Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Mwl. Nyerere mwenyewe alishawahi kusema/kukiri hadharani kuwa katika utawala wake walifanya makosa (mengi?)! Na alitoa sababu za kufanya makosa hayo ingawa hakutaja ni makosa gani. Lakini alichokuwa anashangaa ni wanasiasa/viongozi wa sasa kuacha kuiga/kuendeleza yale ya "maana" na badala yake kuiga/kuendeleza yale ya "kijinga".

Kwa hivyo kujaribu kusema kuwa kumkosoa Mwl Nyerere ni "dhambi" nadhani ndio "dhambi" zaidi maana ni kama vile tunataka kumpa status ya "Mungu" kitu ambacho hata yeye mwenyewe asingekubaliana nacho.

Mimi nashangaa sana watu wanaoona kukosekana kwa hati ya muungano wetu (kama kweli haipo!) ni jambo dogo. Ukitizama sana suala la muungano ndio imekuwa agenda kuu katika mchakato wa katiba hii...huku ikisikika sauti kubwa kutoka upande mmoja wa muungano kutaka "mamlaka kamili"! Kwa hivyo suala la hati za makubaliano ya muungano haliwezi kuwa suala dogo...na zaidi kama tunasema katiba inayopendekezwa inatambua kuwa makubaliano hayo ndio msingi wa muungano.
 
Bwa mdogo hatofika mbali.Huyu kilaza hajui yeye asingekuwa bungeni kama sio kazi. Ya Mwalimu

acha vitisho kaka, taifa linahitaji watu ambao wanaosimamia ukweli bila kujali itamgharimu kiasi gan, na wanaoleta hiyo gharama ndio hao maadui wa nchi hii
 
Kila siku nakuambia wewe ni jinga kubwa lakini hujijui. Alichokisema Lissu kila mtu amekielewa isipokuwa wewe tu
Duh, Kila siku?. Kwa maana hii, kwa wiki hii umeishaniambia mara saba katika siku saba!.

Kwa hiyo katika muda wote huu ambao kila siku huwa unaniambia kuwa mimi ni jinga hujakaa chini na kujiuliza kama kuna uwezekano wa wewe kuwa ndiyo jinga.

A fool thinks himself to be wise, but a wise man knows himself to be a fool.-William Shakespeare.
 
Wana jf nawashangaa mno nyerere ni mtu tu wala cyo Mungu kwann na kwa lipi asikosolewe? Acheni kuwa wavivu wa fikra
 
Niupumbafu kushabikia hoja za kipumbavu! Mimi nimesoma science kuna kanuni inasema "To the every action there is equal and opposite reaction!"
Hii kanuni ina husika sana katika maisha sasa kuna watu wapumbavu na hawajui kuwa ni wapumbavu wenye nia ya kuivuluga nchi kwa manufaa yao ya kisiasa kwa gharama yoyote!

Mimi naamini dawa yao inachemka ipo siku wataaangaku kwasababu Tanzania haikudondoka tu! Tanzania ina historia yake na kamwe haita yumbishwa


Sent from my iPhone
 
Kwahiyo unataka watu wawe wanafikiri kama ilivyokuwa miaka 50 iliyopita? Watu siyo mawe we can reason, Nyerere alikuwepo kwa wakati wake na alifanya mambo kwa wakati wake na hakuwa static hata yeye alikuwa anabadilika sana tu kulingana na wakati, mstaki kutufanya watanzania tusiendelee mbele na kuboresha mambo yetu kwa kisingizio cha Nyerere, Nyerere siyo Hirizi. WanaCCM wanajenga hoja zao kwenye hati ya Muungano lakini hiyo hati haionekani sasa tunawezaje kukubali hoja zao wakati document muhimu ya Muungano haipo? Jitambue Ng'wamapalala
Kuna uwezekano mkubwa kuwa wewe ndiyo hujafahamu kiini cha hoja achilia mbali kujitambua!.

Kiini cha hoja ni Mh. Tundu kudai kuwa Mwl. Nyerere alikuwa anafanya kazi zake tofauti na kile alichokuwa anakisema au kukiandika kuhusiana na Muungano.

Kama ni suala la kufikiri. Kuna uwezekano mkubwa watu wengi walioishi miaka 50 iliyopita waliokuwa wanafikiri vizuri zaidi ya watu wengi wanaoishi mwaka wa leo. Dunia ya sasa imejaa consumer only. Hata kufikiri tu wanategemea watu fulani wafikiri kwa niaba yao.

