Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

Tundu Lissu ni smart lawyer na very good mwanaharakati but he is a lousy politician....huwezi mtukana Nyerere na isi ku cost

kwani nyerere ni nani? Mbona kila uchwao tunamtukana kikwete?slaa? Mbowe? Etc? Kwani nyerere ana kinga ya kutotukanwa? Ila hawa kina 'mbayuwayu' hawana kinga hiyo?
 
nyerere sio malaika ndo maana hakosei....... nyerere aplikuwa dikteta asiyejali maoni ya washauri wake... nyerere ndiye aliyetufikisha hapa kwa kupanda mbegu mbaya zenye kuzorotesha nchi yetu kwa kiasi kikubwa..... kumtukuza nyerere kama mungu ni kosa kubwa sana............. he was a man like others, he was not a GOD hebu acheni ushabiki usio na manufaa.....
 
Mkuu wa Chuo,

Nimekusoma na Shukran kwa maelekezo yako mema.

Kuna baadhi ya ulosema nakubalina nawe kiduchu...la muhimu ni kwamba nimekufahamu usemayo,bila ya kujali yakua tuna mitazamo tafauti...nafikiri hii ndo tasnia za mijadala mema!

Huko jukwaa la Great Thinkers unakodai ati pana nyuzi/threads zilokwenda Shule,mbona huwa nachungulia kila nipatapo fursa Mkuu!

Si ndo kule pia kwenye zile Duru za Siasa,zilizopo chini ya yule Nguruvi3 na wafuasi wake,au!? Daah! Teeeh! Teeh! Teeeh!

Hata hivyo nashukuru kwa mwaliko!

Nimefurahika kwa majadiliano na pia kupata maelekezo yako mema!

Nakutakia siku njema!

Ahsanta.

Ps; nimo safarini/ndani ya train...kwa hiyo fursa yangu ni kiduchu mno kwasasa,pia natumia simu!
 
nyerere sio malaika ndo maana hakosei....... nyerere aplikuwa dikteta asiyejali maoni ya washauri wake... nyerere ndiye aliyetufikisha hapa kwa kupanda mbegu mbaya zenye kuzorotesha nchi yetu kwa kiasi kikubwa..... kumtukuza nyerere kama mungu ni kosa kubwa sana............. he was a man like others, he was not a GOD hebu acheni ushabiki usio na manufaa.....

Duuh! Teeeh! Teeeh! Teeeh! Hii ni hatareee!

Wakikusikia wenyewe wafia Unyerere,itakua taabu hapa jamvini!? Ngoja waje tutaona!

Mkuu,naona safari hii Wananchi walio wengi wamechoshwa kuwa misukule!?...na wameamua kumchana hata Baba wa Taifa!? Daah!

Kweli kazi ipo!

Ahsanta.
 
Kama Nyerere alikubali kukosea manake yamekwisha na Tundu naye anakosea pia hakubali kukosea sio kila anachofikiri yeye ni sawa. Sio kweli kama alizoea kuishi kwa uwongo na udanganyifu na amewaambia chukueni mazuri yake sasa iweje mifano ya Lissu iwe ile mibaya tu. Kama mtoa hoja alichoandika ndio Nyerere alikuwa hivyo hata Wakatoliki wasingefikiria kumtangaza ktk mchakato wa mwenye heri. Sasa anavyofikiri Lissu isiwe sababu ya kila mtu kumtoa maana Julius.

Unajua kaka yangu ukiwa too rigid hautaona Logic ya Tundu Lissu.Hajamtukana ila anataka watu wajue ukweli kuhusu Muungano,na Mwl.Nyerere inawezekana kabisa alifanya kosa hilo kwa sababu nzuri tuu.Sasa tusiwazuiwe watu kujadili Muungano,na unapoujadili hauwezi kuwaacha hawa viongozi wetu waliotutangulia.Tuwaache watu wajadili,na ujue kuna RAIS wa aina mbili sasa kuna vijana wanaotaka kujua ukweli na wanahoji,na kunawale ambao hawataki kujua ukweli kwa sababu wamezoea kuishi maisha ya uwoga na hivyo hawapendi kusikia ukweli wanauogopa na ndiyo anachotaka kutuasa Lissu,tusiendelee kushikilia uwongo tubadilike,hasa kama tunataka Muungano wa kudumu basi tuanze upya tuujenge kwenye ukweli,kwani kila wakati ukweli unakuacha huru.

Mimi nadhani Utakatifu wake unatokana na maisha yake kama rais na namna alivyowapenda watu wake,na si kwa sababu alikua mwanasiasa,bali alikuwa kiongozi bora na mnyenyekevu ndiyo maana alikiri kufanya makosa makubwa na akaomba radhi,sasa si vibaya yale makosa yakajulikana na watanzania tukamsamehe kwa moyo.

Nadhani mtu akija kukuomba radhi lazima utataka kujua amekukosea nini,ili uweze kumsamehe kwa moyo.Tuliweke hivyo jambo hili,ametoa kinyongo chake na ni mawazo yake na ameyatolea ushahidi ni wakati wa yule anayeyapinga ayapinge kwa hoja na ushahidi tusimlaumu wala kumhukumu Lissu.Nina uhakika Mwl.Nyerere angekuwepo angempongeza pia.
 
