Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

1. Mwinyi na Mkapa ni vikaragosi vilivyowekwa na Nyerere na alikuwa akiviendesha kwa remote kutokea Bustiama na Msasani.

Kikwete, kathubutu kuanza mchakato wa kuibadili katiba na ndiyo maana unayaona yote hayo yanaibuka. Kikwete ni ngoma nzito.

2. Miak kumi kumi ni mfuno tu wa demokrasia. Nyerere alikaa miaka 24 na hakuna la maana alilofanya ukichanganya na vikaragosi vyake, Mwinyi na Mkapa unapata jumla ya uongozi wake miaka 44.

Utawala wa Kikwete ndio uliothubutu, kuipa uhai mpya nchi hii kwa kuanzisha huu mchakato wa kujipatia katiba mpya. Kikwete anastahili kila sifa kwa hili na mengine mengi tu.

3. Ndio yapo katika kuibuliwa ili yaachwe. Bila kuwa na katiba mpya utayaachaje?

Bila kuwachana na fikra za Nyerere tutabaki kuwa maskini wa kutupwa. Na njia ya pekee ya kuachana nayo ni kuyaainisha mabaya yake yote. Kwa sasa naona yanaanza kuwaingia, maana Uamsho na Wazanzibari wengine wengi na wengineo wa hapa bara walikuwa wakiyainisha haya, wengine tumeyaandika humuhumu JF. Mkatuona hatumpendi Nyerere mkatushambulia. Nakuuliza hivi, mtu uliyemuamini ukajuwa kuwa si muaminifu na ni muonngo, utaendelea kumuenzi?


Kwasababu umemsingle out kikwete tumjadili tuone amethubutu katika yepi. kipofu huitwa makengeza anapopendeka.

1. Hoja ya katiba mpya

Hii haimo katika sera za ccm, aliikurupukia akijuwa itamjenga na amekuja kushituka kwamba haikuwa alivyotegeme..

a) Tume aliyoiteuwa kukusanya maoni amekuwa mpinzani wa tume hiyo bila aibu tena hadharani asifahamu anapinga mawazo ya wanachi- huku siokuthubutu nikujikanyaga na hajielewi analenga nini maana anakana yaliyokusanywa nini lengo lake.....?

b) Kama kawaida ya ccm wote ukiwemo Faizafoxy, kama kikwete amethubutu

-kwanini yeye na ccm yake mnapinga mawazo ya watanzania bara na visiwani? kunakuthubutu au kukengeuka..

-kama amethubutu vipi asiwakemee ccm kubadili utaratibu wa haki ya mpiga kura ilikulinda umoja haki na demokrasia yampiga kura?

Je tukifikia bunge la katiba kujadili mambo yanayohusu imani hususani ukristu/uislam mfano mahakama ya kadhi

a) Wakristu wanalindajwe nakura ya wazi kujenga staha na kuaminiana? lazima upige ya wazi ukienda sirini wenzio na waumini wako watakuchukia tu watajuwa umewazunguuka.

b)Waislam wanalindajwe nakura ya wazi kujenga staha na kuaminiana? lazima upige ya wazi ukienda sirini wenzio na waumini wako watakuchukia tu watajuwa umewazunguuka.

c) unawezaje kuwa na kura mbili kwa jambo moja kwa wakati mmoja? huu nao ni uthubutu kwa kikwete?


2. Elimu

kwa miaka yote, chini ya kikwete Elimu imehujumiwa na kupoteza ubora wake maradufu, kama ukikusanya data nakuchura graph, elimu imeshuka vibaya tena exponentially.

-kwa mara ya kwanza Kikwete ame-register failure ya zaidi ya 80%

-Kwa mara ya kwanza kikwete chini ya kawambwa na aliyekuwa naibu waziri mulugu wamebadili daraja la zero kuwa div-five hii niabu kubwa kuwa nakiongozi anayeendekeza siasa kwenye utiwa mgongo wa taifa lolote.

-Kwa mara ya kwanza tanzania imegeuka kituko na aibu kwa watanzania kushindwa kupandisha hadhi za walimu eti serikali haina fedha lakini fedha za yeye kuruka hewani kama popo tena mfululizo zipo

Sawa unapokuwa nakiongozi anayethubutu katika kuangamiza taifa ukamuona anafaa huo nao ni ujinga wa aina yake.