Hata bunge la Katiba lina akisi hoja ninayoisema. Wengi bungeni wamelishwa maneno ya wanasiasa wachache na kuyameza bila kuhoji.
 
Majukumu halali ya kimaisha ni muhimu sana katika maisha.

Yes, alikuwa anawalenga CCM na Mwl. Nyerere akiwa ni mmoja wa wanaCCM.

Yes, katika hukumu hiyo, hata Mwl. Nyerere alikuwa anahukumiwa kulingana na hoja yake kwa sababu kile ambacho Mh. Tundu Lissu alikuwa anakijengea hoja kukifanya kiwe useless and void, Mwl. Nyerere ndiyo muasisi na mtetezi wake.
Hoja ya Mh. Tundu Lissu ilikuwa na sehemu kuu nne. Hoja kuhusiana na 'uwongo na udanganyifu' wa Mwl. Nyerere ilikuwa katika sehemu ya pili

Aliyepotosha hapa siyo hawa wanaotetea serikali mbili bali yule aliyeunda serikali mbili kinyume cha 'makubaliano'. Ni sawa na mtu aachiwe urithi wa nyumba kwa kuaminisha kuwa kila kitu kiko sawa halafu chombo/mtu mwingine ajitokeze na kusema hiyo nyumba imejengwa kinyume cha bulding permission. Sasa sijui wewe utamlaumu huyu aliyeachiwa urith na anaitetea bila kufahamu kama kweli ilijengwa kinyume cha building permission au yule aliyemuachia urithi.

Unajaribu kumjengea uzio (immunity) Mwl. Nyerere halafu tena unakubaliana na hoja ya kumbomoa katika misingi ya hoja za Mh. Lissu.

Haya unayoyasema ndiyo ambayo Mwl. Nyerere aliyasema kwenye gazeti la Observer lakini wananchi wa Zanzibar walipotaka kuhoji aliwatia misukosuko na wengine kufungwa.

Kwa hiyo unakubaliana kuwa. Mwl. Nyerere alichokisema siyo kile alichokuwa anakitenda!.

Thank you!. Sasa ulichokiwa unakilalamikia ni wakati pale tuliposema kuwa Mh. Lissu kasema kuwa Mwl. Nyerere alikuwa ni muongo na mdanganyifu.

Andiko lako lina maana kuwa, Mwl. Nyerere alidanganya taifa na mataifa ili iwe rahisi kwake kujenga nchi akiwa kama kiongozi wa juu nchini.

Mbona unakuwa kama hufahamu hata unachojaribu kukitete zaidi ya kutoa lawama kwa watu wanaosema yake Mh. Lissu aliyasema!.

Waswahili wanasema kunya anye kuku, akinya bata kaharisha!.


Yes, yes, kwanini ukasingle out nyerere na umerudia tena kusingle out nakuwaacha Shivj, mwakyembe nk

Ungekuwa na lengo zuri ungebalance hoja yako kwa uwakilishi kama Lisu alivowasilisha.

Kuchukuwa Lisu Vs Nyerere peke yake nakuacha hao alioweka nukuu kutoka vitabu vyao maana yake nimoja tu

1. Kujenga hoja ya kumchonganisha Lisu kwa baadhi ya watu, yes yako inaukweligani ikiwa hawa wengine kwenye heading yako hawaonekani? propaganda za kiccm kuishi kwa uwongo, majungu na fitina.

2. sio rahisi kwa mwanaccm kukubali kwamba nje ya ccm kuna watu wengine wenye uwezo, kwa ujanja wa hali ya juu unajaribu kumpaka Lisu mafuta kwa kipande cha chupa ilihali ukimhujum kwa kumjengea bifu nakwahili umefanikiwa nimeona michango mingi tu ambayo umekamatisha nakufikia malengo.

3. Hivi uwongo ni upi? kutetea unachofahamu 100% sikweli au kuanzisha jambo nakuwaachia welevu baadaye waje kufanya maamuzi sahihi?

-je werevu hao wanapolazimisha ujinga analaumiwa maiti?

-kwanini wasihukumiwe hawa wanaolazimisha wasichokiamini?