Topic: Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu!

Sasa Mkuu wa Chuo,hypothetically hata kama huyo Lissu hakuyasema yayo...kwani wewe hufahamu yakua yule Nyerere alizoea kuishi kwa uongo,udanganyifu na pia vitisho,au!?

Au weye huyafahamu yayo!? Daah!

Ahsanta sana.
 
ni Mwakyembe huyu huyu ama mwingine? kweli ndani ya CCM lazima uwekewe spidi gavana kwa ulimi. Tutayasikia mengi mno.

Hatuwezi kupeleka hati ya muungano Dodoma, its so RISK - inaweza kuibiwa pale Msanvu stendi on the way then ikawa tatizo kubwa kwa hatma muungano wetu.
 
kwani nyerere ni nani? Mbona kila uchwao tunamtukana kikwete?slaa? Mbowe? Etc? Kwani nyerere ana kinga ya kutotukanwa? Ila hawa kina 'mbayuwayu' hawana kinga hiyo?

Kwa mujibu wa history ya wafia Unyerere na vilaza aka "wasomi"...Nyerere ndo aloleta amani,umoja na mshikamano uliopo nchini,tena yeye peke yake!? Duuh!

Nyerere huyohuyo...pia ndo alowafundisha Watanzania woote Kiswahili na jinsi yakua wamoja na kuheshimiana!? Maana tunakaririshwa yakua kabla ya kuibuka yule Nyerere...ati Watanzania woote walikua hawapendani,na shughuli yao ilikua ni kuvamiana mijini au vijijini na kutoana roho!? Daah!

Pia tunaaminishwa yakua zile enzi Mwalimu...ati hii nchi ilikua imejaa neema na Watanzania woote walikua na uhakika wa chakuka na
maraha tele na mavazi!? Na pia tunaaminishwa yakua ati yule Nyerere alipoondoka madarakani,aliacha nchi ikiwa na neema kubwa mno na functioning industrial/manufacturing complexis all over the country,really!?

Nyerere kwa kifupi alikua ni Rais mbovu kuliko woote waliowahi kutawala nchi hiyo...na ubadhilifu,ufisadi,ukabila,udini,kulindana na pia kuchafuana kisiasa, pamoja na unyama mwangineo woote ufanzikao sasa hapo nchi...basi kwa namna moja amma nyangine yule Nyerere anahusika...yaani hiyo ndo legacy yake alotwachia! Daah!

Ahsanta.
 
Mkuu wa Chuo,

Nimekusoma na Shukran kwa maelekezo yako mema.

Kuna baadhi ya ulosema nakubalina nawe kiduchu...la muhimu ni kwamba nimekufahamu usemayo,bila ya kujali yakua tuna mitazamo tafauti...nafikiri hii ndo tasnia za mijadala mema!

Huko jukwaa la Great Thinkers unakodai ati pana nyuzi/threads zilokwenda Shule,mbona huwa nachungulia kila nipatapo fursa Mkuu!

Si ndo kule pia kwenye zile Duru za Siasa,zilizopo chini ya yule Nguruvi3 na wafuasi wake,au!? Daah! Teeeh! Teeh! Teeeh!

Hata hivyo nashukuru kwa mwaliko!

Nimefurahika kwa majadiliano na pia kupata maelekezo yako mema!

Nakutakia siku njema!

Ahsanta.

Ps; nimo safarini/ndani ya train...kwa hiyo fursa yangu ni kiduchu mno kwasasa,pia natumia simu!
upo sawa kabisa mkuu gombesugu kumbe huwa unapitia huko, siku njema pia
Ahsanta pia.
 
Last edited by a moderator:
Wee Daa Tetty,

Nimekusoma kiduchu hiyo bayana yako hapo! Daah!

Mbona unazidi kupotosha hawa misukule wa Nyerere,jamani!?

Unadai ati yakua yule Nyerere alikua mtakatifu!?...kwasababu aliwapenda na kuwajali Wananchi!? Duuh! Hao Wananchi wa nchi gani hiyo!?

Nyerere alishindwa kumudu,kuijali,kuipenda au hata kuithamini family yake mwenyewe...sembuse Wananchi kama sisi wanyonge tulio vijijini¡¿ Daah¡

Pia unasema ati Nyerere alikua mpole,mnyonge na mnyenyekevu!?...huo upole na unyenyekevu alimfanzia nani,wapi na lini!?

Acheni kupotosha na kuzidi kubomoa hiyo credit kiduchu ya kinafiki alobaki nayo yule Nyerere!? Daah!

Ahsanta.
 
Sasa Mkuu wa Chuo,hypothetically hata kama huyo Lissu hakuyasema yayo...kwani wewe hufahamu yakua yule Nyerere alizoea kuishi kwa uongo,udanganyifu na pia vitisho,au!?

Au weye huyafahamu yayo!? Daah!

Ahsanta sana.
Ng'wamapalala kwa kiasi fulani anaweza akawa sawa, lakini title aliyoamua kuitumia ana madhumuni fulani, yaani amelenga kitu fulani, yaani ametoka title kwa kufasiri na kuchambua...
 