3. ufisadi, mali asili na utalii

-Majina ya majangili ninayo (kikwete) lakini amethubutu bila aibu kukaa kimya bila hatua zozote

-Kwa mara ya kwanza chini ya utawal;a wa kikwete twiga, swala nk wamesafilishwa hadharani kwa kutumia ndege ya jeshi la nchi nyengine, hii ni aibu ya aina yake hapa pia amethubutu kuhakikisha waarabu wanapata mifugo yetu ya asili bila idhini ya wamasai wala watanzania

4. Madawa ya kulevya
Kikwete amethubutu kukalia majina ya wauza dawa za kulevya maana, kama kawaida yake aliwaasa wajisalimishe kilichotokea nisiri yake yeye na mama salma

-Nikatika utawala wa kikwete Uvutaji na utumiaji wa madawa ya kulevya umeshika kasi tanzania, sababu zake niuthubutu wake kuwanyamazia wafanyabiashara hiyo, raia na watoto wa tanzania wakiteketea.....

5.Ukosefu wa fedha na misamaha kwa wezi

Kikwete ndiye rais wakwanza aliyethubutu kuwasamehe wezi wa fedha za umma na kuwaambia warudishe na huo ni upepo mbaya utapita, wezi wa kuku .a karanga wanafungwa....

6. Afya na matibabu
nikatika utawala wa huyu kikwete nidham na weledi wa huduma bora za afya umetoweka kabisa, amethubutu kuibadili muhimbili kuwa gofu la kufia maskini raia wa Tanzania wasio na uwezo huku yeye na wote wenye uwezo wakikimbilia India, Germany na kwingineko, cha ajabu wenzetu kenya wanaimarika kwa kila nyanja.

Heshima ya Muhimbili wakati ule na hospitali za Rufaa sehem mbalimbali nchi ilikuwa juu sana lakini pia imefifia kabisa na kukosa hadhi chini ya huyu msubutu wa ccm ya sasa kikwete

Hivi unaposema kikwete amethubutu kwa kivipi hasa?

Faizafoxy
-mpaka leo bado unalalama kuhusu bakwata-Mbona huyu mzee wa kuthubutu hajafanya mabadiliko yayosababishwa na mapungufu ya nyerere???

-Mpaka leo bado unapiga kelele na serikali mbili na michakatuo ya uhuru na madaraka kamili ya Zanzibar, mbona huyu kikwete wakuthubutu asilekebishe makosa ya nyerere?

-Bila aibu alisimama kwenye bunge la katiba akitetea serikali mbili badala ya mabadiliko, uthubutu wake uko wapi?

-Kama kikwete amethubutu, kwanini asikae kimya aache maoni ya wanachi yajadiliwe badala yake bila aibu anaiponda tume aliyoiunda na kuzifinyanga taarifa na maoni ya wanachi?

Huyu alievunja rekodi ya kusafiri duniani kwa maraisi hathubutu bali nimtafuta sifa kwa mambo asiyoyaweza .
 
ukisikia serikali yetu inasema jambo hili ni siri, basi ujue ni ya kuihujumu nchi.
fuatilia mikataba yote va malighafi nchi hii ni siri.
uwazi na uwajibikaji hautakiwi kuwa tunu katika taifa hili.
layz asses and bullshits.
 
Naona unatoa darsa murua.


quote_icon.png
By Ritz

Siyo kweli umeamua kutuwekea maneno kwenye midomoni mwetu.

Kwa kukusaidia tu ufahamu Waislam hawapo chini ya Bakwata.

Bakwata iliundwa na Nyerere kwa kazi maalum.

Umefanikiwa kuleta ufafanuzi wa hoja yako??? hapo juu....

quote_icon.png
By adolay

1. Kwahiyo Ally Hassan Mwinyi na kikwete siyo waislam ila wewe na kundi lako?

2. Kama kikwete na mwinyi niwaislam vip wasiitumie nafasi ileile alokuwa nayo Nyerere kuuunda chama/Jumuiya nyingine?

3. Mnaitetea hoja ya erikali mbili nyinyi kwakisingizio cha umoja, hili lakujiona wewe nimwislam zaidi kuliko wengine sio ubaguzi? nahapa ndipo wanafiki utakapo waona wanaojadili mambo kidinidini na chuki za udini vichwani.

