Majukumu halali ya kimaisha ni muhimu sana katika maisha.
Yes, alikuwa anawalenga CCM na Mwl. Nyerere akiwa ni mmoja wa wanaCCM.
Yes, katika hukumu hiyo, hata Mwl. Nyerere alikuwa anahukumiwa kulingana na hoja yake kwa sababu kile ambacho Mh. Tundu Lissu alikuwa anakijengea hoja kukifanya kiwe useless and void, Mwl. Nyerere ndiyo muasisi na mtetezi wake.
Hoja ya Mh. Tundu Lissu ilikuwa na sehemu kuu nne. Hoja kuhusiana na 'uwongo na udanganyifu' wa Mwl. Nyerere ilikuwa katika sehemu ya pili
Aliyepotosha hapa siyo hawa wanaotetea serikali mbili bali yule aliyeunda serikali mbili kinyume cha 'makubaliano'. Ni sawa na mtu aachiwe urithi wa nyumba kwa kuaminisha kuwa kila kitu kiko sawa halafu chombo/mtu mwingine ajitokeze na kusema hiyo nyumba imejengwa kinyume cha bulding permission. Sasa sijui wewe utamlaumu huyu aliyeachiwa urith na anaitetea bila kufahamu kama kweli ilijengwa kinyume cha building permission au yule aliyemuachia urithi.
Unajaribu kumjengea uzio (immunity) Mwl. Nyerere halafu tena unakubaliana na hoja ya kumbomoa katika misingi ya hoja za Mh. Lissu.
Haya unayoyasema ndiyo ambayo Mwl. Nyerere aliyasema kwenye gazeti la Observer lakini wananchi wa Zanzibar walipotaka kuhoji aliwatia misukosuko na wengine kufungwa.
Kwa hiyo unakubaliana kuwa. Mwl. Nyerere alichokisema siyo kile alichokuwa anakitenda!.
Thank you!. Sasa ulichokiwa unakilalamikia ni wakati pale tuliposema kuwa Mh. Lissu kasema kuwa Mwl. Nyerere alikuwa ni muongo na mdanganyifu.
Andiko lako lina maana kuwa, Mwl. Nyerere alidanganya taifa na mataifa ili iwe rahisi kwake kujenga nchi akiwa kama kiongozi wa juu nchini.
Mbona unakuwa kama hufahamu hata unachojaribu kukitete zaidi ya kutoa lawama kwa watu wanaosema yake Mh. Lissu aliyasema!.
Waswahili wanasema kunya anye kuku, akinya bata kaharisha!.
Yes, yes, kwanini ukasingle out nyerere na umerudia tena kusingle out nakuwaacha Shivj, mwakyembe nk
Ungekuwa na lengo zuri ungebalance hoja yako kwa uwakilishi kama Lisu alivowasilisha.
Kuchukuwa Lisu Vs Nyerere peke yake nakuacha hao alioweka nukuu kutoka vitabu vyao maana yake nimoja tu
1.
Kujenga hoja ya kumchonganisha Lisu kwa baadhi ya watu, yes yako inaukweligani ikiwa hawa wengine kwenye heading yako hawaonekani? propaganda za kiccm kuishi kwa uwongo, majungu na fitina.
2. sio rahisi kwa mwanaccm kukubali kwamba nje ya ccm kuna watu wengine wenye uwezo, kwa ujanja wa hali ya juu
unajaribu kumpaka Lisu mafuta kwa kipande cha chupa ilihali ukimhujum kwa kumjengea bifu nakwahili umefanikiwa nimeona michango mingi tu ambayo umekamatisha nakufikia malengo.
3. Hivi uwongo ni upi?
kutetea unachofahamu 100% sikweli au kuanzisha jambo nakuwaachia welevu baadaye waje kufanya maamuzi sahihi?
-je werevu hao wanapolazimisha ujinga analaumiwa maiti?
-kwanini wasihukumiwe hawa wanaolazimisha wasichokiamini?
-ukiambiwa babayako alisema enzi za uhai wake
mchinje mama yako ukifikia miaka 20 ni usia wababa yako utamchinja? huu ndio msingi wa hoja ya
Lisu kwa waliohai
kuishi kwa ujanja ujanja na magumashi mengi kusingizia marehem (Nyerere na karume kwa mslahi binafsi)
4. Vipi ccm iliwezaje kubadili
azimio la Arusha na wameshindwa kubadili mfumo wa muungano?
(maisha ya kuzowea vya kunyonga) hili wanaweza lile hapana nikosa la mwal.....kwanini hapa hivi pale vile?
-Kuishi kwa uwongo nikupi iwapo hilo walibadilisha na alikuwa hai kwanini hakuwafunga au kuwalazimisha wasibadili?
hapa ndipo ninapokuona
unaishi kwa majungu na fitina na ndiyo hizi zinatufanya siku zote kupoteza njia nakulazimisha ya wafu.
Nini kinawafanya ccm kulazimisha
la wafu karume na Nyerere?
Hili ndilo Lisu alosema wewe na ccm yako manishi kwa uwongo na ujanjaujanja.