Last edited by a moderator:
Very well said, thank you sir
Wakuu, hotuba ya Kamanda Lissu Bungeni jana nina uthubutu wa kusema, tena kwa ujasiri kwamba tangu Tanganyika huru iwepo hatujawahi kushuhudia hotuba kali kama ile. Ni hotuba ya kisomi iliyojaa kila aina ya vielelezo na ushahidi, zaidi ya vielelezo 70 (footnotes), sio mchezo.

Ili kukata mzizi wa fitna nawaomba advocates wa Serikali 2 waje na ushahidi na vielelezo visivyo na shaka kukanusha paper ya Kamanda Lissu na sio kupayukapayuka bila mpango wala hoja za maana. I can see kwanini jamaa wanang'ang'ania Serikali 2 kwa udi na uvumba lakini bahati mbaya kwao kadiri wanavyozidi uking'ang'anizi wao ndivyo wanavyozidi kuharibu na kuachwa uchi wa nyama.

Poleni watetezi wa Serikali 2 ambao mnadhani mna akili na uzalendo kuliko Jaji Joseph Warioba, the former Attorney General of the Republic, Prime Minister and VP; kuliko Dr. Salim A. Salim, the former Minister for Defence, Primer Minister, and OAU Chief; kuliko Judge Brig. Gen. Augustine Ramadhan, the former high ranking member of the People's Armed Forces, NEC Chair, and the Chief Justice of the Supreme Court of the People of Tanzania; kuliko magwiji wengine lukuki waliokuwa wamejazana kwenye Tume ya Warioba. Jengeni hoja mueleweke kama Kamanda Lissu alivyofanya na sio kupayuka kama wendawazimu.

Nilistuka sana kusikia eti Nape Nnauye, W. J. Malecela, na Madabida eti wanazunguka huko na huko "kumjibu" Warioba na timu yake iliyojaa vichwa! Are we serious? Kafulila aliuliza Bungeni, hivi Warioba ni binadamu wa kutukanwa nchi hii? Hata kama alifanya makosa anapaswa kukosolewa kwa staha sio kwa matusi ya dhahiri au ya kificho. Kama kweli ni waungwana, CCM wanapaswa kumwomba msamaha Mzee Warioba na watanzania kwa ujumla.

Nakala: Pasco, Chris Lukosi, et. al.
 
Ng'wamapalala kwa kiasi fulani anaweza akawa sawa, lakini title aliyoamua kuitumia ana madhumuni fulani, yaani amelenga kitu fulani, yaani ametoka title kwa kufasiri na kuchambua...

Nimekusoma Mkuu,

Japo hayo mangine labda namwachia Mkuu Ng'wamapalala atupe maelezo/ufafanuzi kiduchu!?

Ahsanta sana.
 
Last edited by a moderator:
In all fairness JK Nyerere was a power monger.........ni kweli hakujilimbikizia maii bali alijilimbikizia mamlaka na ufuasi usiomwelewa........tuache woga wa kumjadili yeye na matendo na maamuzi yake yanayotugharimu leo hii.......kulazimisha kumuenzi tu hakutatupeleka popote
 
Hilo si la kushangaza kwa Lissu coz imethibika ana tatizo la akili.
 
Lissu omba radhi. Kumtukana Nyerere ni kuwatukana watanzania

Mi sijatukanwa bado. Ni ya ukweli kuhusu Nyerere yamesemwa. Nadhani ni bora Lissu akapingwa kwa kuleta hoja za kweli na sahihi kuliko kumshambulia Lissu kwa maneno bila facts.
 
- Tundu Lissu si amezaa mtoto na mbunge wa viti maaalum wa Chadema na kumuwachilia mbali sasa kweli anaweza kumtupia mawe Baba wa Taifa kuwa ni mnafiki kuliko yeye? jamani chonde chonde na hiyo Rasimu yenu na UKAWA yaani katiba mpya ndio mtukane hata muasisi wa Taifa kisa UKAWA tu? DUH

Le Mutuz System

Hebu tupe kisa cha baba'ko aliporuhusu ziongelewe Serikali tatu alifanyiwa nini na Nyerere?
 
Namkubali Nyerere na nitaendelea kumkubali kwa aliyoyafanya katika nchi hii......

Nyerere alianzisha sheria kandamizi ya uzururaji na kutufukuza weusi mjini akawaacha wahindi wamiliki biashara, sisi tukalime, wakati wa Nyerere hatukuwa hata na sabuni za kuogea halafu mnataka kumwita Mtakatifu? Mtatakifu gani aliyependa vita?
 
Hilo si la kushangaza kwa Lissu coz imethibika ana tatizo la akili.

Daaah! Yamekua hayo tena,jamani!?

Yaani leo mnataka kumpeleka Mirembe Muheshimiwa Lissu!? Daah! Teeeh! Teeeh! Teeh!

Haya bana!

Ahsanta sana!

Cc; Mkuu Ritz tafadhali njoo huku ujionee majanga!
 
Back
Top Bottom