Hayo ndo tunayaita majungu na udini, Nyerere anaonekana hawa vipi nani kawazuia kufanya mabadiliko? (kikwete na mwinyi) Maana yake nikwamba hakuna ukweli kwenye hoja ya kumlaum nyerere ilhali maraisi wengine katika nafasi ileile wangeweza kufanya marekebisho isipokuwa udini na chuki binafsi.
 
Na late Julius sio wakutukanwa kwa namna yeyote ile aliyofanya kuhusu muungano bado hakuna yeyote aliyefikia hata Lisu yeye ni mdomo tu kutenda ni issue nyingine kabisa. Nyerere and his legacy is too big for Lissu and etal.

Wakuu, hotuba ya Kamanda Lissu Bungeni jana nina uthubutu wa kusema, tena kwa ujasiri kwamba tangu Tanganyika huru iwepo hatujawahi kushuhudia hotuba kali kama ile. Ni hotuba ya kisomi iliyojaa kila aina ya vielelezo na ushahidi, zaidi ya vielelezo 70 (footnotes), sio mchezo.

Ili kukata mzizi wa fitna nawaomba advocates wa Serikali 2 waje na ushahidi na vielelezo visivyo na shaka kukanusha paper ya Kamanda Lissu na sio kupayukapayuka bila mpango wala hoja za maana. I can see kwanini jamaa wanang'ang'ania Serikali 2 kwa udi na uvumba lakini bahati mbaya kwao kadiri wanavyozidi uking'ang'anizi wao ndivyo wanavyozidi kuharibu na kuachwa uchi wa nyama.

Poleni watetezi wa Serikali 2 ambao mnadhani mna akili na uzalendo kuliko Jaji Joseph Warioba, the former Attorney General of the Republic, Prime Minister and VP; kuliko Dr. Salim A. Salim, the former Minister for Defence, Primer Minister, and OAU Chief; kuliko Judge Brig. Gen. Augustine Ramadhan, the former high ranking member of the People's Armed Forces, NEC Chair, and the Chief Justice of the Supreme Court of the People of Tanzania; kuliko magwiji wengine lukuki waliokuwa wamejazana kwenye Tume ya Warioba. Jengeni hoja mueleweke kama Kamanda Lissu alivyofanya na sio kupayuka kama wendawazimu.

Nilistuka sana kusikia eti Nape Nnauye, W. J. Malecela, na Madabida eti wanazunguka huko na huko "kumjibu" Warioba na timu yake iliyojaa vichwa! Are we serious? Kafulila aliuliza Bungeni, hivi Warioba ni binadamu wa kutukanwa nchi hii? Hata kama alifanya makosa anapaswa kukosolewa kwa staha sio kwa matusi ya dhahiri au ya kificho. Kama kweli ni waungwana, CCM wanapaswa kumwomba msamaha Mzee Warioba na watanzania kwa ujumla.

Nakala: Pasco, Chris Lukosi, et. al.
 
mkuu uwe mkweli nachelea kukuita mtumwa wa mawazo yako mwenyewe! Wapi lisu alisema" nyerere aliishi kwa uwongo na udanganyifu" nukuu ya gazeti la observer ndo imekamilisha uongo wako? Kumbuka hata lisu anamheshimu na kuthamini mchango wa baba wa taifa.lete ushahidi onesha wapi lisu kasema hayo.vinginevyo ww ndo unamtusi mzee wa watu muacheni apumzike huko aliko kwa amani usimtumie baba wa taifa kummaliza na kumgombanisha lisu na watanzania. Kama huna cha kuandika kaangalie mambo mengine. Najua utakereka ila jaribu kuwa mkweli na unisamehe kama nimekukosea.leo ni siku ya kuabudu acha uongo

Msikilize:

[video=youtube_share;bB7BxxMepR8]http://youtu.be/bB7BxxMepR8[/video]
 
Tundu Lissu ni smart lawyer na very good mwanaharakati but he is a lousy politician....huwezi mtukana Nyerere na isi ku cost

Mara nyingi tu hata mimi simwelewielewi ingawa kwa mengi tu namkubali. Hili la kutumia lugha ya kejeli na kudhalilisha kwa Nyerere hakika litamgharimu maana wengi wangali wanamkubali na kumheshimu, mimi nikiwa mmoja wao.
 
