Tundu Lissu mubashara VOA

Ahaa kumbe ni yaleyale,Lisu hanaga jipya.
Ni akili fupi tu za Nyumbu wake wanao mpaisha huyu mtu.
Lumumbu amemwambia Shaka Sali mwendesha kipindi kwamba shida ya Lisu ni hasira alizo nazo na ukiwa na hasira sana huwezi kuongea positve yeyote zaidi ya negative
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lisu anahongea Kama kiongozi anayeelewa siasa na maisha...Lumumba Kwanza anashindwa kuelewa anawalenga akina Nani, lakini pia he is not real at all, haongei kilichopo moyoni anaongea kufikirika....Lumumba it's kind of Kabudi anapozungumza.

Nimependa kwamba wamerespect kazi ya Mungu, wamejadili hoja na si mtu, wamejadili mfumo ambao kwa mfumo huo binadamu mzuri anaweza kugeuka mbaya, wamejadili Africa ambayo bado demokrasia nikitendawili...lakini pia maendeleo ya vitu na ustawi wa watu vyafaa kwenda sambamba
 
Lisu kachanganyikiwa.

Kwanza Lisu kaharibu maongezi kusema Bodyguard wa raisi yule mweusi sana nae kafa kwa CORONA.

Pia kaulizwa mazuri na mabaya ya jiwe,kataja mabaya tupu.

Lisu alipania mjadala mwisho kaharibu,hana utulivu.

Lumumba ni mtu na nusu
 

Lissu ana ongelea body guard gani hahahahahahahaha
 
Yaani acha tu
Ummy hayawezi majambazi ya Tamisemi
Jafo ni nafuu kubwa sana.
Mwigulu jambazi tu hilo
 
Lisu anatamani hata aende akachape viboko kaburia hayati

[emoji23][emoji23][emoji23]Yule jamaa ipo siku atakufa kwa hasira
Shida ya Lisu NI ntu anaependa kuonekana mzuri
Na anafanya mazuri
Watu w namna hyo wAnapenda kutafuta huruma kwA kuchafua wengine na kutupia lawama wengine
Hata Katika umri wao mdogo ni wale watoto ambao mudanwote wanawasingizia wenzao makosa ili wao waonekane wema

Tabia hi isipokemewa utoton inazalisha wskina Lissu
 
Usiwadundishe viongozi wako kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…