James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,206
- 1,509
Kwamba anataka kusema akiingia madarakani serikali
yake itahakikisha hatutokopa kabisa au nn maana yake?
Hata mimi bwana shamba natumikia wananchi, sio rais peke yake.Kutumikia watanzania ndio ya kazi ya raisi.
Katiba aisemi kuelekea uchaguzi raisi kama anagombea tena ajivue mamlaka yake na wala asitekeleze majukumu yake.
Unasikiliza longo longo za Lissu sana.
Unagombea nini na nani kakutaza usitekeleze majukumu yako?Hata mimi bwana shamba natumikia wananchi, sio rais peke yake.
Chadema wamejaa wanasheria wenye akili za namba hawezi kujiunga na waharakati. October 30 Magu ushindi 95%Hapa Lisu katoa Boko!
Hatujakopa fedha zote hizo!
Aliyempa data hizi Lissu kamlisha kasa, inabidi kitengo cha takwimu na data cha Chadema kifanye homework yake vizuri au msoma takwimu mwenyewe awe makini kwenye kusoma data
Nandio mtaji na jina mmewabatiza mnaqaita wanyonge.Mwananchi wa kawaida ukimwambia umekopa sijui tunadaiwa hakuelewi
Mwambie utamsaidia vipi kumsafirishia mazao yake au kumpa bei nzuri
jpm si kashaleta ndege akayasafirishe sisi tunataka jua huu mkopo mbona mkubwa kwa kipindi kifupi (sijajua ntakuwa mwana nchi wa kawaida ama wa ajabu)Mwananchi wa kawaida ukimwambia umekopa sijui tunadaiwa hakuelewi
Mwambie utamsaidia vipi kumsafirishia mazao yake au kumpa bei nzuri
Kwamba hatudaiwi hiyo Hela?Hana hoja! Watanzani wana mchora tu! Na atapata majibu yao October 2020.
===
Nyakati hizi ni za nchi mbalimbali kuhakikisha kuwa zinajidhatiti kiuchumi na kiusalama. Je. Lissu, anasema nini juu ya hili kimikakati na kadhalika!? Hana hoja juu ya mambo haya mazito.
Haja anza kampeni bado,tulia dawa sindano iwaingie.Hana hoja! Watanzani wana mchora tu! Na atapata majibu yao October 2020.
===
Nyakati hizi ni za nchi mbalimbali kuhakikisha kuwa zinajidhatiti kiuchumi na kiusalama. Je. Lissu, anasema nini juu ya hili kimikakati na kadhalika!? Hana hoja juu ya mambo haya mazito.
KWA MAKUSANYO YEPI HALI WAMEUA SKTA BINAFSIKukopa lazima Lakini tuambie ukweli watanzania sio kutufanya watoto Kuwa tunajenga kwa pesa zetu za ndani wakati ni uongo asilimia mia moja hapo ndipo kwenye tatizo
Yanawekwa wazi na nani? Huyo anaetoa hizo taarifa unamuamini vp?Tunaanza kuelewa ukweli wa mambo na yajayo yanafurahisha zaidi, watu watajua ukweli wa mambo ambayo sasa yamefichwa kwa siri kubwa lakini yote yatawekwa wazi.
CCM msitumie ujinga wa watanzania kuficha maovu. Unadhani hilo deni analipa nani?Mwananchi wa kawaida ukimwambia umekopa sijui tunadaiwa hakuelewi
Mwambie utamsaidia vipi kumsafirishia mazao yake au kumpa bei nzuri
Akiongea na wananchi(probably mkoani Dodoma), Lissu amedai tunapombiwa tumekombolewa, tuelewe mpaka kufikia April ya mwaka huu, serikali ilikuwa imekopa jumla ya shilingi trilioni 40 na bilioni 500 kutoka kwa mabeberu.
Hii figure ni kubwa mno na huenda Lissu kakosea/kapewa taarifa siyo sahihi.
Namdi Azikiwe. (@NamdiAzikiwe) on Twitter
Nchi alizokopa jiwe, zinataka raisi atakaye rejesha madeni, jiwe Hana akili ya kupata mapato nje ya Kodi,Hana hoja! Watanzani wana mchora tu! Na atapata majibu yao October 2020.
===
Nyakati hizi ni za nchi mbalimbali kuhakikisha kuwa zinajidhatiti kiuchumi na kiusalama. Je. Lissu, anasema nini juu ya hili kimikakati na kadhalika!? Hana hoja juu ya mambo haya mazito.