We jamaa Ni liCCM moja chochezi Sana, uspin maneno kwa headline ya kumchonganisha Tundu Lissu ka hoja alizotoa ambazo ni kweli tupu. Then unajifanya unakuja ghilba za kuuma na kupuliza. Acheni njaa vijana, hii nchi ina fursa nyingi sana, unaweza kuishi hata kwa kufuga samaki Tu badala ya kuwa fagio la wanasiasa.
Sasa kama alichosema Mh. Lissu ni ukweli, utamchonganisha vipi kwenye ukweli.

Sifa mojawapo kuu ya watu wanaokosa hoja mbadala huwa wanakimbilia kujenga hoja za wasifu wa mleta hoja wakidhani ndiyo njia mbadala ya kupambana na hoja iliyoko mezani.

Wewe hunifahamu kama nisivyokufahamu achilia mbali kufahamu hata sehemu ninayoishi.

Nani kakwambia ninaishi kwa kutegemea fursa za Tanzania?.

Wewe unatumia fictitious ID kama mimi halafu unakuwa na guts za kuchunguza real ID's za wengine huku ukijiaminisha kama walioko nyuma ya unverified ID's unawafahamu. It's fun to say the least.
 
Lisu ni mtu jasiri anayeweza kusimamia anachojua bila kuogoapa na ndio maana wariaoba alisema msitumie nyerere kama hirizi yenu ccm tengenezeni hoja sio kila kitu mwalimu. Mwalimu kuna sehem alikuwa roght na sehem alikuwa wrong kama binadamu wengine mnalazimisha asiwe na makosa wakati haiwezekani. thank you lisu you have paved the way for other to follow
 
Tundu lissu ni very smart revolutionalist
Ccm wangekua na uwezo wangem 'ulimboka' au wangem' mwangosi'
 
Msome Mkristo mwenzio Mwandishi Jan P van Bergen anasemaje kuhusu Nyerere:

Mwandishi Jan P van Bergen katika kitabu chake Development and religion in Tanzania, amefichua taarifa za kikao cha siri Ikulu ya Dar es Salaam mnamo Agosti 3, 1970 kati ya Rais Julius Nyerere, Padri Robert Rweyemamu na muwakilishi wa Papa, Giovanni Cerrano. Kwa mujibu wa van Bergen, katika kikao hicho Nyerere aliwaeleza viongozi wake wa dini kuwa ameunda idara ya elimu ya siasa katika TANU na amemuweka Padri aiongoze kwa sababu ya imani yake madhubuti. Aliwaeleza pia kuwa katika Kamati kuu ya chama ameweka Mapadri lengo likiwa kulipa Kanisa fursa na uwezo mkubwa hapa Tanzania.


Jee, na yeye ni mdini?

sikushangai kwa kuwa natambua jinsia yako ni zaifu sawa na ubongo wa bata
 
sikushangai kwa kuwa natambua jinsia yako ni zaifu sawa na ubongo wa bata

Si maneno yangu hayo, soma vizuri:

Msome Mkristo mwenzio Mwandishi Jan P van Bergen anasemaje kuhusu Nyerere:

Mwandishi Jan P van Bergen katika kitabu chake Development and religion in Tanzania, amefichua taarifa za kikao cha siri Ikulu ya Dar es Salaam mnamo Agosti 3, 1970 kati ya Rais Julius Nyerere, Padri Robert Rweyemamu na muwakilishi wa Papa, Giovanni Cerrano. Kwa mujibu wa van Bergen, katika kikao hicho Nyerere aliwaeleza viongozi wake wa dini kuwa ameunda idara ya elimu ya siasa katika TANU na amemuweka Padri aiongoze kwa sababu ya imani yake madhubuti. Aliwaeleza pia kuwa katika Kamati kuu ya chama ameweka Mapadri lengo likiwa kulipa Kanisa fursa na uwezo mkubwa hapa Tanzania.


Jee, na yeye ni mdini?
 
Si maneno yangu hayo, soma vizuri:

Msome Mkristo mwenzio Mwandishi Jan P van Bergen anasemaje kuhusu Nyerere:

Mwandishi Jan P van Bergen katika kitabu chake Development and religion in Tanzania, amefichua taarifa za kikao cha siri Ikulu ya Dar es Salaam mnamo Agosti 3, 1970 kati ya Rais Julius Nyerere, Padri Robert Rweyemamu na muwakilishi wa Papa, Giovanni Cerrano. Kwa mujibu wa van Bergen, katika kikao hicho Nyerere aliwaeleza viongozi wake wa dini kuwa ameunda idara ya elimu ya siasa katika TANU na amemuweka Padri aiongoze kwa sababu ya imani yake madhubuti. Aliwaeleza pia kuwa katika Kamati kuu ya chama ameweka Mapadri lengo likiwa kulipa Kanisa fursa na uwezo mkubwa hapa Tanzania.


