Tundu Lissu ni smart lawyer na very good mwanaharakati but he is a lousy politician....huwezi mtukana Nyerere na isi ku cost
Hebu soma kichwa cha habari cha hii nyuzi halafu kinukuu hapa. Wacha porojo.
nyerere sio malaika ndo maana hakosei....... nyerere aplikuwa dikteta asiyejali maoni ya washauri wake... nyerere ndiye aliyetufikisha hapa kwa kupanda mbegu mbaya zenye kuzorotesha nchi yetu kwa kiasi kikubwa..... kumtukuza nyerere kama mungu ni kosa kubwa sana............. he was a man like others, he was not a GOD hebu acheni ushabiki usio na manufaa.....
Kama Nyerere alikubali kukosea manake yamekwisha na Tundu naye anakosea pia hakubali kukosea sio kila anachofikiri yeye ni sawa. Sio kweli kama alizoea kuishi kwa uwongo na udanganyifu na amewaambia chukueni mazuri yake sasa iweje mifano ya Lissu iwe ile mibaya tu. Kama mtoa hoja alichoandika ndio Nyerere alikuwa hivyo hata Wakatoliki wasingefikiria kumtangaza ktk mchakato wa mwenye heri. Sasa anavyofikiri Lissu isiwe sababu ya kila mtu kumtoa maana Julius.
Topic: Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu!
kwani nyerere ni nani? Mbona kila uchwao tunamtukana kikwete?slaa? Mbowe? Etc? Kwani nyerere ana kinga ya kutotukanwa? Ila hawa kina 'mbayuwayu' hawana kinga hiyo?
upo sawa kabisa mkuu gombesugu kumbe huwa unapitia huko, siku njema piaMkuu wa Chuo,
Nimekusoma na Shukran kwa maelekezo yako mema.
Kuna baadhi ya ulosema nakubalina nawe kiduchu...la muhimu ni kwamba nimekufahamu usemayo,bila ya kujali yakua tuna mitazamo tafauti...nafikiri hii ndo tasnia za mijadala mema!
Huko jukwaa la Great Thinkers unakodai ati pana nyuzi/threads zilokwenda Shule,mbona huwa nachungulia kila nipatapo fursa Mkuu!
Si ndo kule pia kwenye zile Duru za Siasa,zilizopo chini ya yule Nguruvi3 na wafuasi wake,au!? Daah! Teeeh! Teeh! Teeeh!
Hata hivyo nashukuru kwa mwaliko!
Nimefurahika kwa majadiliano na pia kupata maelekezo yako mema!
Nakutakia siku njema!
Ahsanta.
Ps; nimo safarini/ndani ya train...kwa hiyo fursa yangu ni kiduchu mno kwasasa,pia natumia simu!
Ng'wamapalala kwa kiasi fulani anaweza akawa sawa, lakini title aliyoamua kuitumia ana madhumuni fulani, yaani amelenga kitu fulani, yaani ametoka title kwa kufasiri na kuchambua...Sasa Mkuu wa Chuo,hypothetically hata kama huyo Lissu hakuyasema yayo...kwani wewe hufahamu yakua yule Nyerere alizoea kuishi kwa uongo,udanganyifu na pia vitisho,au!?
Au weye huyafahamu yayo!? Daah!
Ahsanta sana.
Wakuu, hotuba ya Kamanda Lissu Bungeni jana nina uthubutu wa kusema, tena kwa ujasiri kwamba tangu Tanganyika huru iwepo hatujawahi kushuhudia hotuba kali kama ile. Ni hotuba ya kisomi iliyojaa kila aina ya vielelezo na ushahidi, zaidi ya vielelezo 70 (footnotes), sio mchezo.
Ili kukata mzizi wa fitna nawaomba advocates wa Serikali 2 waje na ushahidi na vielelezo visivyo na shaka kukanusha paper ya Kamanda Lissu na sio kupayukapayuka bila mpango wala hoja za maana. I can see kwanini jamaa wanang'ang'ania Serikali 2 kwa udi na uvumba lakini bahati mbaya kwao kadiri wanavyozidi uking'ang'anizi wao ndivyo wanavyozidi kuharibu na kuachwa uchi wa nyama.
Poleni watetezi wa Serikali 2 ambao mnadhani mna akili na uzalendo kuliko Jaji Joseph Warioba, the former Attorney General of the Republic, Prime Minister and VP; kuliko Dr. Salim A. Salim, the former Minister for Defence, Primer Minister, and OAU Chief; kuliko Judge Brig. Gen. Augustine Ramadhan, the former high ranking member of the People's Armed Forces, NEC Chair, and the Chief Justice of the Supreme Court of the People of Tanzania; kuliko magwiji wengine lukuki waliokuwa wamejazana kwenye Tume ya Warioba. Jengeni hoja mueleweke kama Kamanda Lissu alivyofanya na sio kupayuka kama wendawazimu.
Nilistuka sana kusikia eti Nape Nnauye, W. J. Malecela, na Madabida eti wanazunguka huko na huko "kumjibu" Warioba na timu yake iliyojaa vichwa! Are we serious? Kafulila aliuliza Bungeni, hivi Warioba ni binadamu wa kutukanwa nchi hii? Hata kama alifanya makosa anapaswa kukosolewa kwa staha sio kwa matusi ya dhahiri au ya kificho. Kama kweli ni waungwana, CCM wanapaswa kumwomba msamaha Mzee Warioba na watanzania kwa ujumla.
Nakala: Pasco, Chris Lukosi, et. al.
Ng'wamapalala kwa kiasi fulani anaweza akawa sawa, lakini title aliyoamua kuitumia ana madhumuni fulani, yaani amelenga kitu fulani, yaani ametoka title kwa kufasiri na kuchambua...
Lissu omba radhi. Kumtukana Nyerere ni kuwatukana watanzania
- Tundu Lissu si amezaa mtoto na mbunge wa viti maaalum wa Chadema na kumuwachilia mbali sasa kweli anaweza kumtupia mawe Baba wa Taifa kuwa ni mnafiki kuliko yeye? jamani chonde chonde na hiyo Rasimu yenu na UKAWA yaani katiba mpya ndio mtukane hata muasisi wa Taifa kisa UKAWA tu? DUH
Le Mutuz System
Namkubali Nyerere na nitaendelea kumkubali kwa aliyoyafanya katika nchi hii......
Hilo si la kushangaza kwa Lissu coz imethibika ana tatizo la akili.