-ukiambiwa babayako alisema enzi za uhai wake mchinje mama yako ukifikia miaka 20 ni usia wababa yako utamchinja? huu ndio msingi wa hoja ya Lisu kwa waliohai kuishi kwa ujanja ujanja na magumashi mengi kusingizia marehem (Nyerere na karume kwa mslahi binafsi)

4. Vipi ccm iliwezaje kubadili azimio la Arusha na wameshindwa kubadili mfumo wa muungano? (maisha ya kuzowea vya kunyonga) hili wanaweza lile hapana nikosa la mwal.....kwanini hapa hivi pale vile?

-Kuishi kwa uwongo nikupi iwapo hilo walibadilisha na alikuwa hai kwanini hakuwafunga au kuwalazimisha wasibadili?

hapa ndipo ninapokuona unaishi kwa majungu na fitina na ndiyo hizi zinatufanya siku zote kupoteza njia nakulazimisha ya wafu.

Nini kinawafanya ccm kulazimisha la wafu karume na Nyerere?

Hili ndilo Lisu alosema wewe na ccm yako manishi kwa uwongo na ujanjaujanja.
 
Na late Julius sio wakutukanwa kwa namna yeyote ile aliyofanya kuhusu muungano bado hakuna yeyote aliyefikia hata Lisu yeye ni mdomo tu kutenda ni issue nyingine kabisa. Nyerere and his legacy is too big for Lissu and etal.

Lissu hakutukana ameongea kilichondani ya nafsi yake.Na Nyerere kabla ya kufa kwake alikubali na kukiri makosa yake,hivyo japo hakuainisha makosa yapi amefanya lakini alikiri nakuomba kwa wanaoendeleo kukimbiza kijiti cha URAIS basi yale mema ayafuate na mabaya ayaache.

Inawezekana pia Rais Nyerere alikuwa na sababu za msingi za kulazimisha Muungano kwa njia yoyote ile bila kujua kasoro hizo zinaweza kuwa sababu ya UFA wa Muungano,na kwa sababu pia ni binadamu anamazuri na mabaya aliyotenda.Tumsamehe kwa mabaya na tumuenzi kwa mazuri ambayo ni mengi kuliko mabaya.

Angalizo Tundu Lissu hajakosea ,amesema anayofikiri na ametoa mifano kwa nini amesema,sidhani kama ametukana,inawezekana isingefikia huko alikoongelea kama Waliowengi(Wajumbe wa CCM) wangekubali kusikiliza mawazo ya waliowachache na kuyajengea hoja na kutafuta MUAROBAINI ambao utliweka Taifa salama.
 

kikwete ashukuru amekuta vinaelea lakini kuviendeleza kashindwa nasasa anaiacha nchi imegawanyika katika ukabila, ukanda na udini sera za kiongozi aliefilisika kwa matazamo wa Nyerere.
 
mwalimu na yeye kuna sehemu alikuwa anakosea lakini mazuri ni mengi aliyo yafanya tuyaheshimu, na pia tuyafanyie kazi, siyo tukazanie swala moja alipoteleza, lakini pia tukumbuke hoja za akina Machiavelli,kuwa kiongozi lazima awe cruel kwa baadhi ya mambo ambayo ni mhimu sana kwa usitawi na mustakabili wa taifa, kwa wakati wa mwalimu muungano wa serikali mbili ulikuwa ni mhimu sana hasa kwa swala zima la usalama, ikizingatiwa miaka ya 1970 na 1980, alikuwa anazisaidia baadhi ya nchi za africa kujikomboa hivyo basi zanzibar ilikuwa ni mhimu sana tena sana, lakini kwa sasa hatuna budi kuamua kulingana na wananchi wanataka nini.
Kwa hiyo unaulibali uwongo na udanganyifu wa Mwl. Nyerere kuhusu Muungano?. Mh. Lissu amesema, Mwl. Nyerere alikuwa muongo na mdanganyifu kama alivyobainisha kwenye maandiko yake na vitendo vyake.
 
Niupumbafu kushabikia hoja za kipumbavu! Mimi nimesoma science kuna kanuni inasema "To the every action there is equal and opposite reaction!"
Hii kanuni ina husika sana katika maisha sasa kuna watu wapumbavu na hawajui kuwa ni wapumbavu wenye nia ya kuivuluga nchi kwa manufaa yao ya kisiasa kwa gharama yoyote!