Jee, na yeye ni mdini?

Kuna dini na vidini, kuna makasisi na vikasisi, kuna makanisa na vikanisa. Upande wa pili pia ni hivyo we^we she^male
 
Kwasababu umemsingle out kikwete tumjadili tuone amethubutu katika yepi. kipofu huitwa makengeza anapopendeka.

Sijamsingle out Kikwete, nimekujibu ukweli kabisa, Kikwete ndiye Rais pekee wa Tanzania ambae hajawekwa madarakani na Nyerere.

Mwinyi na Mkapa ni vikaragosi vya Nyerere tu, hakuna zaidi.

Sasa kama unataka tumjadili Kikwete funguwa nyuzi, ntakuja tena haraka sana kwa kuwa Kikwete ni hero wangu. Usiiharibu hii nyuzi. Hii nyuzi inaongelea ni vipi "Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu", soma kichwa cha habari.

Upo hapo ulipo?
 
"Tundu Lissu anadai, Mwl. Nyerere hakukataa hoja ya Muungano kwa sababu safi kabisa, bali aliwaweka kizuizini wale waliohoji Muungano. Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uwongo na hakuweza kusema kweli"


hii kauli nzito sana ingawa ni ukweli mchungu!
 
Tundu Lissu, kwenye ili la kumponda Nyerere, pro-Chadema wapo kimya masikini.
Jaribu kujikita zaidi ktk ufumbuzi wa matatizo ya watu wachalinze ili ujijengee heshima mkuu. Au hujatambua kuwa umeongeza majukumu muhimu kuliko kupoteza muda wako behind your keyboard kama mbunge?
Kumbuka sasa hivi wewe ni muheshimiwa mbunge,hivyo jaribu kuishi sawasawa na wadhifa wako mkuu.
By the way Hongera sana kwa kuongeza majukumu ya kuwatumikia wananchi.
 
leo nimebanwa kidogo namajukum isipokuwa nataka ufaham kwamba
Majukumu halali ya kimaisha ni muhimu sana katika maisha.
-Lisu hakuongea kwa mafumbo bali waziwazi na kwa ufasaha akiwalenga ccm na wasomi wake kwa kupotosha nakuishi kwa ujanja ujanja.
Yes, alikuwa anawalenga CCM na Mwl. Nyerere akiwa ni mmoja wa wanaCCM.
S. sita alimueleza wazi usianze kuhukum kwani tumekuja pamoja na huu hautakuwa mjadala
Yes, katika hukumu hiyo, hata Mwl. Nyerere alikuwa anahukumiwa kulingana na hoja yake kwa sababu kile ambacho Mh. Tundu Lissu alikuwa anakijengea hoja kukifanya kiwe useless and void, Mwl. Nyerere ndiyo muasisi na mtetezi wake.
1. Alirusha maneno hayo moja kwa moja kwa kuwalenga shivj na mwakyembe na ccm kwa ujumla wake sio hakusingle out-Nyerere nakusoma rejea ya maandishi yao najinsi walivyokanusha na kubadilika kimshangao.
Hoja ya Mh. Tundu Lissu ilikuwa na sehemu kuu nne. Hoja kuhusiana na 'uwongo na udanganyifu' wa Mwl. Nyerere ilikuwa katika sehemu ya pili
2. Nikatika rejea zake alimnukuu Nyerere kwa jicho la zanzibar ni serkali 3 kwa Tanzania bara ni serikali moja, kwa maana ya hawa wanaolazimisha serikali mbili wanapotosha kwa mujibu wa Lisu
Aliyepotosha hapa siyo hawa wanaotetea serikali mbili bali yule aliyeunda serikali mbili kinyume cha 'makubaliano'. Ni sawa na mtu aachiwe urithi wa nyumba kwa kuaminisha kuwa kila kitu kiko sawa halafu chombo/mtu mwingine ajitokeze na kusema hiyo nyumba imejengwa kinyume cha bulding permission. Sasa sijui wewe utamlaumu huyu aliyeachiwa urith na anaitetea bila kufahamu kama kweli ilijengwa kinyume cha building permission au yule aliyemuachia urithi.
3. Kila jambo na wakati wake nakwamba siku za uhai wake Nyerere alisema endapo itafaa kufanya marekebisho katika muungano nisuala la wanachi kufanya maamuzi hayo.
Unajaribu kumjengea uzio (immunity) Mwl. Nyerere halafu tena unakubaliana na hoja ya kumbomoa katika misingi ya hoja za Mh. Lissu.

