nimsaidie kumsogezea fomu zingine nilizozokuta na kumsaidia kufunua ili apige mihuri.

Nilishangaa kuona watu wameambatanisha na hizo kadi za CCM na wala karani hakuzipiga mihuri kwa kudai kuwa hizi hazina kazi,mkopo nilipata na chuo nilisoma na nikahitimu.

Hizo mbwembwe nikaziona tena wakati tunakaribia kuhitimu chuo,yuvisisiemu wakaja na propaganda kwamba ili upate ajira mpaka uwe na kadi ya CCM,vijana wasiojitambua wakazichangamkia.

Maajabu wengi wao mimi nilipata ajira kabla yao,nilikuwa ninawakumbushia jinsi nilivyowafuma wakiwa wanasajiriwa kwa kificho basi wanajutia sana wapuuzi wale.
 
Uwezo wako ni mdogo sana kifikira na hutoweza kujua fedha tunazolipa sasa hivi kwa kuvuja hiyo mikataba kinyume cha utaratibu kama alivyokuwa akitahadharisha LISU.
 
..kaka tueleze MIGA ni nini ili Lissu asiendelee kutudanganya.

..hivi usivyoeleza maana yake unatuacha tuendelee kuganganywa na Lissu.

..sio sahihi kutunyima elimu kaka.
..kaka tueleze MIGA ni nini ili Lissu asiendelee kutudanganya.

..hivi usivyoeleza maana yake unatuacha tuendelee kuganganywa na Lissu.

..sio sahihi kutunyima elimu kaka.

From that explanation basically they can act as part of ADR provided it is mentioned in contract term, but they rely heavily on WB to reinforce other sanctions (mainly where they have provided capital for investment) but that’s what the world bank does regularly to endure countries adhere to debt commitment.

WD bank does not cease national assets in payment or contract disputes.

Sasa ngoja nikuekeze What is a ‘stabilisation clause’ ndio sehemu kubwa ye IGA na BIT nyingi (ukiweka hiyo kama sheria kwenye nchi yako) maana yake wawekezaji anahitaji kuweka hayo mambo kwenye host ‘government agreement’.

Thought BIT au hata hiyo IGA aiku-cover vyote Iła stabilisation clause ina mambo ifuatayo hasa kwenye uwekezaji wa natural resources.

IMG_7550.jpeg

Hizo ni sehemu za stabilisation clause ambazo lazima ziwe kwenye mkataba hiyo sita ndio mambo kama BIT (ya wawekezaji wote kutoka nchi husika) they are covered ukishapitisha BIT kuwa sheria jua mwekezaji yeyote anaetumia hiyo BIT anakuwa covered by terms implied by that law. IGA is similar thing to BIT sema ina deal na project moja tu.

Na BIT na IGA zinakuwa na maelezo ya utaratibu wa ADR, sasa kusema utashitakiwa MIGA wakati mkataba Una ADR (stabilisation clause ni kiwango cha ujinga uliopituliza).

Kama mwekezaji anatoka nchi ambayo aina BIT au kuleta IGA ya mkataba, basi jua ndani ya mkataba ‘stabilisation clause’ itaelezea ADR processes.

Kukuelezea hizo aspects zingine za stabilisation clause, huko sasa ni kufanya kazi ya kanisa (kupoteza muda wangu kwa maelezo marefu bila ya malipo).

Hakuna kitu Lissu anajua kuhusu contract law zaidi ya kuwasunbua tu wenzake wakatu na wao wanatunga hadithi zao za ku-renegotiate mikataba (siafiki) alichofanyiea Iła alikuwa nuisance in the process.

Good morning

Shida yenu ni-kujimwambafy kutaka mijadala iliyo juu uwezo wenu wakati hata abc mna na mambo yenye kujadiliana inataka mtu ambae ana abc.

Mmekazana elezea MIGA, MIGA as if ni kitu cha maana kwenye mikataba wakati ni ujinga mtupu.

Good Morning

👋
 
Alitahadharisha kuwa uvunjwaji holela wa mikataba ile utagharimu taifa na kuleta hasara kubwa, na ndicho kinachotokea sasa.

Kwa sasa nchi inapata hasara kubwa mno kulipa fidia kubwa kwa makampuni ya nje kwa sababu ya yale maamuzi ya hovyo ambayo yangeweza kuepukika..
Ina maana wewe hujui kuwa alikuwa wakili wao?
Kama siyo kwamba unataka kujitoa ufahamu, basi inawezekana ulikuwa bado mtoto!
 
Back
Top Bottom