Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA

Mnajaribu kuzuia upepo kwa nyavu Lissu amekwisha apa harudi nyuma atagombea uwenyekiti!
 
Tumekuwa tunailalamikia CCM n wabaya sifa zote mbaya mbaya.
Lkn hata huko CHADEMA kuna watu wabaya zaidi hata ya CCM.
Watu wamekuwa wabinafsi na kuangalia zaidi maslahi yao.
Ndo mana watu wenye akili hawataki kupoteza muda wao kwnda kupiga kura.
 
Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA, hakuna Mvutano kati yangu na Mwenyekiti Freeman Mbowe, hizo ni kelele za uchaguzi tu😂📌🔨💪🏿
 
Ukiamini siasa ni static utapata shida Sana, wanasiasa wanabadilika
 
Mbowe Hana jipya,chama hakina amsha amsha km miaka 13 iliyopita.
Huu nao n upumbavu iweje mtu mmoja tu aongoze zaidi ya miaka 20?
Na kwambia mwenyekiti awe lissu, makamu heche, katibu mkuu kigaila au lema, ccm hawatalala
 
Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA, hakuna Mvutano kati yangu na Mwenyekiti Freeman Mbowe, hizo ni kelele za uchaguzi tu😂📌🔨💪🏿
Hayo yalishapita mkuu, nakuhakikishia anagombea🤣
 
Heasabu za kisiasa hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…