Mimi naamini dawa yao inachemka ipo siku wataaangaku kwasababu Tanzania haikudondoka tu! Tanzania ina historia yake na kamwe haita yumbishwa


Sent from my iPhone
Tunajua kama mnataka kumng'oa kuch na meno bila ganzi maana ndio zenu hampendi kuambiwa ukweli kama msivyopenda kutwambia ukweli. Mmeambia jifunzeni kuchinja nyie mbulula hamsikii???
 
Niupumbafu kushabikia hoja za kipumbavu! Mimi nimesoma science kuna kanuni inasema "To the every action there is equal and opposite reaction!"
Hii kanuni ina husika sana katika maisha sasa kuna watu wapumbavu na hawajui kuwa ni wapumbavu wenye nia ya kuivuluga nchi kwa manufaa yao ya kisiasa kwa gharama yoyote!

Mimi naamini dawa yao inachemka ipo siku wataaangaku kwasababu Tanzania haikudondoka tu! Tanzania ina historia yake na kamwe haita yumbishwa


Sent from my iPhone


Mkuu hapo kwenye black nakubaliana na wewe kabisa coz haiwezekani Nyerere aiue Tanganyika iliyokuwepo miaka mingi kabla ya yeye kuzaliwa halafu historia ikamuacha hivi hivi. Alijaribu sana kumfanyia vitina mzee wa watu Jumbe na kumtia kizuizini kisa tu kuhoji mambo ya muungano. Nyerere amemchukia Malecela kisa tu kuruhusu muswada wa Tanganyika kujadiliwa bungeni.

Naamini hata Nyerere pia alijua fika kuwa there is a year when his brutality might be spoken and that year is this year, YES let it be this year
 
Niupumbafu kushabikia hoja za kipumbavu! Mimi nimesoma science kuna kanuni inasema "To the every action there is equal and opposite reaction!"
Hii kanuni ina husika sana katika maisha sasa kuna watu wapumbavu na hawajui kuwa ni wapumbavu wenye nia ya kuivuluga nchi kwa manufaa yao ya kisiasa kwa gharama yoyote!

Mimi naamini dawa yao inachemka ipo siku wataaangaku kwasababu Tanzania haikudondoka tu! Tanzania ina historia yake na kamwe haita yumbishwa


Sent from my iPhone


Wala sijakushangaa kwa mawazo yako. Tayari umetupatia Jibu kwa kutueleza kwa ufupi Profile yako. Kama wewe ni mwanasayansi tulia watu wa Arts wakufundishe mambo. Tena kama CCM wangekuwa wakweli kama ulivyo wewe wangemsikiliza na kufuata mapendekezo ya Rasimu ya Jaji Joseph Waryoba bila kuingiza mchakachuo wa rasimu ya CCM ndani ya Bunge Maalum.

Tena kama wataendelea kuwa na shingo ngumu Jamaa wa UKAWA kama ulivyo shuhudia hao walioko Bungeni ni watu wana shule zao, ni watafiti na wanazo NONDO za kutisha watafumua mambo mpaka utakimbia.

Kitendo cha Usalama ama wakuu wa Kaya kuwaamuru TBC kuzima Matangazo wanajua Ukweli utakao semwa. Ebu angalia Mtu kama Dr. Mwakyembe kukana maandishi yake mwenyewe na mpka leo hii hajakanusha unafikiri kazi ndogo hiyo? Sasa tutaaminije kwamba ile ripiti yake ya kusema Mh. Lowasa kweli alihusika na Richmond wakati kwenye maandishi yake mwenyewe anaukana ukweli huo? Au tuamini kwamba hata hiyo Thesis ya Phd yake nayo aliandikiwa?
 
Niupumbafu kushabikia hoja za kipumbavu! Mimi nimesoma science kuna kanuni inasema "To the every action there is equal and opposite reaction!"
Hii kanuni ina husika sana katika maisha sasa kuna watu wapumbavu na hawajui kuwa ni wapumbavu wenye nia ya kuivuluga nchi kwa manufaa yao ya kisiasa kwa gharama yoyote!

Mimi naamini dawa yao inachemka ipo siku wataaangaku kwasababu Tanzania haikudondoka tu! Tanzania ina historia yake na kamwe haita yumbishwa


Sent from my iPhone

Msomi wa tumbo kama akina Dr. Francis na yule Mhindi! Ondoa njaa zako hapa.
 
Haya aliyokua akifanya nyerere kwa Waznz sio mageni ila ni mageni kwa Watanganyika tu

Niliufahamu ubaya wa huyu Nyerere tangu niko darasa la4.
 
Back
Top Bottom