Haya unayoyasema ndiyo ambayo Mwl. Nyerere aliyasema kwenye gazeti la Observer lakini wananchi wa Zanzibar walipotaka kuhoji aliwatia misukosuko na wengine kufungwa.
4.Hata hivyo kulingana na wakati, mazingira, na uhitaji wa watu inawezekana kwa wakati ule ilikuwa sahihi kabisa kuiatamia Zanzibar kwa kila mbinu mpaka pale mambo mazuri yatakapowadia kama ilivyo sasa kwamba imeimarika na nibusara ikajiendesha kwa faida na maslahi ya wazanzibar
Kwa hiyo unakubaliana kuwa. Mwl. Nyerere alichokisema siyo kile alichokuwa anakitenda!.

Thank you!. Sasa ulichokiwa unakilalamikia ni wakati pale tuliposema kuwa Mh. Lissu kasema kuwa Mwl. Nyerere alikuwa ni muongo na mdanganyifu.

Andiko lako lina maana kuwa, Mwl. Nyerere alidanganya taifa na mataifa ili iwe rahisi kwake kujenga nchi akiwa kama kiongozi wa juu nchini.

Mbona unakuwa kama hufahamu hata unachojaribu kukitete zaidi ya kutoa lawama kwa watu wanaosema yake Mh. Lissu aliyasema!.

Waswahili wanasema kunya anye kuku, akinya bata kaharisha!.
 
Sijamsingle out Kikwete, nimekujibu ukweli kabisa, Kikwete ndiye Rais pekee wa Tanzania ambae hajawekwa madarakani na Nyerere.

Mwinyi na Mkapa ni vikaragosi vya Nyerere tu, hakuna zaidi.

Sasa kama unataka tumjadili Kikwete funguwa nyuzi, ntakuja tena haraka sana kwa kuwa Kikwete ni hero wangu. Usiiharibu hii nyuzi. Hii nyuzi inaongelea ni vipi "Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu", soma kichwa cha habari.

Upo hapo ulipo?

1. angekuwa hero asingeuza twiga na swa arabuni kwa ulafi na udikiteta

2. angekuwa hero asinge kalia majina ya wauza dawa za kulevya na kuacha watoto wetu wakitetea tena

3. angekuwa hero angeboresha afya za watu sasa hivi wanakufa kama kuku yeye hewani mithili ya popo

4. angekuwa hero angewakamata wezi wa Epa badala ya kuwasamehe na kuwa raia wakikosa huduma za msingi

5. angekuwa hero na mwenye kutambuwa umuhimu wa katiba mpya asingechallenge tume aliyoiunda mwenyewe

6. angekuwa hero asingebariki Div zero kuwa div-five ni puuzi tu anaweza kufanya hivyo

7. angekuwa hero angevunja bakwata ya nyerere inayokuliza kila siku, matokeo yake wewe na yeye kama pwagu na pwaguzi lawama kwa nyerer madaraka mmeyakalia kufanya maamuzi hakuna.

8. angekuwa hero asingekubali upuuzi wa kura ya wazi kulinda umoja na mshikamano wa watanzania

9. angekuwa hero asingekubali mafuta ya taa yauzwe bei sawa na petrol, ni kiongozi mpuuzi tu anaweza kuruhusu ujinga huo, hili linafanyika kwa faida yanani?

10. angekuwa hero asingeruhusu upum.bavu na ujinga wa ubaguzi wa kidini, ukabila na ukanda kushika hatamu katika uonozi wake

kikwete ni mpenda sifa na majivuno kutoka kwa wajinga wachache wasiojitambuwa wala kufahamu thamani yao mbele

ya macho ya watanzania wanaotabika mchana na usiku kwa ulofa wake.

kikwete ashukuru amekuta vinaelea lakini kuviendeleza kashindwa nasasa anaiacha nchi imegawanyika katika ukabila, ukanda na udini sera za kiongozi aliefilisika kwa matazamo wa Nyerere.
 
Back
Top Bottom