Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

mkuu utawapata wajinga tu kwa kumlisha maneno tundu lissu na kugeuza hoja zake ziwe za kumtusi mwalimu ukweli sisi twaujua alikuwa anawaambia hawa vilaza wanao geukageuka kwa ajili ya matumbo yao na familia zao hawa maccm wa sasa.
 
siku zote Tundu Lisu ni mlopokaji na asieweza kudhibiti hisia zake anaposhangiliwa anaondoa kabisa hadhi ya upinzani nchini. Na hili ndio tatiizo la upinzani, hawa jamaa hawana uzalendo, heshma wala miiko.

...hahahaaa mkuu umenichekesha kweli,kaa utulie alafu usome ulichoandika,unamaanisha uzalendo upo wapi sasa ? ..kwa ccm,na uadilifu ?..heshima..kama za mwigulu na nape za kusema wazee wafe..miiko, ?...usinikumbushe azimio la zanzibar...jipange upya,wenzako jasho linawatoka bungeni hoja zimewaishia...
 
Msimtumie Nyerere kama hirizi, hizo zilikuwa zama zake, kila utawala una mambo yake, siku hizi kuna semi zinadadilishwa kutokana na mazingira, samaki mmoja kioza wote wanaoza, samaki mmoja akioza mtoe mtupe wengine wakaushe. Aliyejuu mgoje chini siku hizi unamwekea ngazi au unatumia hata helikopta.
 
JULIUS NYERERE-Humanist,Politician ,and Thinker.-POLE SANA TUNDU LISU,HUNA HADHI YA KUMKEJELI BABA WA TAIFA,JIKITE KATIKA KUJENGA HOJA ZAKO TU,UTAELEWEKA.

Tuwe wakweli, je Mwl J.K Nyerere hakuzungumza/ kuandika kwenye gazeti tajwa 1968? Je mzee Jumbe hayakumkuta yaliyosemwa 1984? Ukweli utabaki ukweli tu. Kila mtu akiwa kama binadam anamapungufu yake. Halafu hata level ya ufaham na uchokonozi ni mkubwa enzi hizi kuliko zamani. Hivyo watu na viongozi wetu wanatakiwa wajitune kisaikolojia, kwani kadri siku zinavyoenda kizaz cha udadis kinaongezeka. Tutarajie udadis zaidi 10 years to come!
 

Haya ni maneno ya kipuuzi puuzi. jitenge nayo tafadhali.
 

hivi kusema hati haipo na kama ni kweli haipo ni kutukana!,kwahiyo ndugu wewe ulitaka tuendelee kuongozwa kisanii mpaka lini?,au wewe ni mmoja wa wafaidika wa mfumo huu mbovu.hayo ndio malezi tuliyopewa na nchi yetu ukiwa mdadisi na kuhoji mambo unachukiwa na kupewa majina lukuki.
 
Alitukanwa Yesu, akatemewa mate adhabu yetu ikawa juu yake, sembuse Nyerere aliyeoza! Safi sana Lisu....
 
Bwa mdogo hatofika mbali.Huyu kilaza hajui yeye asingekuwa bungeni kama sio kazi. Ya Mwalimu

Ni mjinga pekee ndiyo anaweza kukuamini.


mwalimu sio mungu.
 
Hivi kwani Mwl Nyerere ni mungu mtu???sifa ya ukamilifu katika namna na hali zote ni Mungu mmoja pekee...alishawahi kusema yeye mwenyewe amefanya mema na ya kijinga ila cha ajabu mema yanaachwa na yanakumbatiwa ya kijinga....miongoni mwa ya kijinga ni kuiuwa Tanganyika na hili la muungano wa nchi mbili serikali mbili.....
 
sijapenda kauli ya lissu na kama hakuwa na hoja ya kushauri juu ya serikali tatu ajuwe amepoteza yeye na wenzake wote waliokuwa wanatoa ufafanuzi juu ya hoja ya serikali tatu, na kama wanafikiri kupigiwa makofi ndio kukubalika kwa hoja yao watambue kuwa wamejifunga goli.
 

mwenye akili timamu kama zako ndio anaweza kubaliana na ulichoandika.
 
Punguza udini utaeleweka. Lissu hajachambua mambo kidini bali kisiasa na ameeleweka vizuri sana. Sasa wewe na makuwadi wenzio mnapoanza kutuletea habari za Kariakoo na misikitini hamueleweki. Mnafiki mkubwa wewe.
would've been "shocked" had you spoken something different!
 
Nafikiri kilichopo sasa kwa haya tunayoyaona ni viini macho, Zanzibar ni sehemu ya Tanganyika iliyoamua kujitenga na sasa inataka inataka mamlaka kamili, Hiyo ndiyo tafsiri itakayoondoa chokochoko maana aibu inakuja kwa wenye nchi. Sasa tutasema je kama hati za muungano hamna na miaka yote tupo pamoja?
 
Bwa mdogo hatofika mbali.Huyu kilaza hajui yeye asingekuwa bungeni kama sio kazi. Ya Mwalimu

Kivp ndugu?
Nyerere alikuta nchi ikiwa mikononi mwa Malkia ikiwa ktk kpindi cha mpito kusubiri uhuru kamili.
Haya tuliyonayo ni matunda ya kina Kinjekitile Ngwale, Chief Mkwawa, Mtemi Mirambo, Mangi Meli,Mangi Sina,Zumbe Minja na Machifu wengi waliopambana na Wakoloni na kusababisha harakati zilizosababisha Wakoloni kushindwa kutawala baada ya vita kuu ya pili.
Nyerere alitengeneza mifumo na kuunganisha watu.
Ukisema Elimu hata mwalimu Nyerere aliipata kwa wamisionary kama ilivyokuwa wakushukuriwa ni wamisionary walioelimisha baadhi ya watu.
Ndiyo maana Nyerere hakuweka rangi nyekundu kwenye bendera ya Tanganyika ilihali watu waliuwawa na kujinyonga pia.
 
Nani kakwambia Waislam walikuwa wanaikubali Bakwata sababu ya Mufti Hemed Bin Jumaa?
 
Tundu Lissu ni smart lawyer na very good mwanaharakati but he is a lousy politician....huwezi mtukana Nyerere na isi ku cost
He's so naive. Anapaswa kufahamu kwenye siasa hakuna `ukweli' udumuo na hali kadhalika uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…