In all fairness JK Nyerere was a power monger.........ni kweli hakujilimbikizia maii bali alijilimbikizia mamlaka na ufuasi usiomwelewa........tuache woga wa kumjadili yeye na matendo na maamuzi yake yanayotugharimu leo hii.......kulazimisha kumuenzi tu hakutatupeleka popote
Hapana!
Nguzo kuu ni uanasheria.
Kwa mujibu wa history ya wafia Unyerere na vilaza aka "wasomi"...Nyerere ndo aloleta amani,umoja na mshikamano uliopo nchini,tena yeye peke yake!? Duuh!
Nyerere huyohuyo...pia ndo alowafundisha Watanzania woote Kiswahili na jinsi yakua wamoja na kuheshimiana!? Maana tunakaririshwa yakua kabla ya kuibuka yule Nyerere...ati Watanzania woote walikua hawapendani,na shughuli yao ilikua ni kuvamiana mijini au vijijini na kutoana roho!? Daah!
Pia tunaaminishwa yakua zile enzi Mwalimu...ati hii nchi ilikua imejaa neema na Watanzania woote walikua na uhakika wa chakuka na
maraha tele na mavazi!? Na pia tunaaminishwa yakua ati yule Nyerere alipoondoka madarakani,aliacha nchi ikiwa na neema kubwa mno na functioning industrial/manufacturing complexis all over the country,really!?
Nyerere kwa kifupi alikua ni Rais mbovu kuliko woote waliowahi kutawala nchi hiyo...na ubadhilifu,ufisadi,ukabila,udini,kulindana na pia kuchafuana kisiasa, pamoja na unyama mwangineo woote ufanzikao sasa hapo nchi...basi kwa namna moja amma nyangine yule Nyerere anahusika...yaani hiyo ndo legacy yake alotwachia! Daah!
Ahsanta.
In all fairness JK Nyerere was a power monger.........ni kweli hakujilimbikizia maii bali alijilimbikizia mamlaka na ufuasi usiomwelewa........tuache woga wa kumjadili yeye na matendo na maamuzi yake yanayotugharimu leo hii.......kulazimisha kumuenzi tu hakutatupeleka popote
Ninakubaliana na wewe 100% kwamba Nyerere alikuwa Rais mbovu lakini lazima ukubali jamaa alikuwa mjanja kwenye ku manipulate watu. Hamna mtu/kiongozi hapa TZ hadi leo amefanikiwa ku influence watu kama Nyerere naamini angekuwepo sasa hata huyo (Mtundu) Lisu hizo hoja zake angezifanya zionekane carbage.
Najua watu wanaandika tu kumdiss Lissu sababu ya mkate wa siku lakini moyoni wanakubali he is smart. Bravo Lissu keep going ulielimika ili uelimishe sio walioelimika kupotosha:frusty::frusty:
ndio maana tunasemaga CCM ni mazuzu tu! LiSSU aliongea facts na ushahidi juu ss mnakuja mazuzu wa ccm mnaanza kusema LISU alimtukana Nyerere! embu mfungulieni mashtaka basi muone km mtashinda hiyo kesi!?
adi sasa vijana wengi sana waliokuwa wamenyeshwa maji ya bendera ya magamba sasa wametapika na wamejivua magamba lissu amewaelimisha sana 😛eace:
Zipapa nani kakupa mamlaka ya kuzungumza kwaniaba ya watanzania.
Wakuu, hotuba ya Kamanda Lissu Bungeni jana nina uthubutu wa kusema, tena kwa ujasiri kwamba tangu Tanganyika huru iwepo hatujawahi kushuhudia hotuba kali kama ile. Ni hotuba ya kisomi iliyojaa kila aina ya vielelezo na ushahidi, zaidi ya vielelezo 70 (footnotes), sio mchezo.
Ili kukata mzizi wa fitna nawaomba advocates wa Serikali 2 waje na ushahidi na vielelezo visivyo na shaka kukanusha paper ya Kamanda Lissu na sio kupayukapayuka bila mpango wala hoja za maana. I can see kwanini jamaa wanang'ang'ania Serikali 2 kwa udi na uvumba lakini bahati mbaya kwao kadiri wanavyozidi uking'ang'anizi wao ndivyo wanavyozidi kuharibu na kuachwa uchi wa nyama.
Poleni watetezi wa Serikali 2 ambao mnadhani mna akili na uzalendo kuliko Jaji Joseph Warioba, the former Attorney General of the Republic, Prime Minister and VP; kuliko Dr. Salim A. Salim, the former Minister for Defence, Primer Minister, and OAU Chief; kuliko Judge Brig. Gen. Augustine Ramadhan, the former high ranking member of the People's Armed Forces, NEC Chair, and the Chief Justice of the Supreme Court of the People of Tanzania; kuliko magwiji wengine lukuki waliokuwa wamejazana kwenye Tume ya Warioba. Jengeni hoja mueleweke kama Kamanda Lissu alivyofanya na sio kupayuka kama wendawazimu.
Nilistuka sana kusikia eti Nape Nnauye, W. J. Malecela, na Madabida eti wanazunguka huko na huko "kumjibu" Warioba na timu yake iliyojaa vichwa! Are we serious? Kafulila aliuliza Bungeni, hivi Warioba ni binadamu wa kutukanwa nchi hii? Hata kama alifanya makosa anapaswa kukosolewa kwa staha sio kwa matusi ya dhahiri au ya kificho. Kama kweli ni waungwana, CCM wanapaswa kumwomba msamaha Mzee Warioba na watanzania kwa ujumla.
Nakala: Pasco, Chris Lukosi, et. al.
Mkuu, vipi tena!. Ukweli umekufikia!.
Mkuu wangu ndiyo ninaingia kwa sasa. Kama unavyofahamu tena, watoto lazima wavae na wapate chakula mezani. Nilikuwa niko kwenye shughuri za kutafuta visenti ili watoto waishi.Ng'wamapalala,
Uko wapi Mkuu!?
Au na weye waogopa kuitwa "mdini"!? Daah! Usijali hiyo Title imewekwa tu kwa ajili ya watu kama sisi,ambao wenye imani/dini tafauti na yule Baba wa Taifa!?
Acha kungia mitini Mkuu...umelianzisha njoo tuendelee kutoa dose hapa! Tumechoka kuishi na hawa misukule ya Nyerere ndani ya Taifa letu...wanatugharimu sana hawa vilaza!
Rudi jamvini Msukuma mtani wangu wa Usukumani!
Ahsanta sana.