kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Mnajaribu kuzuia upepo kwa nyavu Lissu amekwisha apa harudi nyuma atagombea uwenyekiti!Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA, hakuna Mvutano kati yangu na Mwenyekiti Freeman Mbowe, hizo ni kelele za uchaguzi tu" Kamera za Habarimpya zilirekodi Video hii miezi mitano iliyopita, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu akibainisha msimamo wake wa kutogombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho.
MACHAWA NJOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO HUKU KUNA HABARI YENU