Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA, hakuna Mvutano kati yangu na Mwenyekiti Freeman Mbowe, hizo ni kelele za uchaguzi tu" Kamera za Habarimpya zilirekodi Video hii miezi mitano iliyopita, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu akibainisha msimamo wake wa kutogombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho.

MACHAWA NJOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO HUKU KUNA HABARI YENU
 

Attachments

  • Tundu Lissu- 'Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA, hakuna Mvutano kati yangu na ...mp4
    7.1 MB
Kuchukua nafasi ya uenyekiti, wakati huo huo unataka kugombea nafasi ya Urais, wakati huo huo kuna mwanachama nae kuchukua fomu ya kuwa mgombea nafasi ya Urais, kanuni haziruhusu.


Kwani kutokea mgongano wa kimaslahi. Kwani mwenyekiti wa chama ni mwenyekiti au mjumbe wa kamati ya kumtafuta mgombea wa Urais.

Siku mukisikia Lissu kakubali kuchukua nafasi ya mwenyekiti, mujue hatogombea nafasi ya Urais.
 
Waandishi wa Habari wapumbavu ambao hawajui kuuliza maswali....

Swali ikibidi liwe hiviii... " Mheshimiwa Tundu Lissu upepo wa Uenyekiti wa CHADEMA uko kwako... Watanzania wana Imani na wewe kuweza kuivusha CHADEMA kutoka hapa ilipo kwani Ni wazi Mwenyekiti Wa kudumu FREEMAN AIKAEL MBOWE haonekani kuwa na Jipya lakini hasahasa Hana upepo kama ulionao wewe.. Je upo tayari kuwa Mwenyekiti na kushindana na MBOWE ktk uchaguzi ujao"??
 
Tundu Lissu hawezi kutumika na CCM
 
Nyie UWT si ndiyo mnatakiwa mfurahie anguko la CHADEMA au hamtaki?
 
Lissu hajawahi kuwa na tamaa hata dak 1
 
Wachagga mlioko chadema acheni kuteseka ,mzee Mbowe ni lazima aachie ngazi.
 
Maneno ya wanasiasa wa pande zote,usiyaamini sana.
 
Muungwana ana uchu na tamaa za vyeo na madaraka sana huyo ingawa ana matatizo ya utimamu wa mwili..

Hata hivyo asingethubutu kuonja sumu kwa ulimi, Lisu ni muoga sana kama anavyoigopa na kukosa kabisa mipango ya kuidhibiti rushwa kwenye chama chake 🐒
 
Mmmmh! CCM wakiona ukali na umachachari wa Lissu,wanaona bora ya Mbowe yuleyule waliyekua wanapiga kelele kua AACHIE ngazi kakaa muda mrefu,wakisikia tena Heche,wanaona daaah! mbona kila sehemu ni moto,hii inawachanganya sana.Siasa bhana.
 
Ametumia hekima ya kuyaokoa maisha yake, hongera kwake, amegundua "" The chair is untouchable "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…