Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Tunaanza kuelewa ukweli wa mambo na yajayo yanafurahisha zaidi, watu watajua ukweli wa mambo ambayo sasa yamefichwa kwa siri kubwa lakini yote yatawekwa wazi.Akiongea na wananchi(probably mkoani Dodoma), Lissu amesema tunapombiwa tumekombolewa, tuelewe mpaka kufikia April ya mwaka huu, serikali ilikuwa imekopa jumla ya shilingi trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu.
Chanzo: Clip ya Lissu mitandaoni(twitter)
Aiseeee !! kwahiyo zile porojo za magumashi kwamba tunajenga kwa pesa zetu itakuwaje ?Akiongea na wananchi(probably mkoani Dodoma), Lissu amesema tunapombiwa tumekombolewa, tuelewe mpaka kufikia April ya mwaka huu, serikali ilikuwa imekopa jumla ya shilingi trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu.
Chanzo: Clip ya Lissu mitandaoni(twitter)
mkuu jikite kwenye mada , ni kweli mmekopa hii mihela kutoka kwa mabeberu ? suala la usalama tuliache kwanza maana magufuli alipokuwa anapewa urais na kikwete hata hakujua hata koplo ana "V" ngapiHana hoja! Watanzani wana mchora tu! Na atapata majibu yao October 2020.
===
Nyakati hizi ni za nchi mbalimbali kuhakikisha kuwa zinajidhatiti kiuchumi na kiusalama. Je. Lissu, anasema nini juu ya hili kimikakati na kadhalika!? Hana hoja juu ya mambo haya mazito.
🤣🤣🤣 Unazungumzia zile Noah zetu! Hayo ni madai fake!Eti tumekopa trl 40? Mbona hasemi tunamdai mtu trl 400 na ushee?
Ongeza sauti kidogoNdiyo maana TRA hawatangazi tena mapato kama mwanzo
Akiongea na wananchi(probably mkoani Dodoma), Lissu amesema tunapombiwa tumekombolewa, tuelewe mpaka kufikia April ya mwaka huu, serikali ilikuwa imekopa jumla ya shilingi trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu.
Chanzo: Clip ya Lissu mitandaoni(twitter)
Ukitaka kugombea ujue kusoma na kuandika🖐️kwa kutazama kwa jicho la Tatu ..kwa hoja yake inadhihirisha kuwa tunakopesheka!...kuna nchi hazina sifa hata ya kukopa USD 1m
Usiwafanye wananchi wa TZ ni mbumbumbu kiasi hicho!Mwananchi wa kawaida ukimwambia umekopa sijui tunadaiwa hakuelewi
Mwambie utamsaidia vipi kumsafirishia mazao yake au kumpa bei nzuri